Vita vya iran na israel umbali wa nchi hizo unafanywa teknolojia hivi TZ tutaweza.

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali.
IMG_1740.jpeg

Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari.
IMG_1741.jpeg

Nimeona aina za makombora wanayotumia na bila kupeleka wanajeshi front.

Makombora Yanayohusishwa na Israel kwenye mapigano.
1. Delilah Cruise Missile
IMG_1742.jpeg

Kombora lenye uwezo wa kurusha kwa umbali wa hadi km 250, likiwa na uwezo wa kubadilisha shabaha angani.

Kazi: Mashambulizi ya umbali mrefu dhidi ya rada, makao makuu, au vituo vya makombora ya Iran.

2. LORA (Long Range Artillery)

IMG_1743.jpeg

Maelezo: Kombora la balestiki lenye uwezo wa kufika hadi km 400, kwa usahihi wa hali ya juu (GPS/INS guided).
Kazi: Kutumika kushambulia vituo vya kijeshi vya kimkakati.

3. Rampage Missile

IMG_1744.jpeg

Maelezo: Linarushwa na ndege kama F-15 au F-35, limebuniwa kupenya maeneo yenye ulinzi mkali wa anga.
Kazi: Kuangamiza silaha nzito na vituo vya uzalishaji makombora.

4. Popeye Missile (Have Nap)
IMG_1745.jpeg

Maelezo: Kombora la masafa ya kati linalobebwa na ndege, linaweza kubeba vichwa vya vilipuzi vya kawaida au vya nyuklia.

Kazi: Lilitumika kushambulia malengo ya umbali wa kati, lina usahihi mkubwa.

5. SPICE (Smart, Precise Impact, Cost-Effective) Kits

IMG_1746.jpeg

Maelezo: Hizi si makombora kamili bali ni “guidance kits” zinazobadilisha mabomu ya kawaida kuwa smart bombs (GPS-guided).
Kazi: Kushambulia kwa usahihi vituo vya Iran au wanamgambo wa Hezbollah/Syria.

Upande wa iran.

Iran imewekeza sana katika maendeleo ya makombora tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979. Kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, Iran imejitegemea kwa kiasi kikubwa na sasa ina uwezo mkubwa wa kutengeneza makombora ya aina mbalimbali, yenye uwezo wa kushambulia kwa usahihi mkubwa hadi maelfu ya kilomita mbali.
1. Makombora ya Masafa Marefu

IMG_1747.jpeg

Haya ni makombora yanayoweza kufika umbali wa zaidi ya kilomita 2,000, ambayo yanaiwezesha Iran kufikia Israel na hata baadhi ya maeneo ya Ulaya. Mfano maarufu ni kombora la Shahab-3, ambalo lina uwezo wa kubeba vichwa vya vilipuzi vikubwa na kufika hadi Israel. Toleo lake la kisasa, Emad, lina uwezo mkubwa wa kuelekezwa na lina usahihi wa hali ya juu. Kuna pia kombora la Khaybar Shekan, ambalo lilizinduliwa hivi karibuni, likiwa na teknolojia ya kisasa ya kasi na usahihi.

2. Makombora ya Masafa ya Kati na Mafupi

IMG_1748.jpeg

Iran pia ina makombora ya masafa ya kati kama Ghadr-F, na yale ya masafa mafupi kama Fateh-110, Zolfaghar, na Dezful. Haya ni ya haraka, rahisi kuyazindua, na yana uwezo mkubwa wa kuvuruga ulinzi wa maadui karibu na mipaka ya Iran. Makombora haya yamewahi kutumika kushambulia vikosi vya Marekani nchini Iraq na pia vituo vya waasi nchini Syria.

3. Cruise Missiles
IMG_1749.jpeg

Tofauti na makombora ya balestiki, cruise missiles huruka chini karibu na uso wa ardhi na ni vigumu kuyagundua kwa rada. Iran ina Soumar na Hoveyzeh, ambayo ni makombora ya cruise yenye uwezo wa kuruka hadi kilomita 2,000, yakiwa yameundwa kwa teknolojia ya makombora ya zamani ya Sovieti. Haya yanalenga kushambulia kwa siri na usahihi, haswa maeneo ya kijeshi na miundombinu.

4. Drones za Kivita

IMG_1750.jpeg

Iran pia ina teknolojia ya kutengeneza ndege zisizo na rubani (drones) zinazobeba vilipuzi. Maarufu zaidi ni Shahed-129 na Shahed-136, ambazo zimetumika sana kwenye mashambulizi ya Ukraine (kupitia Urusi) na pia zilitumika na Iran kushambulia Israel Aprili 2024. Drones hizi huweza kubeba mabomu, kufanya upelelezi, au kurushwa kwa maelfu ya kilomita bila kugunduliwa kirahisi.

Mwisho.
 
Mkuu acha kuumiza ndonga kwenye hakuna sisi adui zetu wakubwa ni nchi jirani kiki nuka tu tunakwea maroli tunaenda kumalizana nao tit for tat sasa tuwe na adui wa mbali huko mfano naija huko, hapo tutamalizana kwa diplomacy tu maana mpaka leo serikali ina komaa na sera ya kukamilisha madawati na matundu ya vyoo shule za msingi.
 
Na majeshi ya afrika adui yao namba moja ni wananchi wao wenyewe, ndiyo maana unaona wanafanya mazoezi ya kuwadhibiti raia na siyo mazoezi ya kivita, vita na chadema drone ya nini? Ballistics za nini?
 
