Ww ni kuku kweli ,ww hapo unapo ishi ulipewa urithi na nani?
katika historia ya ulimwengu huu ambao wewe haujauumba na hauna umiliki, ni kabila moja tu la watu waisrael ndio walipewa ardhi specific na Mungu, na mipaka ilichorwa kabisa, ndio maana hata walipoondoka na kwenda Misri wakaishi miaka 400, walirudi, na walipoondoka baada ya hapo kutawanyika hadi kufikia 1948 ilitimia miaka 400 mingine wakarudi, ushahidi ni Biblia.
Ezekiel 47:13-20
13 This is what the Sovereign Lord says: “These are the boundaries of the land that you will divide among the twelve tribes of Israel as their inheritance, with two portions for Joseph.
14 You are to divide it equally among them. Because I swore with uplifted hand to give it to your ancestors, this land will become your inheritance.
15 “This is to be the boundary of the land:
“On the north side it will run from the Mediterranean Sea by the Hethlon road past Lebo Hamath to Zedad, 16 Berothah and Sibraim (which lies on the border between Damascus and Hamath), as far as Hazer Hattikon, which is on the border of Hauran.
17 The boundary will extend from the sea to Hazar Enan, along the northern border of Damascus, with the border of Hamath to the north. This will be the northern boundary.
18 “On the east side the boundary will run between Hauran and Damascus, along the Jordan between Gilead and the land of Israel, to the Dead Sea and as far as Tamar. This will be the eastern boundary.
19 “On the south side it will run from Tamar as far as the waters of Meribah Kadesh, then along the Wadi of Egypt to the Mediterranean Sea. This will be the southern boundary.
20 “On the west side, the Mediterranean Sea will be the boundary to a point opposite Lebo Hamath. This will be the western boundary.
pia soma:
Genesis 12:7.
On that day the Lord made a covenant with Abram and said, "To your descendants I give this land, from the Wadi of Egypt to the great river, the Euphrates – the land of the Kenites, Kenizzites, Kadmonites, Hittites, Perizzites, Rephaites, Amorites, Canaanites, Girgashites and Jebusites."
sasa kama hujui, ile ardhi iliyopewa kwa ibrahim (ambaye ni baba wa wayahudi, na upande mwingine baba wa waarabu kama watoto wa kambo, mwarabu hakurithishwa chochote, ndio maana ana hasira miaka yote, urithi alipewa Isaka tu ambaye ni babu wa wayahudi). si umeona hasira za mtoto wa kambo anavyong'ang'ania urithi alionyimwa na baba?