Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Nyerere ameacha legacy nzuri sana. Kama ni mkristu na unataka kuwa rais wa Tanzania lazima uwe mkristu mkatoliki, kinyume na hapo urais utausikia kwenye bomba.Si kulindwa ni uchokozi wa Laanatullahi Nyerere kutaka kumrudisha Mkatoliki Mwenzake Obote.
Fikiria unampa urais muumini wa gwajima mzee wa unooo, hapo kama taifa tayari litakuwa limepata hasara kubwa sana