Echolima hicho kitabu kikipata promotion nzuri kitauza kuliko albamu za wasanii ila hofu yangu ni jeshi kukulazimisha wao kuwa ndio wasimamizi wakuu wa uhariri na usambazaji na mwisho ukaishia kupata vijipasenti tu!!
mkuu jitahidi kuwashirikisha Invisible na Mzee Mwanakijiji na manguli wengine humu kama Philemon Mikael ili walau ukiacha kutoa mchango kwa jamii ufaidike pia.
Hongera sana kwa kutuwekea historia kubwa namna hii!!najuana na mstaafu mmoja mwenye cheo cha Generali huwa namshawishi sana aandike kitabu kama hiki kwa muda mrefu sana!ila ana wasiwasi na kutopata ushirikiano toka jeshini!nimejaribu sana kumshawishi naona anakuwa mzito!nadhani wakati wa vita alikuwa aluteni kanali au kanali kamili!
Bado inaendelea sehemu ya Tatu ili niachie Kitabu ambacho kitaelezea kwa kirefu na kwa upana zaidi.
Hii stori imeelezea uhalisia wa vita kuliko stori za vita vya kagera nilizowahi kusoma.
Nimefadhaishwa sana na jinsi Polisi walivyomuua kihuni Gen Kombe mtu ambaye kwa stori hii alijitoa sana kupigania heshima ya nchi.
Echolima,
..itasaidia sana kama utatuwekea RAMANI ili tuweze kupata picha halisi ya jinsi vita vilivyokuwa vinaendelea.
..pia wakati unaelezea vita hii inabidi uanzie toka kwenye maandalizi mpaka kwenye mapigano kwenye uwanja wa mapambano.
..nakushauri usiwe na haraka. jaribu kutafuta documentary na vitabu vya vita ambavyo vimeandikwa na wenzetu halafu na wewe uweze kuiga ili na sisi tupate kitu kilichokamilika.
..nakushauri uwashawishi na wengine ambao walikwenda Msumbiji, Comoro, Seycheles, nao waandike historia yao.
kwenye sehemu ya kwanza ameeleza kila unachotaka..

hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.Bado inaendelea sehemu ya Tatu ili niachie Kitabu ambacho kitaelezea kwa kirefu na kwa upana zaidi.
Sawa Mkuu tutaisubiri tu hata na mm nimei_copy na ku-Paste katika Word ya Computer yanguMkuu usihofu Sehemu ya tatu itatoka tu pamoja na kuwa mimi nina majukumu mengine mengi tu nitatafuta wakati sahihi Itoke.