Vita vya Israel vimepata jina jipya. Ni vita vya kupigana na hospitali, waandishi wa habari na mapipa ya maji

Ile ardhi ni ya wayahudi tangu vizazi na vizazi. Wapalestina ni kama wapangaji tu
Hiyo ni kwa mujibu wako ,alafu hapa duniani tukitaka kila mtu arudi kwenye ardhi ya babu zake hata Hiyo Marekani ambaye ndo mdhamini mkuu wa Israel hatokuwepo maana ile ardhi ni ya wahindi wekundu na sio ya wazungu.
 
Ugaidi wa hamas wa kuchoma moto watoto wadogo pamoja na kubaka wanawake
Sasa hamas wabake wanawake wa kiyahudi kwa lipi walilo nalo wakati vianamke vya kiyahudi vingi vina sura mbovu yaani Hamas waache pisi za Kiarabu waende kubaka vibibi vya kiyahudi?😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Bila Israel kuwepo hii vita isinge kuwepo maana wapalestina wangekuwa kwenye nchi yao wanaishi kwa amani.
Vp Iran na Saudia?! Kwanini Bin Salman anadai Iran ikiwa na Nuclear lazima na Saudia iwe nayo ili kuleta balance of power.
 
Sasa hamas wabake wanawake wa kiyahudi kwa lipi walilo nalo wakati vianamke vya kiyahudi vingi vina sura mbovu yaani Hamas waache pisi za Kiarabu waende kubaka vibibi vya kiyahudi?😀😀😀😀😀😀😀😀
Ndio ugaidi waliofanya Oct 7
 
Punguza uzwazwa mkuu..
Kama magaidi wa Hamas wanarusha maroketi kutokea ndani ya hospitali waachwe?!!!
 
Bila Israel kuwepo hii vita isinge kuwepo maana wapalestina wangekuwa kwenye nchi yao wanaishi kwa amani.
ile sio nchi ya wapalestina, ni nchi ya wayahudi tangu kizazi cha ibrahim. sema waarabu wanang'ang'ania kwasababu walinyimwa urithi huo kama watoto wa kambo. watoto haram. waisrael ndio walipewa hiyo ardhi kama urithi wa milele. ulie au ucheke huo ndio ukweli.
 
Ww ni kuku kweli ,ww hapo unapo ishi ulipewa urithi na nani?
 
Tupige kelele lkn mpaka saiv anaepelekewa moto anajulikana🤔umoja wa mataifa na wapiga kelele wengn ni haki yao kupiga kelele lkn hawatabafili chochot
 

Vita vya kupigana na hospitali wanawake na watoto? Kwani hao Wanaume wa Hamas wametokomea wapi hadi wabaki wanawake na watoto? Si inabidi wajitokeze kupambana na IDF ili kuwaokoa hao wanawake na watoto? Kama hawajapukutishwa na madege ya IDF kwenye vifusi basi watakuwa wamejificha kwenye mashimo na mahandaki yaliyopo chini ya majengo ya hiyo hospitali! Maana chini ya hiyo hospitali yapo mahandaki na ndiyo maana IDF imeizingira hospitali ili wale jamaa watoke mashimoni kwa kukosa chakula na maji hatimaye wajisalimishe! IDF haitaki mchezo safari hii! Na watatoka tu mashimoni maana wataishiwa chakula na maji, na pia mle mashimoni hakuna vyoo, wanaweza kuugua sana!
 
Ww ni kuku kweli ,ww hapo unapo ishi ulipewa urithi na nani?
katika historia ya ulimwengu huu ambao wewe haujauumba na hauna umiliki, ni kabila moja tu la watu waisrael ndio walipewa ardhi specific na Mungu, na mipaka ilichorwa kabisa, ndio maana hata walipoondoka na kwenda Misri wakaishi miaka 400, walirudi, na walipoondoka baada ya hapo kutawanyika hadi kufikia 1948 ilitimia miaka 400 mingine wakarudi, ushahidi ni Biblia.

Ezekiel 47:13-20​

13 This is what the Sovereign Lord says: “These are the boundaries of the land that you will divide among the twelve tribes of Israel as their inheritance, with two portions for Joseph.

