Vita tutakayoianza na Iran itakuwa kubwa kuliko iliyoisha-Maafisa wa IDF

Hapo anajitia kutoa kauli za vitisho hali ya kuwa yeye ni kenge kwenye msafara wa mamba, peke yake kuanzisha vita hawezi.
Toka lini Wafuga Midevu na Majini mkakosa visingizio ??
 
Marekani na Israel ni Allies hivyo lazima wategemeane!!!
Marekani asipoweka timu uwanjani na yeye haingii.
Ni kama bendera fuata upepo
 
Attachments

  • Screenshot_20260305-184534.jpg
    Screenshot_20260305-184534.jpg
    119.8 KB · Views: 10
Kile kiherehere ch Trump kufanya mashambulizi kimeisha wapi, maana Trump alikuwa hashauriki, kwa sababu masharti na matakwa waliyokuwa wameweka Iran kabla ya vita yalikuwa mepesi mno kuliko sasa... Maana hadi Iran walijaribu kumshawishi Trump awekeze kwenye sectors za mafuta na gas ndani ya Iran.

Lengo la Trump ilikuwa ni zile sifa zake za kijinga , alikuwa ameshajipanga kwa namna yeyote hatokubali mazungumzo na Iran ili awashambulie, kichwani alikuwa na option moja tu ya kufanya mashambulizi. Ili asifiwe kama alivyofanya kule Venezuela.

Baada ya vita kile kiherehere naona kimekwisha chote 🤣 🤣 🤣 , hadi akaamua kuongeza muda wa ceasefire, kila muda anatuma wawakilishi wanakwenda halafu Iran hawaendi, kiufupi Iran ilikuwa inaidhalilisha US, ndio maana chancellor wa Ujerumani aliona azungumze ukweli.

Hivi sasa kiherehere kimeisha, maana Trump wa kabla ya vita na baada ni tofauti, hivi sasa hadi akijibiwa kwa kejeli na viongozi wa Iran hatishii tena kufanya mashambulizi ya ghafla.
 
Wewe rudisha dera la mkeo kwanza.

Ndio uje JF kubishana.
Nani alikudanganya mimi hapa nipo kwa ajili ya kubishana?

Akili zako zinafikiria dera naona una matatizo ya kijinsia!!
 
Kile kiherehere ch Trump kufanya mashambulizi kimeisha wapi, maana Trump alikuwa hashauriki, kwa sababu masharti na matakwa waliyokuwa wameweka Iran kabla ya vita yalikuwa mepesi mno kuliko sasa... Maana hadi Iran walijaribu kumshawishi Trump awekeze kwenye sectors za mafuta na gas ndani ya Iran.

Lengo la Trump ilikuwa ni zile sifa zake za kijinga , alikuwa ameshajipanga kwa namna yeyote hatokubali mazungumzo na Iran ili awashambulie, kichwani alikuwa na option moja tu ya kufanya mashambulizi. Ili asifiwe kama alivyofanya kule Venezuela.

Baada ya vita kile kiherehere naona kimekwisha chote 🤣 🤣 🤣 , hadi akaamua kuongeza muda wa ceasefire, kila muda anatuma wawakilishi wanakwenda halafu Iran hawaendi, kiufupi Iran ilikuwa inaidhalilisha US, ndio maana chancellor wa Ujerumani aliona azungumze ukweli.

Hivi sasa kiherehere kimeisha, maana Trump wa kabla ya vita na baada ni tofauti, hivi sasa hadi akijibiwa kwa kejeli na viongozi wa Iran hatishii tena kufanya mashambulizi ya ghafla.
Vipi ile Total-Blockade Inaumiza uchumi wa Iran?

Hormuz hakipiti kitu bila idhini ya Kiranja wa dunia!!
 
Kama huyajui pita kule.
Asubuhi umepandisha Majini yako ngoja tikuitie Shehe Kipozeo aje ayafukizie uvumba!!
.
Ujinga tu unakusumbua maana hujui lolote inavutwa na mihemko ya kijinga ya kidini na ujinga uliomezeshwa na waarabu!!
 
Mimi ni mkatoliki niliyesoma seminary ndogo olevel. Naitaji saidi rozali ili kupata faraja kuliko sheikh kipoozeo unayemsema wewe. Usikariri kwamba yeyote anayemchallenge trump kwenye hii vita ni kobaz. Even pope Leo alimchallenge trump.

Kuhusu kushindwa vita trump ameshindwa Kwa aslimia 80 ya malengo yake ya vita ya awali. Wacha mihemko
 
Acha kujipendekeza kwa Wakatoliki!! Aliyekuuliza dini yako!!!
 
Back
Top Bottom