Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nyerere ameacha legacy nzuri sana. Kama ni mkristu na unataka kuwa rais wa Tanzania lazima uwe mkristu mkatoliki, kinyume na hapo urais utausikia kwenye bomba.Si kulindwa ni uchokozi wa Laanatullahi Nyerere kutaka kumrudisha Mkatoliki Mwenzake Obote.
KANISA KATOLIKI NI SERIKALI KUU KIVULI YA DUNIA.Idd Amin hakuwa mdini , ila Kanisa Katoliki lilikuwa likijiingiza kwenye siasa kama linavyofanya kwenye nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania. Labda kwa kuona malengo yao hayatotimia kwa urahisi
Sijakataa kuwa ni mapadre wamesema. Rejea kauli yangu, ni maoni yao. Unapokataa sababu ambazo kila mtu anazijua na historia inazikubali uwe na ushahidi mwingine mzito.Sorry sisemi mimi ni Mapadri wa kanisa lake ndio walioandika vitabu na wakayasema hayo au na wewe huelewi nimeandika kitu gani ??? Rejea post nilizojibu
Faida ni kwamba tulikomboa ardhi yetu na tulileta heshima kuwa Tanzania tuko vizuri kijeshi.
Asante kwa majibu mazuriHaukuwepo; na kama ulikuwepo labda ulikuwa wa siri sana kwa mimi askari wa cheo cha chini sana kuweza kuujua wakati huo. Wakati huo Tanzania ilikuwa upande mmoja na PLO kugombea uhuru wao kwa hiyo tulikuwa against Israel. Vita yote ile ilipiganwa na watanzania tupu akiwema Makongoro Nyerere, mtoto wa rais wakati huo. Tulikuwa na kanali mmoja pale ngome alikuwa anajua jinsi ya kupanga vita siyo mchezo. Huwa mara nyingi ninadhani ni Kanali Lupogo, lakini huenda jina lake halisi litatajwa na mtu mwingine huko mbeleni.
Ni kweli mkuu itakuwa ni mbinu za kijeshi,hiyo ya kuogopa kichapo nimechomekeaSiyo hivyo. Eneo lililokuwa lilochukuliwa kaskazini ya mto Kagera lilikuwa liko juu. Kivita mtu aliyeko juu huwa ana tactical advantage dhidi ya mtu aliyeko bondeni. Unaweza kujua hilo kwa kuangalia kuwa baada ya Israel kuchukua milima ya Golan, Syria haijawahi kuwashambulia Israel tena kwa kujua ukweli huo. Makamanda wetu walipanga plan ya kuzunguka ile tactica advantage na kwenda juu yao zaidi kabla ya kuwafyeka.
Inawezekana wewe siyo msomi kwani context ya kitabu huwa haipatikani katika ukurasa ila hupatikana baada ya kujumuisha kitabu chote. Ukishasoma na kutafuta msitali mmoja tu kuujumisha kwenye mada nzima ya kitabu unakuwa nimmoja wa mambumbumbu wa kusoma.
Sijakataa kuwa ni mapadre wamesema. Rejea kauli yangu, ni maoni yao. Unapokataa sababu ambazo kila mtu anazijua na historia inazikubali uwe na ushahidi mwingine mzito.
Ndio maana nimekuuliza, Kwani Uganda haikuvamia Tanzania? Na je hiyo sio sababu tosha ya kupigana vita?
Wahubiri w dini ni wagumu sana kueleweshwa nje ya wanachojua; kwako wewe Amin(Mwislamu) angechukua nchi yote ya Tanzani ungefurahi sana. Nimeshakuambia kuwa Lule hakuwa mwislamu kama unavyodhani wewe kwa kubabaishwa na jina la Yusufu; alibatizwa ukristu akiwa na miaka 17 tu. Utahanganika mno kuhalalisha maoni yako lakini hutapata ushahidi.Matendo ya hicho kilichoandikwa yanaelezea zaidi kuliko maneno . Sasa unaanza kuelekeza kwenye context ya kitabu , ulisahau kumbe kule mwanzo ??
