Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa namna Hamas iliua watu, wangine kubakwa na wengine kukatwa vichwa kwa kutumia chepe, tuungane na Israel kuyaangamiza haya mashetani ya Hamas.Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.
Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa na wafuasi wa shetani kuwaweka mbali watu na Mungu na upande wa pili hupiganwa na wafuasi wa Mungu ambao huwa wana matarajio ya masiha mazuri baada ya kufa kwao.
Vita vya kidini daima vimekuwa baina wafuasi wa shetani dhidi ya waislamu ambao wanafuata Uislamu.
Historia inaanza mbali sana tangu dunia kuumbwa kwake.Historia ya karibu ni pale alipotumwa mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.
Mtume Muhammad s.a.w alikuta dola za jirani za kifursi na roma pamoja na dola nyengine za kishirikina mbali na Makka na Madina.Dola zote hizo zilikwishaacha kufuata Uislamu na ikawa zinaendeshwa na shetani.Dola hizo hazikuacha kufanya uadui na dola ya kiislamu chini ya mtume huyo wa mwisho.
Vita vilivyoanzishwa na dola hizo havikuweza kuzuia ushindi wa waislamu.Uislamu ukafika Ulaya,nchi zote za Asia ikiwemo China,India na Urusi. Ilipoonekana kwa njia ya vita Uislamu haukushindikana,mfumo wa kufanya vita vya kiakili ukashika kasi na umeendelea kwa muda mrefu katikati yake pakaingia mchanganyiko wa vita vya kimaslahi ya dunia vikichanganywa na malengo ya dini kwa uongozi na fikra za kishetani.
Ukoloni kwa malengo ya kidunia ukaondoshwa hatua kwa hatua lakini vita vya kiakili kwa kutumia maendeleo ya kielimu ya kisasa bado havikusita.Katika vita hivyo waislamu wameshindwa pakubwa na kurudishwa nyuma wakibakiwa na maeneo madogo sana.
Upande wa vita vya kiakili dini za kikristo na nyenginezo zimefanikiwa kuwashinda waislamu kwa mbinu ya kuwatayarishia watawala watakaokuwa wakifanya kazi zilizo dhidi ya waislamu na kuwakandamiza waislamu wenye malengo ya kidini kwa maslahi ya akhera.
Mafanikio hayo yamekuwa makubwa kwa kuzishika nchi zote ambazo ni kitovu cha nguvu za waislsmu waliotawala kwa maongozi wa Mtume Muhammad s.a.w.Mbinu hiyo imechanganywa na kuzigombanisha nchi hizo na kuzifanya zisiwe na umoja wa aina yoyote ile. Kuna maeneo machache ambayo yamebaki katika maongozi hayo ambayo kwa kutumia vita vya kiakili wakristo na mayahudi wamekuwa wakishirikiana kuyamaliza kama wataweza.
Maeneo hayo ni kama vile Gaza ambako Israel akishirikiana na Marekani na Uiengereza wamekuwa wakipiga kwa nguvu na kwa silaha nzito sambamba na kuwalaza viongozi wa mataifa jirani kwa ulaghai tofaujti.
Ulaghai na diplomasia za ujanja na undumilakuwili umekuwa na mafanikio makubwa kwani viongozi wa nchi ziizo jirani ni wale waliotayarishwa kwa ajili ya muda kama huu.
Mfano wa mafanikio hayo ni kupigwa kwa eneo la Gaza na kuzuia chakula lakini nchi zote za kiislamu zimeshindwa kuzuia balaa hilo na hata kulaani kwa sauti ya juu.
Wakati huo huo Marekani inajitia huruma za mamba ikijifanya kujenga bandari ambayo irapeleleka chakula japo wana ratiba ya miezi miwili mbeleni .
Hatimae bandari hiyo itaondolewa kwenye kuwa ya muda na itapewa jukumu tofauti na hatimae kukamilisha malengo ya Israel ambaye ni mshirikia mkubwa wa Marekani na Uiengereza katika vita hivyo
Malengo mapana ya Israel kuimeza Gaza yote kama ilivyofanya kwa maeneo ya ukingo wa Magharibi yatakuwa yametimia.
Mataifa yaliyotarajiwa kuokoa janga hilo kwa vile hawajaweza kufanya muda huu mahitaji yake ni muda muafaka hawataweza kamwe kufanya jambo hilo baada ya kukamilika kwa malengo ya wapiganaji maadui wa Uislamu.
Kitakachobaki ni rehma za Allah subhanahu wa taala ambaye ana uwezo wa kubadili mwenyewe bila msaada wa yoyote muda huu kabla kufikia huko.
