Nadhani sasa kweli "umechangikiwa" kweli kwa vile ndilo hali iliyokukaa kichwani sana. Siwezi kukufundisha namna ya kujenga na kutetea hoja zako, ila usitake kuwa mtu wa maneno ya mkatomkato usyoweza kutetea kwa ushahidi thabiti.Ndivyo ulivyosema hivyo kwenye post yako ya 106# ?? Umechanganyikiwa ?? π π π π
Unajibu kisomi sana with facts n experience.ββ bravo kutupa shule sie vijana wa late 80'sNi kweli, kuna watu wengi walikufa ila hawawezi kufikia askari 5000 kwa sababu jeshi letu lilikuwa na brigedi tano tu kwa hiyo askari 5000 ingekuwa ni karibu robo tatu ya brigedi nzima. Kumbuka ni vita ambayo tulivamiwa kwa hiyo kuna raia wetu wengi waliokufa baada ya uvamizi kabla vita haijaaza. Namba za Nyerere zinaweza kuwasahihi zaidi kwa vile zinahusu askari wa jeshi ambao walikuwa na namba za kijeshi na zinaweza kuwa hazihusishi askari wa akiba kama mgambo na JKT.
Hivi hizi mada za udini mnataka ziwapeleke wapi? Niwaambie kitu tumetawaliwa na waingereza na wajerumani kwa maana hiyo walikuwa kipa umbele chao ni kujenga mashule tofauti na waarabu.Kwa sababu hizo ndio maana wakristo walionekana wako juu kielimu kuliko waislamu.Padri. Dk. Sivalon, naye katika kitabu chake Kanisa Katoliki na Siasa za Tanzania Bara (1953-1985) anaeleza bayana kuwa Mwalimu Julius Nyerere Rais wa Kwanza wa nchi yetu, alikuwa kiungo pekee kati ya Chama (CCM), Serikali na Kanisa Katoliki.
Agosti 3, 1970 Mwalimu Nyerere, alimwita Ikulu Padri Rweyemamu katika mazungumzo maalum ambapo Nyerere alimuahidi Rweyemamu kuwa, hivi sasa Kanisa ndilo lililoshika hatamu za kuongoza dola naye atahakikisha hali inaendelea kuwa hivyo.
βTanzania is not Catholic country, but Catholics is strong, I want to give the church a better chance hereβ.
Akiwa na maana kwamba:- japo βTanzania si nchi ya Kikatoliki, lakini Ukatoliki una nguvu, hivyo nataka kulipa Kanisa nafasi ya pekee hapa nchiniβ (Msome, Bergen Uk. 335)
Nadhani sasa kweli "umechangikiwa" kweli kwa vile ndilo hali iliyokukaa kichwani sana. Siwezi kukufundisha namna ya kujenga na kutetea hoja zako, ila usitake kuwa mtu wa maneno ya mkatomkato usyoweza kutetea kwa ushahidi thabiti.
Hivi hizi mada za udini mnataka ziwapeleke wapi? Niwaambie kitu tumetawaliwa na waingereza na wajerumani kwa maana hiyo walikuwa kipa umbele chao ni kujenga mashule tofauti na waarabu.Kwa sababu hizo ndio maana wakristo walionekana wako juu kielimu kuliko waislamu.
Acheni mada za udini hazijengi zinabomoa.kama mnasema Nyerere alikuwa anajenga ukatoliki mbona alitaifisha mashule yao na hospitali kubwa kama Bugando? achene hizo wengine hapa JF mwaka 1979 walikuwa hawajaja dunia hii
Hivi hizi mada za udini mnataka ziwapeleke wapi? Niwaambie kitu tumetawaliwa na waingereza na wajerumani kwa maana hiyo walikuwa kipa umbele chao ni kujenga mashule tofauti na waarabu.Kwa sababu hizo ndio maana wakristo walionekana wako juu kielimu kuliko waislamu.
