Vita vya Gaza ni mwendelezo wa vita dhidi ya Uislamu kwa mtindo mpya

Kwa namna Hamas iliua watu, wangine kubakwa na wengine kukatwa vichwa kwa kutumia chepe, tuungane na Israel kuyaangamiza haya mashetani ya Hamas.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Uliza 70AD
Huwezi kufika 70AD kabla hujazungumza mwanzo wa dunia kabla hata hizo tarehe hazijaanza.
Muda huo ni Mungu mwenyewe halafu akamuumba Adam na Hawa.Hao ndio waislamu wa mwanzo.
Eneo la Gaza ni moja ya maeneo matukufu ambako mitume wengi waliishi.Watu wahuni na waliolaaniwa hawawezi wakapata haki ya kulikalia eneo hilo pamoja na msikiti wa Alaqsa ambao ni mali ya waislamu wote duniani.
 
Sasa kwan hao Jews na Arabs si na wenyewe si wanapigana wenyewe kwa wenyewe au hujui Jews na Arabs wapo hapo pamoja mpaka wakat wa Ottoman ndio baadhi ya Jews wa Europe wakaungana na Jews wenyej kupata taifa lao.
Ndipo tukasema ni vita tu hakujawahi kuwepo utulivu.
Mayahudi na wakristo wakizidiwa katika uwanja wa vita wanabadili mbinu na kutumia njia ya kuwaletea waislamu mambo ya kipuuzi kama demokrasia na ufalme na mengineyo ili wasikae wakajiendesha kwa maongozi ya dini yao.
 
Watu wanazuiliwa chakula kwa makusudi halafu unaita ni propaganda.
 
Dunia ifanyeje sasa hamas wakaichokoze israel wenyewe halafu israel ikijilinda dunia iwatetee wapalestina
Shangaa na wewe! Hamas walitaka vita,wakachimba mtandao wa mahandaki wa kutosha,wakakusanya rockets za kutosha(maelfu kwa maelfu). Mwisho wa siku wakavamia Israel tarehe 7/10/23. WALITAKA VITA NA VITA INAENDELEA WAACHWE WAPIGANE MPAKA WASHINDE KULINGANA NA MIPANGO WALIOJIWEKEA
 
We kilaza hujitambui. Nimekuuliza shida iliyopo hapo ni vita ya dini au survive for fittest
 
We kilaza hujitambui. Nimekuuliza shida iliyopo hapo ni vita ya dini au survive for fittest
Hata suali lako nalo halieleweki.Kajifunze tena kuuliza maswali yenye mantiki.
Maswali kama ya mke mwenza daima huwa hayana afya.
 
Adam/Hawa na uislamu ni wapi na wapi wakati hawakuwa waarabu. Uislamu uliokuja karne ya nane baada ya Mohammed kufa na ni pure Arabic Culture inayoitwa eti dini.
 
Katika uongo wote,nafhani uongo ambao ni Grand Lie au uongo bab kubwa katika historianya dunia hii ni madai kuwa Usilam ulianza kabla ya Mohamad.Kwamba Uislam ulianzia Na Adamu Na Hawa.Kwamba eti Musa alipopanda mlimani.Waisrael wote walikuwa waislam.Ila eti aliposhuka akakuta wenhime wameasi na kuanzisha dini ya Kiyahudi.Na watu wanasoma kwenye vyuo vikuu vya kisslam na kuoata phd katika vapour.
 
Uislamu ni upumbavu na ni njia ya kuzimu.
 
Unasoma Quran ? unapotetea Arabs wa Gaza ni kwamba unapinga maamuzi ya Allah... yaani maamuzi yake ya Kumpa Mussa na Waisrael ardhi wanayoishi sasa Waisrael na maeneo ya karibu na mbali ambayo bado hawajayasika ni uamuzi wa kipuuzi na wa kipumbavu kabisa Allah aliufanya kuwa hadi Kiama.

So kama unawaita waisrael watu wa Kitabu ni wahuni je Allah wao atakuwa Nyang'au kabisa enh... Leo tuna Alwaz Anayempinga Allah... Soma Aya Ujue Wahuni ni Waarabu wa Westbank na Hamas na Jordan,Saudia Arabia,Syria na Lebanon From the river to the sea.

  • And [mention, O Muhammad], when Moses said to his people, “O my people, remember the favor of Allah [God] upon you when He appointed among you prophets and made you possessors and gave you that which He had not given anyone among the worlds. O my people, enter the Holy Land which Allah has assigned to you and do not turn back and [thus] become losers.” [Surah Al-Ma’idah 5:20-21]

  • Na [ anaambiwa wewe Mudy], wakati Musa anawaambia watu wake, Enyi watu wangu, kumbukeni mmepata upendeleo kutoka kwa Allah, anakuchagulieni Manabii miongoni nyinyi kwa nyinyi, Na akakumilikisheni na akakupeni yale ambayo hakuwahi kutoa kable kwa yeyote katika walimwengu wote. Enyi watu wangu! ingieni katika Nchi Takatifu aliyo kupangieni Mwenyezi Mungu, wala msirudi nyuma, na mkawa wenye kupoteza.[Surah Al-Ma’idah 5:20-21]