Huwezi kufika 70AD kabla hujazungumza mwanzo wa dunia kabla hata hizo tarehe hazijaanza.Uliza 70AD
Ndipo tukasema ni vita tu hakujawahi kuwepo utulivu.Sasa kwan hao Jews na Arabs si na wenyewe si wanapigana wenyewe kwa wenyewe au hujui Jews na Arabs wapo hapo pamoja mpaka wakat wa Ottoman ndio baadhi ya Jews wa Europe wakaungana na Jews wenyej kupata taifa lao.
Watu wanazuiliwa chakula kwa makusudi halafu unaita ni propaganda.Sasa kama hamas wanajilinda mwa kuichokoza israel mbona wakijibiwa mnalilia na kutuwekea picha za watoto sasa hivi imezuka propaganda nyingine ya kutafuta huruma kwa wapalestina ni kutumia neno njaa inawaua wapalestina mbona africa kuna njaa ila mpo kimya
Shangaa na wewe! Hamas walitaka vita,wakachimba mtandao wa mahandaki wa kutosha,wakakusanya rockets za kutosha(maelfu kwa maelfu). Mwisho wa siku wakavamia Israel tarehe 7/10/23. WALITAKA VITA NA VITA INAENDELEA WAACHWE WAPIGANE MPAKA WASHINDE KULINGANA NA MIPANGO WALIOJIWEKEADunia ifanyeje sasa hamas wakaichokoze israel wenyewe halafu israel ikijilinda dunia iwatetee wapalestina
We kilaza hujitambui. Nimekuuliza shida iliyopo hapo ni vita ya dini au survive for fittestNdipo tukasema ni vita tu hakujawahi kuwepo utulivu.
Mayahudi na wakristo wakizidiwa katika uwanja wa vita wanabadili mbinu na kutumia njia ya kuwaletea waislamu mambo ya kipuuzi kama demokrasia na ufalme na mengineyo ili wasikae wakajiendesha kwa maongozi ya dini yao.
Sawa Sheikh waache hamas wale kichapo cha kutoshaHata suali lako nalo halieleweki.Kajifunze tena kuuliza maswali yenye mantiki.
Maswali kama ya mke mwenza daima huwa hayana afya.
Adam/Hawa na uislamu ni wapi na wapi wakati hawakuwa waarabu. Uislamu uliokuja karne ya nane baada ya Mohammed kufa na ni pure Arabic Culture inayoitwa eti dini.Huwezi kufika 70AD kabla hujazungumza mwanzo wa dunia kabla hata hizo tarehe hazijaanza.
Muda huo ni Mungu mwenyewe halafu akamuumba Adam na Hawa.Hao ndio waislamu wa mwanzo.
Eneo la Gaza ni moja ya maeneo matukufu ambako mitume wengi waliishi.Watu wahuni na waliolaaniwa hawawezi wakapata haki ya kulikalia eneo hilo pamoja na msikiti wa Alaqsa ambao ni mali ya waislamu wote duniani.
Sio ubabe wa marekani?Uislamu inasababisha amani kutoweka duniani.
Unasoma Quran ? unapotetea Arabs wa Gaza ni kwamba unapinga maamuzi ya Allah... yaani maamuzi yake ya Kumpa Mussa na Waisrael ardhi wanayoishi sasa Waisrael na maeneo ya karibu na mbali ambayo bado hawajayasika ni uamuzi wa kipuuzi na wa kipumbavu kabisa Allah aliufanya kuwa hadi Kiama.Huwezi kufika 70AD kabla hujazungumza mwanzo wa dunia kabla hata hizo tarehe hazijaanza.
Muda huo ni Mungu mwenyewe halafu akamuumba Adam na Hawa.Hao ndio waislamu wa mwanzo.
Eneo la Gaza ni moja ya maeneo matukufu ambako mitume wengi waliishi.Watu wahuni na waliolaaniwa hawawezi wakapata haki ya kulikalia eneo hilo pamoja na msikiti wa Alaqsa ambao ni mali ya waislamu wote duniani.
Hivi bado upo Tanzania hujaendaga kuwasaidia ndugu zako palestina?Katika historia ya dunia hakujawahi kuwepo utulivu .Ni vita tu kwa mitindo tofauti kulingana na muda.
Vita hivyo viko vya aina mbili.Vile vya kiuchumi na maslahi ya kidunia ambavyo hupiganwa na mashetani wawili wote wenye malengo ya kidunia.
Vita vya aina ya pili ni vya kidini ambavyo hupiganwa na wafuasi wa shetani kuwaweka mbali watu na Mungu na upande wa pili hupiganwa na wafuasi wa Mungu ambao huwa wana matarajio ya masiha mazuri baada ya kufa kwao.
Vita vya kidini daima vimekuwa baina wafuasi wa shetani dhidi ya waislamu ambao wanafuata Uislamu.
