zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Acheni propaganda, Pakistan hiyo hapo HAITAMBUI taifa la Israel ila linatambua taifa la palestina, na huwapa silaha na mafunzo Hamas!!Marekani ipo pale kwenye vita hivi kwa sababu ya hofu ya Israel na mataifa ya kiarabu kuwa Iran ikiwa na silaha za maangamizi, Israel na mataifa yote ya kiarabu yatakuwa hatarini. Unatakiwa kufahamu msimamo wa Iran dhidi ya Israel na dhidi ya mataifa ya kiarabu. Ukishafahamu, hutakuja kuuliza tena hilo swali.
Una habari kuwa balozi wa USA pale UNO mwaka 1959 alishinikiza kwa nguvu zote Uingereza kuipa uhuru Tanganyika ? tatizo vijana mmejaa chuki za udini na usoshaliti km mlivyohubiriwa mashuleni kuichukia USA sababu ya U'capitalism na kuisifia USSR kwa kuwa walikuwa wajamaa sawa na sera za Mwl Nyerere..Jambo zuri? Kuna zuri hapa? Yaani wavamie nchi za watu, wabake, waue alafu unataka watu washabikie?
Israel na US zilipinga UN kutambua ukoloni kama crime against humanity. Iran ilipiga NDIO ila Israel ilikataa kabisa waafrika kulipwa fidia za ukoloni. Cha ajabu mpo humu mnawalamba miguu majitu yanayotuona nyani tu.
Alishinikiza ili kuidhoofisha UK maana ilikua na makoloni mengi. Back to topic, Jibu swali ni kwanini US na Israel zinapinga waafrika kufidiwa kwa ukoloni? Kwanini wanapinga ukoloni kuitwa crimes against humanity? Cha ajabu mtu mweusi kama wewe unaunga mkono hao wakoloni?habari kuwa balozi wa USA pale UNO mwaka 1959 alishinikiza kwa nguvu zote Uingereza kuipa uhuru Tanganyika ?
Dini imeingiaje hapa? Kuna sehemu yoyote nimetaja dini? Yaani wewe ni mdini so automatically mtu akiipinga Israel na US basi ni muislam!! Na hili ndio tatizo. Mkapa, Nyerere na Mandela ni wakristo in fact Nyerere anafikiriwa kupewa utakatifu ila waliipinga Israel wazi wazi!!tatizo vijana mmejaa chuki za udini na
USA inachukiwa sababu ya political interference inayofanya kwa nchi maskini kuanzia DRC, Angola, Libya etc.mlivyohubiriwa mashuleni kuichukia USA sababu ya U'capitalism na kuisifia USSR kwa kuwa walikuwa wajamaa sawa na sera za Mwl Nyerere..
Kaka nawe unamjibu huyo popoma!? Sasa huyo si bora mleta mada kuliko yeye!??Mto mada yupo Tanzania anaposema Iran walikubali wakati hakuna sehemu yoyote viongozi wa Iran walisema hayo (aweke video au hata article ya habari) sasa tuamini maneno ya kufikirika?
Na hii ndio maana JF inashuka hadhi, zile forum zingine kama reddit au quora ukiweka maoni unaweka tag ya maoni ila kama unatoa taarifa basi lazima kuwepo na source. Kuchanganya haya mawili ndio maana kumejaa fake news humu.
Si ndio nimesema aweke source otherwise aseme maoni yake. Kama source ni Trump basi aseme ni interview gani kama ni Iran basi aseme nani aliongelea hayo otherwise ni uzushi tu kama waliodai Iran haina navy tena!!
Mwaka 1980 hadi 1988 USA akishirikiana na France,Germany,USSR na mainly Iraq waliivamia Iran ili kuipindua na vita ilichukua MIAKA NANE still Iran ikasimama. Uitishe Iran kwasasa ambapo ni USA na Israel pekee ndio wanaishambulia!??Hakuna njia yoyote ile Iran 🇮🇷 kuwa mshindi wa hii vita wakishupaza shingo Iran itaishia kuwa magofu ,haitakuwa tofauti na Syria or Afghanistan,
Pumbavu wewe alikuambia nani kuwa siku hizi kuna ban ? JF yenyewe mpaka udownload VPN..Kuwa na adabu au tutaku ripoti kwa mods utiwe ban.
Usituletee utoto wako humu.
Aya endelea kutukana kijana halafu uone kama hutokula ban.Pumbavu wewe alikuambia nani kuwa siku hizi kuna ban ? JF yenyewe mpaka udownload VPN..
Kobazi opinion- Iran si dola yakushinda <Usa....Casualties Human life matter ,usitake watu wafe kama sisimizi ,hiyo vita ya Iran ,Usa akitaka kuimaliza week inaisha Ushasikia MOB ,mother of all bom ,Iran iran inaweza fanya majivu ila matokeo ni Usa itaonekana ni wauaji wa halaikiMwaka 1980 hadi 1988 USA akishirikiana na France,Germany,USSR na mainly Iraq waliivamia Iran ili kuipindua na vita ilichukua MIAKA NANE still Iran ikasimama. Uitishe Iran kwasasa ambapo ni USA na Israel pekee ndio wanaishambulia!??
Someni basi muache kujiaibisha.
Wewe ndio wa kunifundisha mitandao ww mimi nimeanza kitambo sn Platiform ya ipi ya Os sijatumia ? Anzia Symbian, .Bada,BlackBery hii Android imenikuta ni mzoefu wa mitandao unafikiri hii ID ya jana ?Aya endelea kutukana kijana halafu uone kama hutokula ban.
Nani kakwambia JF unatumia na VPN!? Au unatumia kopo la itel hauna simu wewe!?
Hujui kitu kuhusu mitandao wewe.Wewe ndio wa kunifundisha mitandao ww mimi nimeanza kitambo sn Platiform ya ipi ya Os sijatumia ? Anzia Symbian, .Bada,BlackBery hii Android imenikuta ni mzoefu wa mitandao unafikiri hii ID ya jana ?
Hapa tunaongea facts sio mipasho yako ya Fatuma Nyoro ama Khadija Kopa.Kobazi opinion- Iran si dola yakushinda <Usa....Casualties Human life matter ,usitake watu wafe kama sisimizi ,hiyo vita ya Iran ,Usa akitaka kuimaliza week inaisha Ushasikia MOB ,mother of all bom ,Iran iran inaweza fanya majivu ila matokeo ni Usa itaonekana ni wauaji wa halaiki