zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Acheni propaganda, Pakistan hiyo hapo HAITAMBUI taifa la Israel ila linatambua taifa la palestina, na huwapa silaha na mafunzo Hamas!!Marekani ipo pale kwenye vita hivi kwa sababu ya hofu ya Israel na mataifa ya kiarabu kuwa Iran ikiwa na silaha za maangamizi, Israel na mataifa yote ya kiarabu yatakuwa hatarini. Unatakiwa kufahamu msimamo wa Iran dhidi ya Israel na dhidi ya mataifa ya kiarabu. Ukishafahamu, hutakuja kuuliza tena hilo swali.
Kumbuka Pakistan ina nuclear bombs za kutosha mbona hamsemi ni tishio na wakati imeapa hakutowahi kuwepo taifa la Israel?
Cha ajabu leo ndio wanasimamia mazungumzo!!
Ni hivi USA inaangalia maslahi yake kwanza, hata leo Iran ikiweka rais kibaraka na kugawa tu mafuta US trust me hata wakiwa na nuclear US itapiga kimya kama inavyopiga kimya Saudi Arabia.