Acheni mada za udini hazijengi zinabomoa.kama mnasema Nyerere alikuwa anajenga ukatoliki mbona alitaifisha mashule yao na hospitali kubwa kama Bugando? achene hizo wengine hapa JF mwaka 1979 walikuwa hawajaja dunia hii
Nimeondoa kopi ya email mojawapo ya mawasilino baina yangu na Dr Sivalon, kwa hiyo inawezekana hukuwa umesioma: jambo zuri sana hilo. Hiyo contact ni public information kwa kwa kila mtu kusoma na wala siyo ya kufichwaKwani nikuomba unifundishe kujenga hoja ?? wewe umejenga hiyo hoja na context hutaki kuleta , unanilaumu na kumwaga povu , mara huyo mtu tuna wasiliana naye mara umeleta hicho ulichowasiliana naye ni vichekesho vitupu
umeondoa kitu gani hapa
mara nimefuta link . View attachment 1479329
Kweli umechanganyikiwa au maji ya Dodoma yamekuzidi
Behind enemy lineKwa taarifa yako majeshi ya Uganda yalikuwa vizuri sana kabla ya uasi.
Vita ilipoanza tulipoteza wanajeshi wengi mno japo taarifa zilifichwa, binamu yangu amepigana na amesimulia mengi mno ambayo serikali haikuweka na haitaweka wazi.
Hivyo unaposema kwani tulizunguka, unafikiri hao jamaa walikuwa dhaifu kiasi hicho?
Vita ina mbinu nyingi, moja wapo ni kumzunguka adui wakati yeye anapambana na wale waliom face... ghafla snashangaa anashambuliwa eneo ambalo asikutegemea.
Sent using Jamii Forums mobile app
SawaMambo haya mazuri sana Unaweza kukubali tukufanyie Mahojiano Tuandike kitabu??
Mkuu unaweza kueleza kifupi kuhusu Lt.Col Nshimanyi kua baada ya vita hii alinyongwa na ilikuaje?Hii ni mentality ya kutokujiamini tu, kudhani kuwa sisi ni inferior kwa kila kitu. Vile vile ni kutokuelewa historia halisi
Elewa kuwa jeshi la Uganda wakati huo lilikuwa chini ya Amini, siyo kuwa Jeshi lilikuwa limegawanyika. Chanzo kikubwa cha kuelekea Amin kumpindua Obote ni kwa vile alikuwa anasuka jeshi kuwa lake na kuwa ana-sideline wasiokuwa wafuasi wake kwa kutumia hela za serikali, na Obote alipomtaka aeleze matumizi ya hela za jeshi ndipo akaamua kumpindua. Ni kikundi kidogo kilichokuwa kimebaki upande wa Obote ambacho ndicho kilikimbilia Tanzania kikiongozwa na akina Oyite Ojok na Tito Okello ambacho kiliitegemea sana Tanzania kwa miaka yote minane ya utawala wa Amini; kilikuwa hakifiki hata batallion moja. Baada ya kuangushwa kwa Amini na jeshi lote la Uganda kuvunjwa na TPDF, ndipo UPDF ilipoanzishwa na kufundishwa na TPDF, unaweza kuona hata jina lenyewe. Mvutano wa madaraka uliotokea ndani ya Uganda baada ya Amini kuwa amsheaangushwa na jeshi letu kuwa limesharudi nyumbani ndio uliosababisha Museveni aanzishe jeshi lake la msituni NRA ikiwa ni mwaka 1983. Museveni mwenyewe alipandikizwa kutokea Tanzania; wengine ni kama Dani Wadada Nabudere ambaye alikuwa anafundisha UDSM kabla ya vita.
Hata kama unaidharau Tanzania, kubali kuwa TPDF ilikuwa jeshi imara sana wakati huo. Kumbuka lilikuwa limeshapitia mapigano mabalimbali kusini mwa Afrika kwa hivyo lilikuwa na experience kubwa sana kuliko jeshi lolote Afrika ya Mashariki.
Sijasema Uganda haijaivamia Tanzania , au umesoma kwengine ??
Si kulindwa ni uchokozi wa Laanatullahi Nyerere kutaka kumrudisha Mkatoliki Mwenzake Obote.
What's your point sasa? Kumtoa Idi Amin kulikuwa kulinda nchi au Dini? Au vyote?
Unajua alipopinduliwa Obote , Nyerere alianza chokochoko nyingi dhidi ya Amin. Obote wakati huo yuko Tz . Alipoulizwa Karume atoe maoni yake kutokana na mapinduzi yale , aliuliza kwani waliompindua Obote ni waingereza akaambiwa ni Waganda. Akasema kama ni waganda kwa waganda basi ni wenyewe , waachieni labda hawamtaki Obote.