Historia inaanza mbali sana tangu dunia kuumbwa kwake.Historia ya karibu ni pale alipotumwa mtume Muhammad rehma na amani zimshukie.
Mtume Muhammad s.a.w alikuta dola za jirani za kifursi na roma pamoja na dola nyengine za kishirikina mbali na Makka na Madina.Dola zote hizo zilikwishaacha kufuata Uislamu na ikawa zinaendeshwa na shetani.Dola hizo hazikuacha kufanya uadui na dola ya kiislamu chini ya mtume huyo wa mwisho.
Vita vilivyoanzishwa na dola hizo havikuweza kuzuia ushindi wa waislamu.Uislamu ukafika Ulaya,nchi zote za Asia ikiwemo China,India na Urusi. Ilipoonekana kwa njia ya vita Uislamu haukushindikana,mfumo wa kufanya vita vya kiakili ukashika kasi na umeendelea kwa muda mrefu katikati yake pakaingia mchanganyiko wa vita vya kimaslahi ya dunia vikichanganywa na malengo ya dini kwa uongozi na fikra za kishetani.
Ukoloni kwa malengo ya kidunia ukaondoshwa hatua kwa hatua lakini vita vya kiakili kwa kutumia maendeleo ya kielimu ya kisasa bado havikusita.Katika vita hivyo waislamu wameshindwa pakubwa na kurudishwa nyuma wakibakiwa na maeneo madogo sana.
Upande wa vita vya kiakili dini za kikristo na nyenginezo zimefanikiwa kuwashinda waislamu kwa mbinu ya kuwatayarishia watawala watakaokuwa wakifanya kazi zilizo dhidi ya waislamu na kuwakandamiza waislamu wenye malengo ya kidini kwa maslahi ya akhera.
Mafanikio hayo yamekuwa makubwa kwa kuzishika nchi zote ambazo ni kitovu cha nguvu za waislsmu waliotawala kwa maongozi wa Mtume Muhammad s.a.w.Mbinu hiyo imechanganywa na kuzigombanisha nchi hizo na kuzifanya zisiwe na umoja wa aina yoyote ile. Kuna maeneo machache ambayo yamebaki katika maongozi hayo ambayo kwa kutumia vita vya kiakili wakristo na mayahudi wamekuwa wakishirikiana kuyamaliza kama wataweza.
Maeneo hayo ni kama vile Gaza ambako Israel akishirikiana na Marekani na Uiengereza wamekuwa wakipiga kwa nguvu na kwa silaha nzito sambamba na kuwalaza viongozi wa mataifa jirani kwa ulaghai tofaujti.
Ulaghai na diplomasia za ujanja na undumilakuwili umekuwa na mafanikio makubwa kwani viongozi wa nchi ziizo jirani ni wale waliotayarishwa kwa ajili ya muda kama huu.
Mfano wa mafanikio hayo ni kupigwa kwa eneo la Gaza na kuzuia chakula lakini nchi zote za kiislamu zimeshindwa kuzuia balaa hilo na hata kulaani kwa sauti ya juu.
Wakati huo huo Marekani inajitia huruma za mamba ikijifanya kujenga bandari ambayo irapeleleka chakula japo wana ratiba ya miezi miwili mbeleni .
Hatimae bandari hiyo itaondolewa kwenye kuwa ya muda na itapewa jukumu tofauti na hatimae kukamilisha malengo ya Israel ambaye ni mshirikia mkubwa wa Marekani na Uiengereza katika vita hivyo
Malengo mapana ya Israel kuimeza Gaza yote kama ilivyofanya kwa maeneo ya ukingo wa Magharibi yatakuwa yametimia.
Mataifa yaliyotarajiwa kuokoa janga hilo kwa vile hawajaweza kufanya muda huu mahitaji yake ni muda muafaka hawataweza kamwe kufanya jambo hilo baada ya kukamilika kwa malengo ya wapiganaji maadui wa Uislamu.
Kitakachobaki ni rehma za Allah subhanahu wa taala ambaye ana uwezo wa kubadili mwenyewe bila msaada wa yoyote muda huu kabla kufikia huko.
Unamtaja Mussa a.s kama ni babu yako na kupuuza kuwa ni mtume wa Allah ambaye ni muislamu na miongoni mwa mitume mashuhuri.Unasoma Quran ? unapotetea Arabs wa Gaza ni kwamba unapinga maamuzi ya Allah... yaani maamuzi yake ya Kumpa Mussa na Waisrael ardhi wanayoishi sasa Waisrael na maeneo ya karibu na mbali ambayo bado hawajayasika ni uamuzi wa kipuuzi na wa kipumbavu kabisa Allah aliufanya kuwa hadi Kiama.
