Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

Hawa hayawani wameshapotea lakini bado wanataka kupotea zaidi...baadae wasije kukimbilia tena UN kuomba waingilie kuwaokoa!

Iran sio wachokozi na wanafuata mambo yao ila hawa wazayuni wanaamua kutafuta pa kufia
Kwa kuwa Umelewa ngoja tukuache tu maana unatafuta pa kufia!!
 
Haitakuwa vita ya kistaarabu hata kidogo.

Israel ana hamu ya kuiangamiza Iran mazima, uwezo anao ila Mmarekani anamzuia.

Iran ana hamu ya kuiangamiza Israel mazima. Hakuna anaemzuia. ila uwezo hana.

Pata picha nini kitatokea
Israel uwezo anao !? Ila waisrael wa chanika humu mnashida sana 😄🤣

Wee popoma hizo data umezitoa wapi !? Kuwa Israel wanazuiwa na USA wasiimalize Iran !?
 
Mataifa meng yameathirika baada ya Iran kudhibiti Mferej wa Harmuz. Ila Iran imeathirika zaid kwa sababu USA amezuia Meli kuingia au kutoka nchi ya Iran.

Kwahiyo biashara aliyokuwa anafanya Iran na Mataifa mengne (mfano China ) haifanyiki.

Uchumi wa Iran unazidi kuanguka.

Ni Cold War.
Hata kama mazungumzo yakiwezekana itachukua miaka ming tena Kwa Iran kujijenga.
 
Mataifa meng yameathirika baada ya Iran kudhibiti Mferej wa Harmuz. Ila Iran imeathirika zaid kwa sababu USA amezuia Meli kuingia au kutoka nchi ya Iran.

Kwahiyo biashara aliyokuwa anafanya Iran na Mataifa mengne (mfano China ) haifanyiki.

Uchumi wa Iran unazidi kuanguka.

Ni Cold War.
Hata kama mazungumzo yakiwezekana itachukua miaka ming tena Kwa Iran kujijenga.
Umesema kweli kabisa
 
Umesema kweli kabisa

Kwa Demands anazotoa Iran . Naona hii vita itaendelea kwa muda mrefu.

Kila upande anataka kitu ambacho mwingine hataki kutoa.

Kwahiyo naona Marekani na Israel hawatamshambulia kijeshi. Bali watazidisha vikwazo vya kiuchumi.

Iran ni mjasiri na mvumilivu.
Je atamudu haya kwa muda gani?.

Au atakubali matakwa ya Israel/Marekani ili aokoe uchumi wake.

Ww unaonaje Echolima1 ?
 
Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema.

Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba ikiwa akiba ya zaidi ya kilo 400 za uranium iliyosafishwa hadi 60% haitaondolewa kutoka Jamhuri ya Kiislamu, vita vyote vya hivi karibuni vitachukuliwa kuwa "Bure."

Maafisa wa Israeli wamesema kwamba akiba hii inatosha kwa mabomu 11 ya nyuklia.

Afisa mkuu anasema kwamba ikiwa, kama sehemu ya mazungumzo kati ya Marekani na Iran, hakuna makubaliano yatakayofikiwa ya kuondoa akiba ya uranium na kusimamisha uzalishaji wa uranium nchini, mafanikio katika siku 40 za mapigano yatakuwa bure.

"Ikiwa lengo la nyuklia halitafikiwa, basi kila kitu tulichofanya nchini Iran kitakuwa pigo moja kubwa. afisa huyo anasema.

Afisa huyo anaongeza kwamba "ikiwa urani itaondolewa kutoka Iran kupitia njia za kidiplomasia, tumefanya sehemu yetu." Hata hivyo, ikiwa hilo halitatokea, Israeli itahitaji kuanzisha operesheni nyingine nchini Iran ili kufikia lengo hilo, wanasema.

View attachment 3582551
Hapo wakiitegemea marekani,vyenyewe haviwezi,maana vinajua vitachakaa
 
Hayo maneno ndio mliyo tangaziwa kule Beach kwenye sikukuu yenu ya magay?

Yahudi hana uwezo hata wa kutupa jiwe tu kwenda Iran bila kubata ruhusa ya mumewe,ili aje kumuokoa,

Mkutano wa kusitisha vita ilikua ni baina ya Iran na US,
Yahudi wala hakuitwa,sasa kwanini kaacha kuiattack Iran? Anajua kua bila backup ya mumewe ni bure tu,

Soma na uelewe,wewe Yahudi mweusi wa huko Nzega vijijini.
 
Kueleza mambo ya ushoga ni rahisi sana ili tu kuwakandia wengine.Cha ajabu,Wairan wanapata tabu kule kuliko anayejiandikia uzandiki tu.Wairan wakong'ontwa na "mashoga"!
Shoga naona umekasirika kwa vile mmetajwa,kwani nyie mashoga hua mnajificha mpaka mnaogopa kutajwa?
 
Ukienda kwenye uhalisia, kwa sasa, inaonekana jeshi la Israel, IDF, ndiyo jeshi bora kuliko yote Duniani kwenye uwanja wa mapigano. Ndiyo jeshi pekee ambalo linaonekana kuwa na uwezo wa kupigana na majeshi manne kwa wakati mmoja, na majeshi yote manne yakapata maafa makubwa kuliko yake.