Wahubiri w dini ni wagumu sana kueleweshwa nje ya wanachojua; kwako wewe Amin(Mwislamu) angechukua nchi yote ya Tanzani ungefurahi sana. Nimeshakuambia kuwa Lule hakuwa mwislamu kama unavyodhani wewe kwa kubabaishwa na jina la Yusufu; alibatizwa ukristu akiwa na miaka 17 tu. Utahanganika mno kuhalalisha maoni yako lakini hutapata ushahidi.
Kwa nini unaogopa kuongea naye mwandishi mwenyewe; nimekupa namba yake. Mimi siyo mwandishi kitabu unachotumia; mpigie au mtumie email akujibu, siyo kunitaka mimi nikutafsirie context ya kitabu kile. Sijui umesoma lini, lakini mimi nilisoma wakati ambao tulikuwa tunasoma vitabu vya Chinua Achebe, Cyprian Ekwensi, Ngugi wa Thiong'o na wengineo. Una bahati ya kuwa mwandishi bado yuko hai; wasiliana naye. Usijaribu kupambana nami jani wakati shina lenyewe lipo.Ndio context nyengine ya Padri Sivallon hiyo ?? Naona unatoa mapovu tu
Kwa nini unaogopa kuongea naye mwandishi mwenyewe; nimekupa namba yake. Mimi siyo mwandishi kitabu unachutumia; mpigie au mtumie email akujibu, siyo kunitaka mimi nikutafsirie context ya kitabu kile. Sijui umesoma lini; lakini mimi nilisoma wakati amba[o tulikuwa tunasoma vitabu vuya Chinua Achebe, Cyprian Ekwesi, Ngugi wa Thiong'o na wengineo. Sijui wewe ulijifuinza wapi namna ya kusoma vitabu ila una bahati ya kuwa mwandishi bado yuko hai; wasiliana naye. Usijaribu kupambana nami jani sisi wakati shina lipo.
Kama huna bundle sema niambie nikuwekee umpigi. Nikikwambia hakusema hivyo unavyomaanisha, utapinda. Utapiga kwa namba ambayo nitakupa kusudi niwe nakuangalia usiztumie dakika hizo vibayaKwa nini wewe ushindwe kumuandikia na kumpigia simu akupe hiyo context uliyoitaja ???au huna context unafoka na kumwaga povu tu ??
Kama huna bundle sema niambie nikuwekee umpigi. Nikikwambia hakusema hivyo unavyomaanisha, utapinda. Utapiga kwa namba ambayo nitakupa kusudi niwe nakuangalia usiztumie dakika hizo vibaya
Wasamehe tu mkuu.sio makosa yaoWatoto wa 2000 wanapojaribu kuzaliwa 1960
Mdogo wangu vita haikuwa ya ulazima wakati Nduli Iddi Amini Dada alivamia Mkoa wa Kagera kwa madai ya kwamba ile ni sehemu ya uganda lazima aichukue.
Kwa hiyo mwl. JKN angewaachia..!?
Utaumia sana kutafuta "context" kwa kutegemea ulishwe kwa kijiko.Ndio context ya kitabu hiyo aliyokupa ??? Soma post yako no. 107# uone unavyojichanganyaπππππππ
Utaumia sana kutafuta "context" kwa kutegemea ulishwe kwa kijiko.
Sikukupa maongezi yangu na yeye kwenye simu ila nilitaka ujue kuwa nimeshawasiliana naye kuliko ulivyokuwa unadhani kuwa na mimi ni mdandiaji kama wewe. Nimeiondoa kwa sababu ilikuwa na information fulani subtle sana ambazo sikutaka ziwe public.Ndio context ya kitabu hiyo aliyokupa ??? Soma post yako no. 107# uone unavyojichanganya π π π π
Sikukupa maongezi yangu na yeye kwenye simu ila nilitaka ujue kuwa nimeshawasiliana naye kuliko ulivyokuwa unadhani kuwa na mimi ni mdandiaji kama wewe. Nimeiondoa kwa sababu ilikuwa na information fulani subtle sana ambazo sikutaka ziwe public.