So kama unawaita waisrael watu wa Kitabu ni wahuni je Allah wao atakuwa Nyang'au kabisa enh... Leo tuna Alwaz Anayempinga Allah... Soma Aya Ujue Wahuni ni Waarabu wa Westbank na Hamas na Jordan,Saudia Arabia,Syria na Lebanon From the river to the sea.
- And [mention, O Muhammad], when Moses said to his people, “O my people, remember the favor of Allah [God] upon you when He appointed among you prophets and made you possessors and gave you that which He had not given anyone among the worlds. O my people, enter the Holy Land which Allah has assigned to you and do not turn back and [thus] become losers.” [Surah Al-Ma’idah 5:20-21]
- Na [ anaambiwa wewe Mudy], wakati Musa anawaambia watu wake, Enyi watu wangu, kumbukeni mmepata upendeleo kutoka kwa Allah, anakuchagulieni Manabii miongoni nyinyi kwa nyinyi, Na akakumilikisheni na akakupeni yale ambayo hakuwahi kutoa kable kwa yeyote katika walimwengu wote. Enyi watu wangu! ingieni katika Nchi Takatifu aliyo kupangieni Mwenyezi Mungu, wala msirudi nyuma, na mkawa wenye kupoteza.[Surah Al-Ma’idah 5:20-21]
- They said, “O Moses, indeed within it is a people of tyrannical strength, and indeed, we will never enter it until they leave it; but if they leave it, then we will enter.” [Surah Al-Ma’idah 5:22]
- Wakasema: Ewe Musa! Hakika ndani yake wako watu wenye nguvu za kidhalimu, na hakika sisi hatutaingia humo mpaka waondoke. Lakini kama wataondoka, basi tutaingia." [Sura ya Al-Ma'idah 5:22]
- Two men among those who feared [disobeying the people upon whom] Allah had bestowed favor said, “Enter upon them through the gate, for when you have entered it, you will be predominant. And upon Allah rely, if you should be believers.” [Surah Al-Ma’idah 5:23]
- Wakasema watu wawili miongoni mwa watu waliomcha Mwenyezi Mungu: "Ingieni katika lango la kuingilia (kuingia humo) mtakuwa wenye kushinda. Na Mwenyezi Mungu mumtegemeeni, ikiwa nyinyi muwaumini. [Sura ya Al-Ma'idah 5:23]
- [The Israelites] said, “O Moses, indeed we will not enter it, ever, as long as they are within it; so go, you and your Lord, and fight. Indeed, we are remaining right here.” [Surah Al-Ma’idah 5:24]
- [Waisraeli] wakasema: Ewe Musa, hakika sisi hatutaingia humo milele, maadamu wako ndani yake. Basi enendeni nyinyi na Mola wenu Mlezi, na piganeni. Kwa hakika tunabaki hapa." [Sura ya Al-Ma'idah 5:24
- [Moses] said, “My Lord, indeed I do not possess except myself and my brother, so part us from the defiantly disobedient people.” [Surah Al-Ma’idah 5:25]
- [Musa] akasema: Mola wangu Mlezi! Mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu, basi tutenge na watu waliopotoka. [Sura ya Al-Ma'idah 5:25]
- [God] said, “Then indeed, it is forbidden to them for forty years [in which] they will wander throughout the land. So do not grieve over the defiantly disobedient people.” [Surah Al-Ma’idah 5:26]
- Mwenyezi Mungu akasema: Basi ni haramu kwao kwa miaka arobaini watatangatanga katika nchi. Basi msihuzunike kwa watu wapotovu. [Sura ya Al-Ma'idah 5:26]
Mr. Alwaz sijui Ustaadhi Soma Kuran uache kukufuru kwa Allah wako.. Most of Muslim hawajui kama Wayahudi na Wakristo ni watu wa Kitabu na Wataiona Pepo.Surat Ng'ombe Quran 2:62.
(2:62) Whether they are the ones who believe, or whether they are Jews, Christians or Sabian's – all who believe in Allah and the Last Day and do righteous deeds – their reward is surely secure with their Lord; they need have no fear, nor shall they grieve.
[2.62] Ama wao ndio walio amini au ni Mayahudi au Wakristo au Sabians - wote wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wakatenda mema, basi ujira wao ni salama kwa Mola wao Mlezi. Hawana haja ya kuwa na hofu, wala hawatahuzunika.
Kwenye Sabians Mleta Quran kajithibitishia kabisa ni Nabii wa Uongo Sabian ni Dhehebu la watu wanaoamini Nyota... au sabau Allah nae huwa anaapa kwa Nyota Quran Chapter An-najn 53: 1
huyo jamaa Undu amesahau au ni kipofu kujua kuwaSio ubabe wa marekani?