Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 23,526
- 34,057
Wewe mtu mweusi, Masuala ya iran na Israel yanakuhusu nini?? 🤔 🤔.
Nyafwili,Wewe mtu mweusi, Masuala ya iran na Israel yanakuhusu nini?? 🤔 🤔.
Kijakazi,nina uhakika hata halijui wala kulitambua hilo, muangalie tu alivyovaa mbona waturuki hawavai hivyo kama swala ni islam? waturuki ni muslims pia isitoshe bila ya uturuki islam ingebakia arabian desert tu kwa uncivilized arabs ...
Kijakazi,
Waturuki hawavai kanzu na kofia ingawa ni Waislamu.
Uislamu si lebasi.
Uislamu ni ile itikadi yenyewe.
Kuhusu ustaarabu wa Waarabu.
Soma historia yao utawajua.
Mbona kama unamuunga mkono uliyemjibu. Anakuuliza kwanini uvae mavazi ya Kiarabu ilhali wewe sio Muarabu?Kijakazi,
Waturuki hawavai kanzu na kofia ingawa ni Waislamu.
Uislamu si lebasi.
Uislamu ni ile itikadi yenyewe.
Kuhusu ustaarabu wa Waarabu.
Soma historia yao utawajua.
nina uhakika hata halijui wala kulitambua hilo, muangalie tu alivyovaa mbona waturuki hawavai hivyo kama swala ni islam? waturuki ni muslims pia isitoshe bila ya uturuki islam ingebakia arabian desert tu kwa uncivilized arabs ...
Mambk ya mudi boy the mbususu haya
Ulitaka avae kama hawa wachungaji wako ??
Mambo ya Jessy
View: https://www.youtube.com/shorts/f8FVjssvilk
View: https://www.youtube.com/shorts/XQkin2puyew
Kijakazi,lkn wewe siyo mwarabu atleast kwa muonekano wako, hicho ndicho nilichomaanisha ...
Donnie,Umekuja JF ili kutupeleka YouTube, wewe ni content creator umekuja kutafuta viewers huku.
Maris...Mbona kama unamuunga mkono uliyemjibu. Anakuuliza kwanini uvae mavazi ya Kiarabu ilhali wewe sio Muarabu?
Una maarifa mengi na makubwa katika mawanda ya Historia ila tatizo lako ni udini. Umeruhusu udini ukaleta ukungu mkubwa katika akili yako kiasi kwamba ukiongea unajikuta upo katika mlengo wa dini na sio objectivesMaris...
Niangalie kwenye vazi hilo hapo chini:
View attachment 3655315
Ndugu yangu unasemaje?
Hii picha nimepiga 2008.
Kama vile humtambui mchungaji wako Nabii TitoWachungaji ndiyo kina nani tena hao ? Au ni watu wa madhehebuni?
Maris...Una maarifa mengi na makubwa katika mawanda ya Historia ila tatizo lako ni udini. Umeruhusu udini ukaleta ukungu mkubwa katika akili yako kiasi kwamba ukiongea unajikuta upo katika mlengo wa dini na sio objectives