BAKIIF Islamic
JF-Expert Member
- Jul 11, 2021
- 600
- 1,843
ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi."Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Stor za kwenye kanga"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
God of Israel ni U.S.A na si vinginevyo.ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Bora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafirini jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Iran hawana ubavu huo,ni kelele tu za mfa maji hizo. Wameshabondwa sana na Israel na hawakuwahi kujibu direct zaidi ya kuwatumia Hizbollah. Wajaribu tu kurusha kombora hata moja watabondwa na ndio utakua mwisho wao wa kujidai, hawajui kua wanaliwa timing sasa hivi."Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Ayatola hana uwezo huo."Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Wewe upo Tel avivi au upo Haifa??😀😀Sisi tunajua adui mkubwa wa ugaidi ni iran huko kwingine gaza na yemen. Israel anajisumbua tu ila saizi tunataka Iran ajichanganye ili apigwe mazima.
Umeandika point sana, umekuja kuharibu tu uliposema sijui nini ''God of Israel...'' hapo ndipo ulipoharibu.ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Na Israel lengo lake ni hilo asipigane kupitia Hamas au Hizbulla aje front ili atibu tatizo kwa kudumu, ni mkakati makini ambao hata Marekani ni mshirika kwa kutaka kumwahi mfadhili wa magaidi"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Tatizo sio Uislam, mbona Saudi Arabia upo na hakuna ujingaBora tufe njaa lkn uislam duniani uheshimike na makafiri
Hizo nchi zote ziko tayari kwa vita au ziko tayari kupinduliwa?Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.