Hivi wewe uambiwe mara ngapi ndo uelewe ? Umeambiwa Israel haitafuti mateka Bali inawatafuta magaidi ambao wanajificha humo mahospitalini .
Shida yenu hamtaki kuwasikiliza kabisa waisrael kuhusu madai yao. Wao kulingana na taarifa za kiuchunguzi na kiintelijensia wanadai magaidi wamejificha humo mahospitalini, makanisani na misikitini. Lakini watu mmekaza shingo na vichwa hamtaki kuwasikiliza na kukalia kuilaumu.
Siku chache zilizopita Israel ilipiga Kambi ya wakimbizi na kusababisha maafa makubwa , Cha ajabu Moja kati ya makamanda wa HAMAS alilipotiwa kufa katika Kambi hiyo . Hiyo tafsiri yake Nini?.
Msemaji wa jeshi la Israel Daniel Hagari Jana ametolea ufafanuzi kuhusu hospital ya Al shifa na kusema wakati wakipambana na HAMAS katikati ya mapambano kiongozi wa HAMAS alikimbia na kuingia kwenye hospital hiyo .. Na Israel ikazingira hospital hapo na kuacha wazi upande wa mashariki Ili watu waweze kutoka Kwa ukaguzi , waliotoka walitoka na wabishi wakakaidi . Ulitegemea Israel awachekee? 🤣🤣🤣🤣