Vita Vipya Mbele? Ishara Zaonyesha Kuongezeka Kwa Mapigano, IRAN WALALAMIKA

Huu ni uongo kabisa, mafuta ambayo Marekani inanunua kutoka ghuba ni asilimia 2.5 tu na kwa sasa Marekani nayo inauza mafuta nje.
Nin wanachokitafuta pale sasa kama uranium nayo ni uongo pia
 
Mkuu hii vita CIA wenyewe hawakujua kama itaenda mlama hvi, Sembuse britanica wa Chanika 😀

Huwezi kusema imeenda mrama au haikwenda Mrama, wakati hujui lengo lao lilikuwa ni nini, na nini kwao wangehesabia ni mafanikio.

Kitu kingine, kama hujui, tukufundishe:
Vita zote, wanaoanzisha wanajua jinsi vita itakavyoanza, lakini hakuna hata mmoja ambaye huwa na uhakika wa 100% jinsi itakavyoisha. Ndiyo maana unaona Urusi iliyotarajia kumaliza operation yake ya kijeshi nchini Ukraine ndani ya siku 2, lakini mpaka sasa ni mwaka wa 4, na hakuna hata dalili ya kufanikisha lengo la operation maalum. Operation maalum ya kijeshi ya siku 2, imebadilika na kuwa vita vya muda mrefu. Operation iliyokuwa na nia ya kuiondoa Serikali adui wa Russia ili kuisimika serikali rafiki wa Russia, imebadilika na kuwa vita vya kuteka maeneo ya Ukraine.

Ukiujua ukweli huo, wala huwezi kushangaa yanayoendelea huko Iran.
Hakuna vita vilivyowahi kumalizika kama vilivyokuwa vimepangwa.
 
Ww ni mtabiri wa 17 march tu uko kwengine hukuwezi
 
Nin wanachokitafuta pale sasa kama uranium nayo ni uongo pia

Marekani ipo pale kwenye vita hivi kwa sababu ya hofu ya Israel na mataifa ya kiarabu kuwa Iran ikiwa na silaha za maangamizi, Israel na mataifa yote ya kiarabu yatakuwa hatarini. Unatakiwa kufahamu msimamo wa Iran dhidi ya Israel na dhidi ya mataifa ya kiarabu. Ukishafahamu, hutakuja kuuliza tena hilo swali.
 
Hawa watanzania wana matatizo hasa hao wa Bonyokwa
 
This is the real aim of entering this war

Ni kuipunguza nguvu iran tu na wala si mafuta !

Kumbuka alivyopunguzwa nguvu Iraq! Tena hawa hawa Iran wakashangilia siku ya Sadam Kunyongwa!

The problem with these kids hawaelewi vitu hivi ni vizito mnoo kwao

Na Lengo la USA ni kuipunguza nguvu Iran na pia kuondoa regime hii ya Khamenei yenye misimamo mikali japo halijafanyika kwa 100% wapo kwenye 70%

Britanicca
 
Mi sioni kipya aisee watapigana baada ya miaka kumi au 20 mbele watapigana tena unakuwa kama mchezo tu usioisha
 
Ulitaka source ya habari uwe wewe ambaye huna uhakika wowote wa kinachoendelea?
Mto mada yupo Tanzania anaposema Iran walikubali wakati hakuna sehemu yoyote viongozi wa Iran walisema hayo (aweke video au hata article ya habari) sasa tuamini maneno ya kufikirika?

Na hii ndio maana JF inashuka hadhi, zile forum zingine kama reddit au quora ukiweka maoni unaweka tag ya maoni ila kama unatoa taarifa basi lazima kuwepo na source. Kuchanganya haya mawili ndio maana kumejaa fake news humu.

Hao ndio taarifa zao au matamko yake yanaweza kupewa uzito mkubwa na kuaminika kuliko wewe uliye huko Mchambawima.
Si ndio nimesema aweke source otherwise aseme maoni yake. Kama source ni Trump basi aseme ni interview gani kama ni Iran basi aseme nani aliongelea hayo otherwise ni uzushi tu kama waliodai Iran haina navy tena!!
 
Inaonekana unaumwa wewe niko Tanzania eee

Mbona tunadharauliana dogo
 
Dogo huyo ana mawenge sana sasa ngoja ntawakera wasiopenda Habari za UsA na Iran

Nawaletea
Wewe uliye Tehran ulisema Iran itapinduliwa ndani ya saa 24 leo imepita miezi 4 serikali haikuanguka!! Kukaa kwako nje mbona bado ulipotosha? Ulikua na tofauti gani na mimi niliyeko mpitimbi?

Ulisemaga pia navy ya Iran imefutwa haipo tena ila tumeona jinsi navy imekua ikidhibiti Hormuz!! Sasa uliyepo nje na bado hauna taarifa sahihi ndio unataka tukuamini kwenye hili?

 
Kwani kuwa nje ya nchi ndio kuwepo Iran? Yaani ukiwa unabeba maboksi Canada ndio automatically unajua Ayatollah kaongea nini?

We jamaa ni mshamba sana.
Endelea kukaza fuvu hapa masjidi ! Ila shule Muhimu nendeni shule
 
Shule ninayo ndio maana nakukosoa kwa hoja na facts ila wewe umeishia kuleta mipasho tu.

Na siyo kila anayepinga ujinga wa US ni muislam I'm a Christian by the way kama Nyerere tu na Mkapa waliipinga Israel wazi na walikua wakristo!!
Nasema Kakae hapo masjidi
 
Hakuna njia yoyote ile Iran 🇮🇷 kuwa mshindi wa hii vita wakishupaza shingo Iran itaishia kuwa magofu ,haitakuwa tofauti na Syria or Afghanistan,
 
Nafikiri kwenye maisha yako huwa hakuna jambo zuri kuhusu US ama Israel ikitokea imesemwa vizuri huwa mishipa ya ****** inakusimama !?
Jambo zuri? Kuna zuri hapa? Yaani wavamie nchi za watu, wabake, waue alafu unataka watu washabikie?

Israel na US zilipinga UN kutambua ukoloni kama crime against humanity. Iran ilipiga NDIO ila Israel ilikataa kabisa waafrika kulipwa fidia za ukoloni. Cha ajabu mpo humu mnawalamba miguu majitu yanayotuona nyani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…