Vita vya Gaza ni mwendelezo wa vita dhidi ya Uislamu kwa mtindo mpya

Muslim sijui kwa nini hawazungumzii kuhusu Mateka waachiwe au wanjisikia Shame sababu ni nje ya maagizo ya Allah Wazee,Watoto,Wagonjwa,Wasio na hatia kuwateka na kuwanyanyasa,kingono n.k pengine ndio utekaji ni AMRI ya Allah
 
Ni kweli mkuu na Yeye akaanzisha Vita zilizoitwa Jihad, akivamia miji ambayo haikuwa na namna yote ya kujilinda, nakuua wote wa jinsia ya kiume. Na kuchukua Mateka ili kueneza Amanj

Lakini akafa baada ya kula mnofu wenye sumu kutoka kwa Myahudi Zainab alikuwa katoka kuua familia yake yote.

Dini ya amani
Awezi kukujibu hii
 
Akijibu ni tag please
 
Mhafidhina kakata tamaa kabisa anatia huruma mno.. utadhani mtu wa haki kumbe ni munafik... Anawapenda Hamas ila wamemdisapont mno.. same na wapalestina wanawalaani Hamas for bad results.. they thought Allah yupo hai.. how sanamu kubwa (Akbar)tokea lini na uhai... lita kuhelp vipi jamani...

Uislam ni uvamizi hapo Madina ni mji wa Wayahudi Mudy aliwaua na wengine aliwafukuza na walimkarisha kumhifadhi kipindi yupo kwenye harakati zake za kueneza ushetani..

uislam umeleta majanga tu kila ulipo... Vita aanzishe Hamas lawama wapate wasio waislam.. kaa na njaa ule usiku mzima ramadan yote.. Mtume wenu alikuwa anamla Aisha mchana wa Ramadan na akiwa kwenye hedhi, kwenye vitabu vyenu vya Hadithi vinasema Mohammad alikuwa ana bahashia Aisha siku za mfungo.. yaani Njemba ina Saum lakini lina genye
Hivi huwa wanafunga au WANABADILI ratiba ya muda wa kula kutoka asubuhi - jioni na kuwa jioni - asubuhi? samahanini lakini.
 
Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.

Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa na wafuasi wa shetani kuwaweka mbali watu na Mungu na upande wa pili hupiganwa na wafuasi wa Mungu ambao huwa wana matarajio ya masiha mazuri baada ya kufa kwao.

Vita vya kidini daima vimekuwa baina wafuasi wa shetani dhidi ya waislamu ambao wanafuata Uislamu.
Historia inaanza mbali sana tangu dunia kuumbwa kwake.Historia ya karibu ni pale alipotumwa mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.

Mtume Muhammad s.a.w alikuta dola za jirani za kifursi na roma pamoja na dola nyengine za kishirikina mbali na Makka na Madina.Dola zote hizo zilikwishaacha kufuata Uislamu na ikawa zinaendeshwa na shetani.Dola hizo hazikuacha kufanya uadui na dola ya kiislamu chini ya mtume huyo wa mwisho.

Vita vilivyoanzishwa na dola hizo havikuweza kuzuia ushindi wa waislamu.Uislamu ukafika Ulaya,nchi zote za Asia ikiwemo China,India na Urusi. Ilipoonekana kwa njia ya vita Uislamu haukushindikana,mfumo wa kufanya vita vya kiakili ukashika kasi na umeendelea kwa muda mrefu katikati yake pakaingia mchanganyiko wa vita vya kimaslahi ya dunia vikichanganywa na malengo ya dini kwa uongozi na fikra za kishetani.

Ukoloni kwa malengo ya kidunia ukaondoshwa hatua kwa hatua lakini vita vya kiakili kwa kutumia maendeleo ya kielimu ya kisasa bado havikusika.Katika vita hivyo waislamu wameshindwa pakubwa na kurudishwa nyuma wakibakiwa na maeneo madogo sana.

Upande wa vita vya kiakili dini za kikristo na nyenginezo zimefanikiwa kuwashinda waislamu kwa mbinu ya kuwatayarishia watawala watakaokuwa wakifanya kazi zilizo dhidi ya waislamu na kuwakandamiza waislamu wenye malengo ya kidini kwa maslahi ya akhera.

Mafanikio hayo yamekuwa makubwa kwa kuzishika nchi zote ambazo ni kitovu cha nguvu za waislsmu waliotawala kwa muongozi wa Mtume Muhammad s.a.w.Mbinu hiyo imechanganywa na kuzigombanisha nchi hizo na kuzifanya zisiwe na umoja wa aina yoyote ile. Kuna maeneo machache ambayo yamebaki katika maongozi hayo ambayo kwa kutumia vita vya kiakili wakristo na mayahudi wamekuwa wakishirikiana kuyamaliza kama wataweza.

