100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Hivi ukiachilia mihemko ya kidini what is so special about Israel? Mbona mnadanganywa sana ninyi?Tusione mnakuja na Hashtags za FreeIran
Israel haina uwezo huo, mmeshuhudia Hamas kikundi cha migambo ikiwatia jamba jamba miezi yote hii kwenye gereza la Gaza.
Israel ina kipi cha kipekee zaidi ya story za six days war na operation Entebbe miaka hio ya kale?
Huwa nawashangaa sana.