Majanga yote kaleta Nyerere ,angalijikalia kimya akajenga uchumi wa nchi yake yasingalitokea .
Umenikumbusha mbali sana mkuuHawakukatiza mkuu, ni kwamba majeshi ya Tanzania yalitembeza kichapo kwa Idd Amin, wakaingia hadi kaskazini na magharibi mwa nchi ya Uganda, wakafika kwenye mipaka ya Uganda na Zaire(DRC), mipaka ya Uganda na Sudan. Mji wa Arua uliopo kaskazini mwa Uganda ndio kipo kijiji cha Koboko, kijiji alichozaliwa Idd Amin Dada
Waliingia huko wakiwa na mzuka wa mapambano. Amin akasalimu amri, akakimbia Uganda na kuacha majeshi ya Tanzania(Wakombozi) yakiikamata Uganda
Chokochoko ni kawaida kwenye masuala ya mahusiano ya nchi, wiki iliyopita hata hivi sasa tuna chokochoko na Kenya. Kwahiyo Idi Amin baada ya ChokoChoko ndio akaamua kutuvamia?
Sijachanganyikiwa kwani Idd Amin hakuzuka tu akavamia. Kosa ni la Nyerere kumkumbatia rafiki yake Obote . Mambo ya Uganda angaliwaachilia Waganda na ghasia zao . Mbona hakuivamia Kenya wala Sudan wala Kongo ??
Niliandika kabla hawa wapinzani wa Uganda walikuwa wakiingia Uganda kutokea Tanzania na kufanya vitendo vya Ugaidi .
Aloo afande Kichuguu unaijua vilivyo hii story mimi nilikuwa jirani na Maj Gen Marwa yule mzee alishawahi kunisimulia Kuhusu hii vita ya Kagera alinipa moral kubwa sana mpaka nikapenda jeshi.Mengine naomba nisieleze nita unlock codesPumba kabisa wewe kwani kumbe unaongea mambo usiyoyajua bali ya kuhadithiwa tu. Hata hujui kuwa mahindi ya Yanga yalikuja kutoka wapi halafu unakuja hapa kupiga kelele.
Kwa vile mimi ni mwalimu nitakufundisha ifuatavyo. Mahindi ya Yanga yaliingia Tanzania mwaka 1975 kutokana na ukame uliokuwa umeikumba nchi mwaka 1973 na 1974 ikiwa ni muda mfupi sana baada ya opereshini vijiji ambayo ilivuruga kilimo cha asili na kuacha watu hawana chakula; na ulikuwa ni msaada ulioidhinishwa na Rais Jimmy Carter wa Marekani kupitia USAID.
Ule mchele wa Jasmine kutoka Thailand haukutolewa msaada kwa ajili ya vita, bali ulianza kuagizwa kuingia nchini wakati wa utawala wa rais Mwinyi na wafanya biashara binafsi baada ya Liberalization; hiyo ni pamoja na mafuta yakupikia ya OKI kutoka Singapore. Kama unazungumza unga wa Yanga baada ya vita ni kuwa hukuwepo na wala hujui hali halisi ya wakati ule, kwani tuliokula unga ule mpaka mwaka 1977 hatusemi vile.
Vita iliaza mwaka 1979 wakati nchi haina unga wa yanga tena. Kwa upande wa pili; ni kweli kuwa uchumi wa nchi ulivurugika sana kwa sababu Tanzania ililazimika kununua silaha kali za kupambana na Amin kwa muda mfupi ambazo hazikuwa kwenye bajeti ya nchi; na ikatumia hela za kukopa zinazokaribia bajeti ya miaka miwili au mitatu hivi ya nchi ili kupata mitambo ya Balllistic misiles (BM40) mingi kuliko uwezo wake wakati ule kwa sababu amini alikuwa ameuza migodi yote ya Shaba kwa Urusi kusudi apatiwe vifaru vingi; na alikuwa na vifaru vingi sana ambavyo jeshi letu lilivivunjavuvunja kama chungu ambacho hakikupita kwenye tanuru. Kitu ambacho Tanzania tunashukuru tena kwnye vita ile ni kuwa baada ya vita kuanza, Urusi nayo ikaivamia Afghanstani kipindi hicho hicho na hivyo ikawa iko bize kupambana na Mujahedeen, ikaacha kupelea vifaru kwa Uganda tena.