Maeneo hayo ni kama vile Gaza ambako Israel akishirikiana na Marekani na Uiengereza wamekuwa wakipiga kwa nguvu na kwa silaha nzito sambamba na kuwalaza viongozi wa mataifa jirani kwa ulaghai tofaujti.
Ulaghai na diplomasia za ujanja na undumilakuwili umekuwa na mafanikio makubwa kwani viongozi wa nchi hizo ni wale waliotayarishwa kwa ajili ya muda kama huu.

Mfano wa mafanikio hayo ni kupigwa kwa eneo la Gaza na kuzuia chakula wakati huo huo Marekani ikijifanya ina huruma kwa kujenga bandari ambayo hatimae haitokuwa ya muda bali itakuwa imesaidia malengo mapana ya Israel kuimeza Gaza yote kama ilivyofanya kwa maeneo ya ukingo wa Magharibi.
Waislamu wanaojielewa hawana shida na dini nyingine, wao tu ni kuabudu mwenyezi Mungu na wana upendo kwa watu wote, waislamu kama wewe ndio wanasababisha vurugu kila eneo wanapoenda, ona kule China, India, Neymar, Nigeria, Mozambique, Sudani, Somalia ni vurugu tupu, mauji kila siku, Pale Palestina kuna waislamu jamii ya Druze hawa wanatamani waishi pamoja na wayahudi, pia ushaj8di upo wa waislam kwenye bunge la Israel tena waarabu, wengine ni wataalam wanaishi kwa amani, suala la Palestina siyo ardhi bali ni dini.
 
Mhafidhina kakata tamaa kabisa anatia huruma mno.. utadhani mtu wa haki kumbe ni munafik... Anawapenda Hamas ila wamemdisapont mno.. same na wapalestina wanawalaani Hamas for bad results.. they thought Allah yupo hai.. how sanamu kubwa (Akbar)tokea lini na uhai... lita kuhelp vipi jamani...

Uislam ni uvamizi hapo Madina ni mji wa Wayahudi Mudy aliwaua na wengine aliwafukuza na walimkarisha kumhifadhi kipindi yupo kwenye harakati zake za kueneza ushetani..

uislam umeleta majanga tu kila ulipo... Vita aanzishe Hamas lawama wapate wasio waislam.. kaa na njaa ule usiku mzima ramadan yote.. Mtume wenu alikuwa anamla Aisha mchana wa Ramadan na akiwa kwenye hedhi, kwenye vitabu vyenu vya Hadithi vinasema Mohammad alikuwa ana bahashia Aisha siku za mfungo.. yaani Njemba ina Saum lakini lina genye
Huyu jamaa alikuwa akishavamia na kuua jinsia yote ya kiume anasema Allah kamruhusu kuchukua Mateka wakwanza na tena anachukua mwanamke Mzuri mji huo anamuoa miongoni wa Mateka wake.

Kitendo kilimuuma hasa bi Aisha katika safari zake Moja za uvamizi

Bi Aisha akabaki Jangwani akalala a.k.a kutembea na bodyguard wake.
 
Kamanda nakukubali sana. We nakufananisha na AlSahaf Wazir wa habar wa Iraq ya Saddam Hussein. Nasikitika tu unaumia tu kwa madhila ya waarabu ila ya waafrica kwako sio kitu.
 
Ye mwarabu wa dini ya weusi yanamuhusu nini
 
Akili kisoda, umesahau kama nchi za kiislam zinamsaidia muisraeli kuvusha mizigo yake iliyokwama sababu ya wahauth
Ndicho tulichozungumza hicho kinachofanywa na wenye akili visoda.
 
Kamanda nakukubali sana. We nakufananisha na AlSahaf Wazir wa habar wa Iraq ya Saddam Hussein. Nasikitika tu unaumia tu kwa madhila ya waarabu ila ya waafrica kwako sio kitu.
Watu wanaopigana wenyewe kwa wenyewe hawanishughulishi sana na hapo juu nimewapa mgao wao kuwa wanapigana vita vya kishetani tu.
Ningependa sana niwasuluhishe lakini naamini kazi yake ni kubwa kuliko uwezo wangu.
 
Sasa kwan hao Jews na Arabs si na wenyewe si wanapigana wenyewe kwa wenyewe au hujui Jews na Arabs wapo hapo pamoja mpaka wakat wa Ottoman ndio baadhi ya Jews wa Europe wakaungana na Jews wenyej kupata taifa lao.
 
Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.

Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa na wafuasi wa shetani kuwaweka mbali watu na Mungu na upande wa pili hupiganwa na wafuasi wa Mungu ambao huwa wana matarajio ya masiha mazuri baada ya kufa kwao.

Vita vya kidini daima vimekuwa baina wafuasi wa shetani dhidi ya waislamu ambao wanafuata Uislamu.
Historia inaanza mbali sana tangu dunia kuumbwa kwake.Historia ya karibu ni pale alipotumwa mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.