  • They said, “O Moses, indeed within it is a people of tyrannical strength, and indeed, we will never enter it until they leave it; but if they leave it, then we will enter.” [Surah Al-Ma’idah 5:22]

  • Wakasema: Ewe Musa! Hakika ndani yake wako watu wenye nguvu za kidhalimu, na hakika sisi hatutaingia humo mpaka waondoke. Lakini kama wataondoka, basi tutaingia." [Sura ya Al-Ma'idah 5:22]

  • Two men among those who feared [disobeying the people upon whom] Allah had bestowed favor said, “Enter upon them through the gate, for when you have entered it, you will be predominant. And upon Allah rely, if you should be believers.” [Surah Al-Ma’idah 5:23]

  • Wakasema watu wawili miongoni mwa watu waliomcha Mwenyezi Mungu: "Ingieni katika lango la kuingilia (kuingia humo) mtakuwa wenye kushinda. Na Mwenyezi Mungu mumtegemeeni, ikiwa nyinyi muwaumini. [Sura ya Al-Ma'idah 5:23]

  • [The Israelites] said, “O Moses, indeed we will not enter it, ever, as long as they are within it; so go, you and your Lord, and fight. Indeed, we are remaining right here.” [Surah Al-Ma’idah 5:24]

  • [Waisraeli] wakasema: Ewe Musa, hakika sisi hatutaingia humo milele, maadamu wako ndani yake. Basi enendeni nyinyi na Mola wenu Mlezi, na piganeni. Kwa hakika tunabaki hapa." [Sura ya Al-Ma'idah 5:24


  • [Moses] said, “My Lord, indeed I do not possess except myself and my brother, so part us from the defiantly disobedient people.” [Surah Al-Ma’idah 5:25]

  • [Musa] akasema: Mola wangu Mlezi! Mimi similiki ila nafsi yangu na ndugu yangu, basi tutenge na watu waliopotoka. [Sura ya Al-Ma'idah 5:25]

  • [God] said, “Then indeed, it is forbidden to them for forty years [in which] they will wander throughout the land. So do not grieve over the defiantly disobedient people.” [Surah Al-Ma’idah 5:26]

  • Mwenyezi Mungu akasema: Basi ni haramu kwao kwa miaka arobaini watatangatanga katika nchi. Basi msihuzunike kwa watu wapotovu. [Sura ya Al-Ma'idah 5:26]

Mr. Alwaz sijui Ustaadhi Soma Kuran uache kukufuru kwa Allah wako.. Most of Muslim hawajui kama Wayahudi na Wakristo ni watu wa Kitabu na Wataiona Pepo.Surat Ng'ombe Quran 2:62.

(2:62) Whether they are the ones who believe, or whether they are Jews, Christians or Sabian's – all who believe in Allah and the Last Day and do righteous deeds – their reward is surely secure with their Lord; they need have no fear, nor shall they grieve.

[2.62] Ama wao ndio walio amini au ni Mayahudi au Wakristo au Sabians - wote wanaomuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho, na wakatenda mema, basi ujira wao ni salama kwa Mola wao Mlezi. Hawana haja ya kuwa na hofu, wala hawatahuzunika.

Kwenye Sabians Mleta Quran kajithibitishia kabisa ni Nabii wa Uongo Sabian ni Dhehebu la watu wanaoamini Nyota... au sabau Allah nae huwa anaapa kwa Nyota Quran Chapter An-najn 53: 1
 
Hivi bado upo Tanzania hujaendaga kuwasaidia ndugu zako palestina?
 
Unamtaja Mussa a.s kama ni babu yako na kupuuza kuwa ni mtume wa Allah ambaye ni muislamu na miongoni mwa mitume mashuhuri.
Mussa hakuwa myahudi wala hakuwa mkristo.Kwa hivyo usimuhusihe na ushenzi unaofanywa na mayahudi.
Kama anatokea muda huu angewatia bakora yake ya ajabu na nyote mngeshika adabu zenu kwa kumshirikisha na upuuzi na uhuni wenu.
Halafu unasoma Qur'an na kuitafsiri kama kwamba ni biblia kwamba unaweza ukajaza na maneno yako ya kishoga shoga.
Qur'an ni kitabu kitakatifu na tafsiri yake haifanywi kikamilifu bila kufuata kanuni maalum na vyanzo vya ushahidi.
Ukiacha hilo,aya zote zinapinga uozo wa fikra zako unapojua kuwa mtume Mussa ni ndugu na Muhammad saw kwamba wote wametumwa na Allah na kazi yao ni moja.Siku nabii Muhammad alipopaa mbinguni kutokea masjidul Aqsa alikutana naye na akaswalishwa na Muhammad rehema na amani zimshukie.
vipi mtume huyo utamuhusisha na watu wahuni kama mayahudi.
 
Sio ubabe wa marekani?
huyo jamaa Undu amesahau au ni kipofu kujua kuwa
Waliopiga bomu la nyukli na kuvamia nchi kadhaa huru na kuua watu wake
Iko siku walimkamata raisi nzima wa nchi na kumpeleka nchini kwao.
Jee matendo hayo ndio kuleta amani ya dunia ?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2219][emoji2219][emoji2219]
 
Vita si mlianza wenyewe?
Sasa mnataka muonewe huruma?
Jino kwa jino! nondo kwa nondo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…