Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Iran haina uwezo wa kivita ndani tu ya 8ran wanawake walimkabili huyo Ayatollah kupinga kuvaa hijabu hadharani baada ya kifo cha msichana Mahsa Amin aliyeuawa kwa kupiga picha akiwa hajavaa hijabu

Maandamano ya kupinga kuvaa hijabu yalikuwa makubwa nchi nzima ya Iran huku waandamaji wakitoa matusi ya nguoni kwa Ayatollah na kutaka aondolewe madarakani na utawala wake wa kidini huku wakichoma majengo ya umma na kushambulia Asklari wa dini na kuchoma magari yao.Ayatollah kuona anataka kupinduliwa akaondoa askari wote wa dini wa kusimamia sharia mitaani wasisumbue wanawake tena Sasa hivi hawako kabisa.

Sasa hivi Iran hadi Tehran penyewe kuvaa hijabu hiari wanawake wengi wanatembea vichwa na vifua wazi na nguo za vimini bila hijabu ba hakuna wa kuwagusa.Ayatollah kaufyata kwa wanawake na hakuna sijui cha mwanamke akitaka kutoka nuwa lazima aambatane na mwanaume haipo huyo wanatoka kivyao kwenda popote .Ayatollah kaufyata.

Huyo ndiye aweza pigana na Israel huyo imamu wa msikitini dhidi ya Israel? Akiyeshindwa na wanawake wa Iran tu?

Anasubiriwa tu alianzishe dhidi ya Israel na Israel waanzishe mashambulizi dhidi ya Iran ili kuwapa motisha wapinzani wa Ayatollah walioko ndani ya Irani waanzishe vita ya ndani ya Iran wamtoe huyo Ayatollah na midevu yake wauondoe huo utawala wa kidini msumbufu ambao wairani wengi hawautaki.Ushahidi ni kuwa wanawake tu wakimtikisa kuwa hawataki kulazimishwa kuvaa hijabu na akaufyata akaondoa askari wasimamia sharia mitaani

Huyo Ayatollah hapendwi ndani ya Iran wa Iran wanasubiria t8 mtu aliwashe Iran na wao waliwashe ndani ya Iran

Aanze tu Israel wala hamuogopi Iran

Ila Iran ndio anamuogopa Israel ndio maana hata vita ya Gaza aligoma kujitosa akiogopa kuwa akihangaika kushambulia Israel huku nyuma Wa Iran watampindua
 
Israel haiwezi pigana na Iran, haina huo uwezo.
Vita na Iran ni ngumu sana, hao jamaa wana proxies wengi kuliko hata jeshi la IDF.
Kutangaza vita na Iran ni kutangaza vita na hivyo vikundi ikiwepo Hamas ambao kwa kutumia silaha za kienyeji wameweza kuaibisha jeshi la Israel bado Hezbollah, houthi, Islamic jihad n.k jamaa middle east wana vikundi vingi hapo hatujaweka jeshi kamili la Iran.
 
Na Israel lengo lake ni hilo asipigane kupitia Hamas au Hizbulla aje front ili atibu tatizo kwa kudumu, ni mkakati makini ambao hata Marekani ni mshirika kwa kutaka kumwahi mfadhili wa magaidi
Vita na Iran sio nyepesi hata US atajitahidi kuepuka hio vita.
Vita ikianza hapo Israel hakuna rangi wataacha kuona.
 
USA na wake zake hawa wezi pigana na IRAN kupitia israel at the same time russia ana wapelekea moto kule ukraine
 
Back
Top Bottom