Mtume Muhammad s.a.w alikuta dola za jirani za kifursi na roma pamoja na dola nyengine za kishirikina mbali na Makka na Madina.Dola zote hizo zilikwishaacha kufuata Uislamu na ikawa zinaendeshwa na shetani.Dola hizo hazikuacha kufanya uadui na dola ya kiislamu chini ya mtume huyo wa mwisho.

Vita vilivyoanzishwa na dola hizo havikuweza kuzuia ushindi wa waislamu.Uislamu ukafika Ulaya,nchi zote za Asia ikiwemo China,India na Urusi. Ilipoonekana kwa njia ya vita Uislamu haukushindikana,mfumo wa kufanya vita vya kiakili ukashika kasi na umeendelea kwa muda mrefu katikati yake pakaingia mchanganyiko wa vita vya kimaslahi ya dunia vikichanganywa na malengo ya dini kwa uongozi na fikra za kishetani.

Ukoloni kwa malengo ya kidunia ukaondoshwa hatua kwa hatua lakini vita vya kiakili kwa kutumia maendeleo ya kielimu ya kisasa bado havikusita.Katika vita hivyo waislamu wameshindwa pakubwa na kurudishwa nyuma wakibakiwa na maeneo madogo sana.

Upande wa vita vya kiakili dini za kikristo na nyenginezo zimefanikiwa kuwashinda waislamu kwa mbinu ya kuwatayarishia watawala watakaokuwa wakifanya kazi zilizo dhidi ya waislamu na kuwakandamiza waislamu wenye malengo ya kidini kwa maslahi ya akhera.

Mafanikio hayo yamekuwa makubwa kwa kuzishika nchi zote ambazo ni kitovu cha nguvu za waislsmu waliotawala kwa maongozi wa Mtume Muhammad s.a.w.Mbinu hiyo imechanganywa na kuzigombanisha nchi hizo na kuzifanya zisiwe na umoja wa aina yoyote ile. Kuna maeneo machache ambayo yamebaki katika maongozi hayo ambayo kwa kutumia vita vya kiakili wakristo na mayahudi wamekuwa wakishirikiana kuyamaliza kama wataweza.

Maeneo hayo ni kama vile Gaza ambako Israel akishirikiana na Marekani na Uiengereza wamekuwa wakipiga kwa nguvu na kwa silaha nzito sambamba na kuwalaza viongozi wa mataifa jirani kwa ulaghai tofaujti.
Ulaghai na diplomasia za ujanja na undumilakuwili umekuwa na mafanikio makubwa kwani viongozi wa nchi ziizo jirani ni wale waliotayarishwa kwa ajili ya muda kama huu.

Mfano wa mafanikio hayo ni kupigwa kwa eneo la Gaza na kuzuia chakula lakini nchi zote za kiislamu zimeshindwa kuzuia balaa hilo na hata kulaani kwa sauti ya juu.
Wakati huo huo Marekani inajitia huruma za mamba ikijifanya kujenga bandari ambayo irapeleleka chakula japo wana ratiba ya miezi miwili mbeleni .
Hatimae bandari hiyo itaondolewa kwenye kuwa ya muda na itapewa jukumu tofauti na hatimae kukamilisha malengo ya Israel ambaye ni mshirikia mkubwa wa Marekani na Uiengereza katika vita hivyo
Malengo mapana ya Israel kuimeza Gaza yote kama ilivyofanya kwa maeneo ya ukingo wa Magharibi yatakuwa yametimia.
Mataifa yaliyotarajiwa kuokoa janga hilo kwa vile hawajaweza kufanya muda huu mahitaji yake ni muda muafaka hawataweza kamwe kufanya jambo hilo baada ya kukamilika kwa malengo ya wapiganaji maadui wa Uislamu.
Kitakachobaki ni rehma za Allah subhanahu wa taala ambaye ana uwezo wa kubadili mwenyewe bila msaada wa yoyote muda huu kabla kufikia huko.
Napingana na wewe
 
Golda Meir aliwahi kuwaambia
1000026302.jpg
 
Vile siyo vita vya kidini,ni vita vya kugombea ardhi! Waarabu wameingiza Uislam tu kwenye vita kwa maslahi yao.
 
Na Hamas nao wanajilinda kwa uchokozi wa Israel
Na hata dunia ikiwaacha mkono watapata utetezi wa uhakika zaidi.
Sasa kama hamas wanajilinda mwa kuichokoza israel mbona wakijibiwa mnalilia na kutuwekea picha za watoto sasa hivi imezuka propaganda nyingine ya kutafuta huruma kwa wapalestina ni kutumia neno njaa inawaua wapalestina mbona africa kuna njaa ila mpo kimya
 
Back
Top Bottom