Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Yeye ndio anaenda kupigana au anatanguliza watoto wa wengine kwenda kupigana?
Hao maaskari wapo tumbo joto.
Hao maaskari wapo tumbo joto.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamejiwekea akiba ya hata miaka 100 pindi mkikata hayo mafuta yenu,
Dada zako wanasilimu kwa wingi. Wewe umengangania ukafiri wako
Umenena vema sana mkuuni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
hii isijekuwa ndio sababu iran anachokozwa ili aingie vitani, marekani na washirika watie mguu, wavuruge nchi, waigawe, watawala wapya waingie nao makubaliano, wanyonye mafuta ya iran? nawaza tu kwa mbali.
Kuna watu ni ngumu sana kukuelewaAyatollah Khamenei hata kulala nyumbani kwake halali, anaishi kwenye mahandaki kwa uwoga sbb ya Israel, hivi unaijua Israel vizuri au unaongea tu, mradi wa nyuklia wa Iran uliangamizwa na wataalamu wake kuuawa wote na Mosad, na hakuna tena nia ya kurutubisha uranium nchini Iran, kwani Israel iliangamiza kabisa mradi huo.. na hao wataalam waliuawa ndani ya Tehran, yaani Capital of Iran, so usiongee tu sbb unaweza typing humu, watu wako kazini makini sana IQ kubwa sana inatumika..!!
Sasa eti ndio aje asaidie Gaza wakati mwenyewe Iran ameshindwa kujisaidia, na soon Iran itaenda kuwa kama Iraq ikigusa tu Israel, huo itakuwa mwisho wa Iran, na tambua hizi kelele zote za Middle East mfadhili mkuu ni Iran, sasa subiri uone moto wake
Assassination of Iranian nuclear scientists - Wikipedia Assassination of Iranian nuclear scientists - Wikipedia
Ahsante mkuu kwa kutokuionea Haya InjiliNje ya kristo kwingine ni jehanamu bila kupingwa,maana hata dini nje ya ukristo zimejengwa juu ya msingi wa chuki,uongo na maauaji.Bila Yesu umepotea kabisa na nakuonea huruma kwa kuwa u roho iendayo jehanamu usipotubu na kumpokea Yesu.
Najiuliza kwa Hamas tu Israel imesaidiwa silaha na intelejensia na mataifa kama marekani, UK, France ujerumani nk nk imeshaomba misaada wa kifedha na silaha kwa USA si chini ya mara tano.ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Unawaza marekani na washirika wake tu. Na kujishaurisha washirika wa Iran mliomkimbia huko Ukraine. Pumbafuhii isijekuwa ndio sababu iran anachokozwa ili aingie vitani, marekani na washirika watie mguu, wavuruge nchi, waigawe, watawala wapya waingie nao makubaliano, wanyonye mafuta ya iran? nawaza tu kwa mbali.
unanuna nini ? ww si uliikana mizimu yenuUmeandika point sana, umekuja kuharibu tu uliposema sijui nini ''God of Israel...'' hapo ndipo ulipoharibu.
Sasa mbona wamechelewa, jamaa wanaingia kingi kirahisi mno, hio ndo ilikua lengo la vita nzima"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Kuliko nyie mlioaminishwa Yesu ni mwana wa mungu? Kuliko nyie mlioaminishwa Yesu alikufa msalabani ili kuchukua dhambi zetu?Kuna m nstari mwembamba sana unaotenganisha uislamu na ujinga.
Israel hata siku moja hahitaji proxies yeye hutwangana yeye mwenyewe .Aneshawahi pigana na nchi tano kwa mpigo.Majeshi yannchi tano anazopakana nazo na akawashinda.Iran wala hambabaishi mbona alishaingia Iran na kulipua kinu cha nyukilia ndaninya Irani mu 9ran alichokuwa akijenga na Iran hakufanya chochoteIsrael haiwezi pigana na Iran, haina huo uwezo.
Vita na Iran ni ngumu sana, hao jamaa wana proxies wengi kuliko hata jeshi la IDF.
Kutangaza vita na Iran ni kutangaza vita na hivyo vikundi ikiwepo Hamas ambao kwa kutumia silaha za kienyeji wameweza kuaibisha jeshi la Israel bado Hezbollah, houthi, Islamic jihad n.k jamaa middle east wana vikundi vingi hapo hatujaweka jeshi kamili la Iran.
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.
Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”
Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.
Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Niliikana mizimu yetu nikaanza kumtumainia mungu wa Israel?unanuna nini ? ww si uliikana mizimu yenu
Kwa taarifa yako Israel hapigani na Hamas anapigana na Iran.Wapiganaji wa Hamas wengi sio wapalestina ni wairani na wa kutoka nchi mbalimbali za kiarabu za makundi.yabayoungwa mkono na Iran.Wapalestina wenyewe.Ndio masna hayo mataifa yanaipa silaha Israel yakijua Israel yuko.vitani na Iran kupitia HamasNajiuliza kwa Hamas tu Israel imesaidiwa silaha na intelejensia na mataifa kama marekani, UK, France ujerumani nk nk imeshaomba misaada wa kifedha na silaha kwa USA si chini ya mara tano.
Najiuliza ikipigana na Irani itakuwaje? Nafikiri Ukraine itakuwa na afadhari