Vita sasa inaanza rasmi: Kiongozi Mkuu wa Iran ameamuru jeshi kuiadhibu Israel

Kwa taarifa yako Israel hapigani na Hamas anapigana na Iran.Wapiganaji wa Hamas wengi sio wapalestina ni wairani na wa kutoka nchi mbalimbali za kiarabu za makundi.yabayoungwa mkono na Iran.Wapalestina wenyewe.Ndio masna hayo mataifa yanaipa silaha Israel yakijua Israel yuko.vitani na Iran kupitia Hamas
Hii ni mpya sasa kutoka kwako muisrelei wa kiluvya

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
Yeye ametulia zake na mademu ndani anataka vijana wa wengine ndio wakafie huko Samaria.
 
ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Ushari wako waache wapalestina wauwawe hadi mwisho
 
"Utawala mbovu wa Israel utaadhibiwa kwa mikono ya watu wetu mashujaa," alihitimisha.

Kiongozi Muadhamu wa Iran Ayatollah Seyed Ali Khamenei: “Utawala mbovu utaadhibiwa na mikono ya watu wetu mashujaa. Kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu, tutawafanya wajutie uhalifu huu na mengine yanayofanana na hayo.”

Haijulikani ni kisasi gani kitakuwa, hata hivyo kuna uwezekano kwamba Hezbollah itaingia Israel hivi karibuni.

Mapinduzi makubwa yameanza katika nchi za mashariki ya kati, Iran, Iraq, Yemen na Lebanon ziko tayari kwa vita.
kwanza ncheke
 
ni jambo la kuomba waishie hapohapo wasipigane vita, kwasababu wakifanya hivyo, uchumi wa dunia utaathirika sana, tutapata shida. Iran ni supplier wa mafuta na gas, hayo yakisimama, tutapata shida sana kiuchumi. on the other hand, Israel kwa upande wake ndicho alichokuwa anatafuta, anaamini akipigana na hezbollah au hamas au hurthi bila kuisambaratisha Iran, tatizo hilo litaendelea kujirudiarudia mara kwa mara maisha yake yote, hivyo ni muhimu mno kwake Iran iingie vitani naye ili isambaratishwe. Iran akiingia mtego huo, atajutia sana, yeye mwenyewe anaelewa hilo. siombi vita ipiganwe kwasababu watu wengi wanakufa bila kuokoka, na wanaenda motoni, wote waisrael na wairan. lakini kama ikipiganwa, I am confident with the God of Israel, hajawahi kuiacha Israel katika historia yote, lazima tu Israel ataibuka mshindi.
Thea real ISRAEL ni AFRICA Mkuu. Hao siyo wayahudi wa Kweli wa kwenye ile BIBLIA.
 
Kwa taarifa yako Israel hapigani na Hamas anapigana na Iran.Wapiganaji wa Hamas wengi sio wapalestina ni wairani na wa kutoka nchi mbalimbali za kiarabu za makundi.yabayoungwa mkono na Iran.Wapalestina wenyewe.Ndio masna hayo mataifa yanaipa silaha Israel yakijua Israel yuko.vitani na Iran kupitia Hamas
Ushaidi tafadhari
 
Back
Top Bottom