Unamtaja Mussa a.s kama ni babu yako na kupuuza kuwa ni mtume wa Allah ambaye ni muislamu na miongoni mwa mitume mashuhuri.
Mussa hakuwa myahudi wala hakuwa mkristo.Kwa hivyo usimuhusihe na ushenzi unaofanywa na mayahudi.
Kama anatokea muda huu angewatia bakora yake ya ajabu na nyote mngeshika adabu zenu kwa kumshirikisha na upuuzi na uhuni wenu.
Halafu unasoma Qur'an na kuitafsiri kama kwamba ni biblia kwamba unaweza ukajaza na maneno yako ya kishoga shoga.
Qur'an ni kitabu kitakatifu na tafsiri yake haifanywi kikamilifu bila kufuata kanuni maalum na vyanzo vya ushahidi.
Ukiacha hilo,aya zote zinapinga uozo wa fikra zako unapojua kuwa mtume Mussa ni ndugu na Muhammad saw kwamba wote wametumwa na Allah na kazi yao ni moja.Siku nabii Muhammad alipopaa mbinguni kutokea masjidul Aqsa alikutana naye na akaswalishwa na Muhammad rehema na amani zimshukie.
vipi mtume huyo utamuhusisha na watu wahuni kama mayahudi.