Tutaweza mama kasema uchumi wa ulaya na marekani umeshuka wakati wetu unapanda kwa kasi kama moto wa petrol.
IMG-20250617-WA0000.jpg
 
Hatuwezi tumebaki kujisifia tunawazidi kiuchumi sijui uchumi gani
 
Nimetafakari sana jinsi wenzetu wanaweza kupiga kwa kutumia makombora kwenda kwenye kambi za kijeshi,wapi walipo viongozi na hapo vita hivi nchi zote sio karibu zote zipo mbali.
View attachment 3372384
Sasa hapa kwetu tuna uchumi mzuri kuliko marekani na ulaya ndio natafakari.
View attachment 3372385

Nimeona aina za makombora wanayotumia na bila kupeleka wanajeshi front.

Makombora Yanayohusishwa na Israel kwenye mapigano.
1. Delilah Cruise Missile
View attachment 3372386
Kombora lenye uwezo wa kurusha kwa umbali wa hadi km 250, likiwa na uwezo wa kubadilisha shabaha angani.

Kazi: Mashambulizi ya umbali mrefu dhidi ya rada, makao makuu, au vituo vya makombora ya Iran.

2. LORA (Long Range Artillery)

View attachment 3372387
Maelezo: Kombora la balestiki lenye uwezo wa kufika hadi km 400, kwa usahihi wa hali ya juu (GPS/INS guided).
Kazi: Kutumika kushambulia vituo vya kijeshi vya kimkakati.

3. Rampage Missile

View attachment 3372388
Maelezo: Linarushwa na ndege kama F-15 au F-35, limebuniwa kupenya maeneo yenye ulinzi mkali wa anga.
Kazi: Kuangamiza silaha nzito na vituo vya uzalishaji makombora.

4. Popeye Missile (Have Nap)
View attachment 3372389

Maelezo: Kombora la masafa ya kati linalobebwa na ndege, linaweza kubeba vichwa vya vilipuzi vya kawaida au vya nyuklia.

Kazi: Lilitumika kushambulia malengo ya umbali wa kati, lina usahihi mkubwa.

5. SPICE (Smart, Precise Impact, Cost-Effective) Kits

View attachment 3372390
Maelezo: Hizi si makombora kamili bali ni “guidance kits” zinazobadilisha mabomu ya kawaida kuwa smart bombs (GPS-guided).
Kazi: Kushambulia kwa usahihi vituo vya Iran au wanamgambo wa Hezbollah/Syria.

Upande wa iran.

Iran imewekeza sana katika maendeleo ya makombora tangu Mapinduzi ya Kiislamu ya mwaka 1979. Kwa sababu ya vikwazo vya kimataifa, Iran imejitegemea kwa kiasi kikubwa na sasa ina uwezo mkubwa wa kutengeneza makombora ya aina mbalimbali, yenye uwezo wa kushambulia kwa usahihi mkubwa hadi maelfu ya kilomita mbali.
1. Makombora ya Masafa Marefu

View attachment 3372391

Haya ni makombora yanayoweza kufika umbali wa zaidi ya kilomita 2,000, ambayo yanaiwezesha Iran kufikia Israel na hata baadhi ya maeneo ya Ulaya. Mfano maarufu ni kombora la Shahab-3, ambalo lina uwezo wa kubeba vichwa vya vilipuzi vikubwa na kufika hadi Israel. Toleo lake la kisasa, Emad, lina uwezo mkubwa wa kuelekezwa na lina usahihi wa hali ya juu. Kuna pia kombora la Khaybar Shekan, ambalo lilizinduliwa hivi karibuni, likiwa na teknolojia ya kisasa ya kasi na usahihi.

2. Makombora ya Masafa ya Kati na Mafupi

View attachment 3372394
Iran pia ina makombora ya masafa ya kati kama Ghadr-F, na yale ya masafa mafupi kama Fateh-110, Zolfaghar, na Dezful. Haya ni ya haraka, rahisi kuyazindua, na yana uwezo mkubwa wa kuvuruga ulinzi wa maadui karibu na mipaka ya Iran. Makombora haya yamewahi kutumika kushambulia vikosi vya Marekani nchini Iraq na pia vituo vya waasi nchini Syria.

3. Cruise Missiles
View attachment 3372395

Tofauti na makombora ya balestiki, cruise missiles huruka chini karibu na uso wa ardhi na ni vigumu kuyagundua kwa rada. Iran ina Soumar na Hoveyzeh, ambayo ni makombora ya cruise yenye uwezo wa kuruka hadi kilomita 2,000, yakiwa yameundwa kwa teknolojia ya makombora ya zamani ya Sovieti. Haya yanalenga kushambulia kwa siri na usahihi, haswa maeneo ya kijeshi na miundombinu.

4. Drones za Kivita

View attachment 3372397
Iran pia ina teknolojia ya kutengeneza ndege zisizo na rubani (drones) zinazobeba vilipuzi. Maarufu zaidi ni Shahed-129 na Shahed-136, ambazo zimetumika sana kwenye mashambulizi ya Ukraine (kupitia Urusi) na pia zilitumika na Iran kushambulia Israel Aprili 2024. Drones hizi huweza kubeba mabomu, kufanya upelelezi, au kurushwa kwa maelfu ya kilomita bila kugunduliwa kirahisi.

Mwisho.
TANZANIA wanajeshi wanaumahiri mubwa kwa kupasua matofali kwa kichwa kula beer
 
Maa

Hatuna maadui
Hata wakiwepo baadaye, hawapo mbali
 
Ukishamiliki hizo silaa, utajikuta unalazimisha sehemu ya kwenda kuzitumia. Pia hii vita inayoendelea ni sehemu pia ya kujitangaza ili kwa siku zijazo wanunuzi wa silaa wapatikane.​
 
Sasa utalinganishaje Tanzania na Israel / Iran ?? Kweli?? Hizi si akili za shule ya kayumba !!
 
Back
Top Bottom