britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Mkuu we ni mtaalam wa siasa za bongo tuuNdege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya.
Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru.
Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo kutoka kwa Trump.
Hapo awali Viongozi wa Iran walikubaliana na Marekani kusitisha vita kwa matakwa kadhaa ya pande zote mbili kushughulikiwa
Upande wa Iran
Walitaka Marekani Aondoe meli pale Hormuz Kwakuwa Marekani aliweka vizuizi kwa meli zote za kwenda na kutoka Iran na kuzuia bandari zote za Iran ambapo lilikuwa shinikizo la kuifanya Iran iache mlango wa Hormuz free kwa ajili ya meli zingine kupita ukanda ule,
Baada ya Iran kuona watakosa mapato Kwakuwa ndo chanzo kikuu cha mapato wakakubali kuachia, Baada ya kuachia Lakin Marekani meli zake zikaendelea kusalia pale Mpaka Iran atekeleze makubaliano mengine Ambapo Iran wakaona ni kama mtego wakazuia njia upya !!
Pia Iran walikuwa wamekubali kutorutubisha Tena urani kwa miaka mitano na kukabidhi mabaki kwa Marekani , jambo ambalo baadae viongozi wa juu wa Iran wakaona kama wakionekana wamekubali hilo ni kama kusalitiana juu ya misimamo Hiyo! Nalo wamelifikiria upya na kuona bora wasikubali
Iran ilikuwa imeshinikiza kulipwa gharama za vita na pia kusema Marekani ashinikize Israel iache kushambulia Lebanon ambapo, Israell ni kama walisita maana hilo lilionekana ni makubaliano ya Iran na Marekani wala si Israel,
Pia Marekani ilikuwa Imeshunikiza kuwa Irani iache kuvifadhili Vikundi vya magaidi kama Hamas na Hezbollah
Britanicca
Madogo sasa ngoja niwa update anayechukia aende Ila ntaweka nyuzi za kukera sana Tena atakayechukia basiMkuu we ni mtaalam wa siasa za bongo tuu
Upumbavu na u-**** ni pale unapolazimisha mtu aposti mambo unayoyapenda kuyasikia..Unaweza mtukana mtu ambae una muheshimu hivi hivi kwa mambo ya kiwaki anayopost
Naona umeshika kasi mkuu. Maswala ya lissu na pole pole yashakushinda, sasa umeajiriwa na Trump rasmiNdege ya Wing of Zion iliondoka Nevatim, na kuzua uvumi wa mapigano mapya.
Ripoti za Iran zinadai Tehran imepokea taarifa za kijasusi kuhusu shambulio la kushtukiza la Marekani na Israel baada ya Siku ya Uhuru.
Rais wa Iran asema nchi hiyo haitaachana na haki zake za nyuklia licha ya shinikizo kutoka kwa Trump.
Hapo awali Viongozi wa Iran walikubaliana na Marekani kusitisha vita kwa matakwa kadhaa ya pande zote mbili kushughulikiwa
Upande wa Iran
Walitaka Marekani Aondoe meli pale Hormuz Kwakuwa Marekani aliweka vizuizi kwa meli zote za kwenda na kutoka Iran na kuzuia bandari zote za Iran ambapo lilikuwa shinikizo la kuifanya Iran iache mlango wa Hormuz free kwa ajili ya meli zingine kupita ukanda ule,
Baada ya Iran kuona watakosa mapato Kwakuwa ndo chanzo kikuu cha mapato wakakubali kuachia, Baada ya kuachia Lakin Marekani meli zake zikaendelea kusalia pale Mpaka Iran atekeleze makubaliano mengine Ambapo Iran wakaona ni kama mtego wakazuia njia upya !!
Pia Iran walikuwa wamekubali kutorutubisha Tena urani kwa miaka mitano na kukabidhi mabaki kwa Marekani , jambo ambalo baadae viongozi wa juu wa Iran wakaona kama wakionekana wamekubali hilo ni kama kusalitiana juu ya misimamo Hiyo! Nalo wamelifikiria upya na kuona bora wasikubali
Iran ilikuwa imeshinikiza kulipwa gharama za vita na pia kusema Marekani ashinikize Israel iache kushambulia Lebanon ambapo, Israell ni kama walisita maana hilo lilionekana ni makubaliano ya Iran na Marekani wala si Israel,
Pia Marekani ilikuwa Imeshunikiza kuwa Irani iache kuvifadhili Vikundi vya magaidi kama Hamas na Hezbollah
Britanicca
Huu ni uongo kabisa, mafuta ambayo Marekani inanunua kutoka ghuba ni asilimia 2.5 tu na kwa sasa Marekani nayo inauza mafuta nje.Mafuta mafuta mafuta
MALCOM LUMUMBAPia Marekani ilikuwa Imeshunikiza kuwa Irani iache kuvifadhili Vikundi vya magaidi kama Hamas na Hezbollah
Kwa hio asiongelee masuala ya kidunia. Default mode iwe hio unayotaka wewe tu au unampangia cha kupost?Naona umeshika kasi mkuu. Maswala ya lissu na pole pole yashakushinda, sasa umeajiriwa na Trump rasmi
Tatizo anajishushia heshima. Anachoandika yeye mwenyewe hakiaminiKwa hio asiongelee masuala ya kidunia. Default mode iwe hio unayotaka wewe tu au unampangia cha kupost?
Walikubali lini na wapi? Au source yako ni Trump ambaye ni bingwa wa uzushi?Pia Iran walikuwa wamekubali kutorutubisha Tena urani kwa miaka mitano na kukabidhi mabaki kwa Marekani
Iweke vizuri.Mkuu we ni mtaalam wa siasa za bongo tuu
Tatizo anajishushia heshima. Anachoandika yeye mwenyewe hakiamini
ππππNaona 13 LOYAL FAMILIES wanawachezesha kwata wana wa dunia hii, na hao wakuu wenu wa nchi wanaafta order.
Walikubali lini na wapi? Au source yako ni Trump ambaye ni bingwa wa uzushi?