Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

britanicca

Platinum Member
Joined
May 20, 2015
Posts
18,261
Reaction score
48,864
Ndege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya.

Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru.

Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo kutoka kwa Trump.

Hapo awali Viongozi wa Iran walikubaliana na Marekani kusitisha vita kwa matakwa kadhaa ya pande zote mbili kushughulikiwa

Upande wa Iran
Walitaka Marekani Aondoe meli pale Hormuz Kwakuwa Marekani aliweka vizuizi kwa meli zote za kwenda na kutoka Iran na kuzuia bandari zote za Iran ambapo lilikuwa shinikizo la kuifanya Iran iache mlango wa Hormuz free kwa ajili ya meli zingine kupita ukanda ule,

Baada ya Iran kuona watakosa mapato Kwakuwa ndo chanzo kikuu cha mapato wakakubali kuachia, Baada ya kuachia Lakin Marekani meli zake zikaendelea kusalia pale Mpaka Iran atekeleze makubaliano mengine Ambapo Iran wakaona ni kama mtego wakazuia njia upya !!

Pia Iran walikuwa wamekubali kutorutubisha Tena urani kwa miaka mitano na kukabidhi mabaki kwa Marekani , jambo ambalo baadae viongozi wa juu wa Iran wakaona kama wakionekana wamekubali hilo ni kama kusalitiana juu ya misimamo Hiyo! Nalo wamelifikiria upya na kuona bora wasikubali

Iran ilikuwa imeshinikiza kulipwa gharama za vita na pia kusema Marekani ashinikize Israel iache kushambulia Lebanon ambapo, Israell ni kama walisita maana hilo lilionekana ni makubaliano ya Iran na Marekani wala si Israel,

Pia Marekani ilikuwa Imeshunikiza kuwa Irani iache kuvifadhili Vikundi vya magaidi kama Hamas na Hezbollah

Britanicca
 
Mkuu we ni mtaalam wa siasa za bongo tuu
 
Naona umeshika kasi mkuu. Maswala ya lissu na pole pole yashakushinda, sasa umeajiriwa na Trump rasmi
 
Walikubali lini na wapi? Au source yako ni Trump ambaye ni bingwa wa uzushi?

Ulitaka source ya habari uwe wewe ambaye huna uhakika wowote wa kinachoendelea?

Kama una akili timamu, ni lazima utatambua kuwa siku zote, source ya habari inayoweza kupewa uzito na kuaminika ni ya mhusika mkuu. Na kwa suala hili la vita, wahusika wakuu ni USA, Iran na Israel. Na nchi hizi 3, wawakilishi wao wakuu ni wakuu wao wa nchi. Hao ndio taarifa zao au matamko yake yanaweza kupewa uzito mkubwa na kuaminika kuliko wewe uliye huko Mchambawima.
 
Back
Top Bottom