14 You are to divide it equally among them. Because I swore with uplifted hand to give it to your ancestors, this land will become your inheritance.
15 “This is to be the boundary of the land:

“On the north side it will run from the Mediterranean Sea by the Hethlon road past Lebo Hamath to Zedad, 16 Berothah and Sibraim (which lies on the border between Damascus and Hamath), as far as Hazer Hattikon, which is on the border of Hauran.

17 The boundary will extend from the sea to Hazar Enan, along the northern border of Damascus, with the border of Hamath to the north. This will be the northern boundary.

18 “On the east side the boundary will run between Hauran and Damascus, along the Jordan between Gilead and the land of Israel, to the Dead Sea and as far as Tamar. This will be the eastern boundary.

19 “On the south side it will run from Tamar as far as the waters of Meribah Kadesh, then along the Wadi of Egypt to the Mediterranean Sea. This will be the southern boundary.

20 “On the west side, the Mediterranean Sea will be the boundary to a point opposite Lebo Hamath. This will be the western boundary.

pia soma: Genesis 12:7. On that day the Lord made a covenant with Abram and said, "To your descendants I give this land, from the Wadi of Egypt to the great river, the Euphrates – the land of the Kenites, Kenizzites, Kadmonites, Hittites, Perizzites, Rephaites, Amorites, Canaanites, Girgashites and Jebusites."

sasa kama hujui, ile ardhi iliyopewa kwa ibrahim (ambaye ni baba wa wayahudi, na upande mwingine baba wa waarabu kama watoto wa kambo, mwarabu hakurithishwa chochote, ndio maana ana hasira miaka yote, urithi alipewa Isaka tu ambaye ni babu wa wayahudi). si umeona hasira za mtoto wa kambo anavyong'ang'ania urithi alionyimwa na baba?
 
Dunia ya sasa haiongozwi na biblia bali ina ongozwa na sheria za kimataifa.
 
Gaidi ni gaidi tu.....awe mtoto au mzee au msichana ni gaidi......na dawa ya magaidi ni kuangamizwa tu.......
 
Kwa hiyo na wewe unaunga mkono vitendo vya kijinai vya hamas?! Kuuwa raia zaidi ya 260 wakina Kwenye tamasha la music
na ndio maana nasema huwezi kusema ukweli ikiwa unaweza basi tafadhali nieleze miaka miwili ama mitatu iliyopita wapalestine wangapi ikiwa watoto wanawake yaani kwa ujumla wameuwawa na israel
 
UN ina uchumi wa kujiendesha ukiitenga West? Headquarters zote zipo USA unategemea nini bwana mdogo?
 
Umesema kweli kabisa Mkuu
Ingelikua sio Marekan na nchi za Ulaya kuilinda Israel,HAMAS tu wangeiangamiza kabisa.
 
Sasa kama hizo hospitals na mashule ndio mnatumia kufanya upuuzi wenu kwann msibondwe? wavaa kobaz akili zao ni fupi na watu wa kulia lia kuonewa huruma tu?
Tuite majina mabaya unavyotaka,
Haki ya kila kiumbe anayeonewa ktk ardhi ya Mwenyezi Mungu TUTATOA SAUTI ZETU KULAANI NA KUSEMA KWELI.
Tuliitetea South Afrika wakati wa apartheid,tunawatetea wananchi wa Sahara Magharib na Polisario tunaitetea Darfur,Myanmar na kokote Haki inakopindishwa.
DHULMA HAITADUMU ASILAN
BALI HAKI ITASHINDA NA KUENEA.
 
Vp Iran na Saudia?! Kwanini Bin Salman anadai Iran ikiwa na Nuclear lazima na Saudia iwe nayo ili kuleta balance of power.
ni ngumu maana uongozi wa wa saudia ni kizazi na asili yakiyahudi wanaogopa yahudi akimalizwa na wao wataachia madaraka maana wanaongoza kwa nguvu zao ila hatima yao yao ipo kwa wasaudi wenyewe siku wakilianzisha mutawapokea huku hata alsis ana asili ya kiyahudi hata ikitokea vita ya kuikomboa palestine atakaeingilia ni yemen turkey iran saudia ni kada wa marekani kama ilivyokuwa iraq
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…