Mwakajana iliipiga Iran vibaya kwa siku 12, wakati huo huo ikawapiga Hezbollah, Houthis na Hamas.
Nchi yenyewe ina kaeneo kadogo, inaitandika Iran ambayo ni kubwa mara 75 ya ukubwa wake.
Israel yenye watu milioni 10 inaipiga Iran yenye wananchi karibia milioni 90.
Israel yenye wanajeshi 173,000 inaipiga Iran yenye askari 610,000, hapo hujawaongeza Hezbollah, Houthis na Hamas.
Hili jeshi la Israel ni jeshi la namna gani!! Katika hali ya kawaida, kwa udogo wa nchi, uchache wa watu na uchache wa askari, Israel ingetegemewa kuwa nchi nyonge, lakini hali ni kinyume chake.
Israel nchi ndogo kabisa, wananchi milioni 10, ina GDP zaidi ya dollar bilion 600, huku Iran yenye watu milioni 90 ina GDP ya dollar bilioni 400.

Israel ni nchi ya maajabu. Hakuna nchi nyingine Duniani ya namna hiyo.

Fikiria Marekani yenye jeshi kubwa na silaha nyingi nzito, ndege zake karibia 6 zimeweza kupigwa na Iran, lakini hakuna ndege hata 1 ya Israel iliyowahi kudunguliwa na Iran. Iran inaona aheri kupigana na Marekani kuliko Israel. Iran ilirusha makombora zaidi ya 500 kwenda UAE, lakini ilirusha 300 tu kwenda Israel, ambayo 95% yalidunguliwa.

Kila mara ni Marekani ndiyo huwa inatafuta diplomadia ya kumaliza vita, huku Israel ikiwa na hamu ya kuendelea na vita.

Kwa hali ilivyo, kuna hatari ya Marekani kuondoka kwenye uwanja wa vita, na Israel kuendelea pekee yake, na si ajabu ukakuta madhara ni mabaya zaidi kwa upande wa Iran, kama ilivyoshuhudiwa mwakajana.

Hali bora kwa Iran ipo kwenye kutengeneza urafiki na Israel, kama ilivyo kuwa kabla ya 1979, kuliko kufikiria kuwa inaweza kuidhibiti Israel. Tangu mwaka 1948 nchi za kiarabu na Iran vimeanzisha vita kadhaa dhidi ya Israel, mpaka leo hawajawahi kushinda vita hata moja. Misri, Jordan, UAE na Saudia zimeamua kuitafuta hekima, wamekomesha uhasama na Israel, na maisha ya wote yanaenda vyema, wakimwacha Israel aendelee kuwadhibiti Hezbollah, Houthis, Hamas, Islamic jihad na Iran. Na hakuna yeyote kati yaoalitewahi kufanikiwa kuishinda Israel.

Ni vyema wote hapo Madhariki ya kati wajaitafuta hekima na amani. Kwa nini wasifikie kwenye maamuzi kuwa mataifa yote ya Ghuba, asiwepo wa kumiliki silaha za nuklia wala makombora ya masafa marefu, ili kila mmoja asiye na hofu ya kushambuliwa na mwingine?
Wache weee! Mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Tandale kwa mkunduge,

Hii comment ilitakuwa ipelekwe kwenye jukwaa la vichekesho.
 
Na huyu ndie mtoa roho.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Mataifa meng yameathirika baada ya Iran kudhibiti Mferej wa Harmuz. Ila Iran imeathirika zaid kwa sababu USA amezuia Meli kuingia au kutoka nchi ya Iran.

Kwahiyo biashara aliyokuwa anafanya Iran na Mataifa mengne (mfano China ) haifanyiki.

Uchumi wa Iran unazidi kuanguka.

Ni Cold War.
Hata kama mazungumzo yakiwezekana itachukua miaka ming tena Kwa Iran kujijenga.
[/QUOTE

Fuatilia upya kiongozi,Amka kwenye ndoto!biashara kati ya China na iran inaendelea kama kawaida,na mataifa mengine ya ulaya yanafanya biashara na IRANI kupitia njia nyingine!
IRAN ni nchi iliyobarikiwa sana,inatetewa na jiographia yake!
 
Kwa Demands anazotoa Iran . Naona hii vita itaendelea kwa muda mrefu.

Kila upande anataka kitu ambacho mwingine hataki kutoa.

Kwahiyo naona Marekani na Israel hawatamshambulia kijeshi. Bali watazidisha vikwazo vya kiuchumi.

Iran ni mjasiri na mvumilivu.
Je atamudu haya kwa muda gani?.

Au atakubali matakwa ya Israel/Marekani ili aokoe uchumi wake.

Ww unaonaje Echolima1 ?
Mimi Naona Iran ataanza kupigwa tena maana wana wa Israel hawawezi kumwacha hivi hivi a endelee kuwa na hiyo Uranium iliyorutubishwa!!

Kuna uwezekano Marekani inaweza kusitisha mashambulizi dhidi ya Iran ikaendeleza hiyo Total-Blockade tu lakini kwa Israel watakuja bado hawajakamilisha kazi yao waliyoianzisha hivyo itawapasa kuendeleza kipondo mpaka wajue hatima ya hiyo Uranium!!
 
Back
Top Bottom