Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

Echolima hicho kitabu kikipata promotion nzuri kitauza kuliko albamu za wasanii ila hofu yangu ni jeshi kukulazimisha wao kuwa ndio wasimamizi wakuu wa uhariri na usambazaji na mwisho ukaishia kupata vijipasenti tu!!
mkuu jitahidi kuwashirikisha Invisible na Mzee Mwanakijiji na manguli wengine humu kama Philemon Mikael ili walau ukiacha kutoa mchango kwa jamii ufaidike pia.
 
Last edited by a moderator:
Wiki iliyopita tu nilikuwa pale Maakao makuu nilikuwa natafuta picha ambazo ningeziweka kwenye hico kitabu,Jamaa walinipa ushirikiano mzuri na kunielekeza kumuona mkuu mmoja naamini haitaishia mimi kupata Vipasenti,sasa hivi nakusanya picha za matukio mbali-mbali yaliyokuwa yanatokea Mstari wa Mbele,baada ya kuwa sawa hawa Nguri mimi nitawashirikisha ili kazi iende mbele.
Echolima hicho kitabu kikipata promotion nzuri kitauza kuliko albamu za wasanii ila hofu yangu ni jeshi kukulazimisha wao kuwa ndio wasimamizi wakuu wa uhariri na usambazaji na mwisho ukaishia kupata vijipasenti tu!!
mkuu jitahidi kuwashirikisha Invisible na Mzee Mwanakijiji na manguli wengine humu kama Philemon Mikael ili walau ukiacha kutoa mchango kwa jamii ufaidike pia.
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana kwa kutuwekea historia kubwa namna hii!!najuana na mstaafu mmoja mwenye cheo cha Generali huwa namshawishi sana aandike kitabu kama hiki kwa muda mrefu sana!ila ana wasiwasi na kutopata ushirikiano toka jeshini!nimejaribu sana kumshawishi naona anakuwa mzito!nadhani wakati wa vita alikuwa aluteni kanali au kanali kamili!
 
Mwambie jamaa yako kuwa hiyo haina shida pale MMJ maana mwenyewe nilikuwepo pale last week kwa ajili ya mambo haya haya walinipa Ushirikiano mzuri sana.
Hongera sana kwa kutuwekea historia kubwa namna hii!!najuana na mstaafu mmoja mwenye cheo cha Generali huwa namshawishi sana aandike kitabu kama hiki kwa muda mrefu sana!ila ana wasiwasi na kutopata ushirikiano toka jeshini!nimejaribu sana kumshawishi naona anakuwa mzito!nadhani wakati wa vita alikuwa aluteni kanali au kanali kamili!
 
Zaidi ya miaka 33 baada ya vita najua hakuna cha kuficha na niwakati wa kuweka sawa historia yetu tukufu.
Heko JWTZ makao makuu kwa ushirikiano.
 
Ni historia ya kutukuka. Wapinanaji wetu tutawaenzi daima. Nimelia kwa furaha kusoma historia hii.Asante Echolima. Sisi tuliokuwepo enzi hizo tunaunganisha dots sasa. Tulikuwa nyuma yenu kuwatia moyo,kuwaombea na kutunza familia zenu.Na kuimarisha ulinzi wa ndani wa nchi.Ubarikiwe sana Mkuu. Nitakuwa mmoja wa wadau wa kufanikisha kutoka kwa kitabu chako
 
Mkuu usihofu Sehemu ya tatu itatoka tu pamoja na kuwa mimi nina majukumu mengine mengi tu nitatafuta wakati sahihi Itoke.
dah.. tatzo lako,hyo sehemu ya tatu tutaisubir hadi tuchoke..
 
Bado inaendelea sehemu ya Tatu ili niachie Kitabu ambacho kitaelezea kwa kirefu na kwa upana zaidi.

Issue ya kitabu fanya haraka mkuu, vipi documentary yake ifikirie mkuu ili historia hii tamu isipotee
 
Lazima nikiri kuwa sijawahi kufuatilia hitsoria ya Kombe tangu na kabla hajauawa. Kwanza niseme nilimsikia Kombe baada ya kuwa ameuawa na POLISI. Ukiangalia jinsi hali ilivyokuwa huko Uganda, inabidi nimkubali sana huyu Kombe na labda kwa mara ya kwanza ndiyo naanza kumfahamu huyu jamaa alikuwa nani.

Naanza kupata wasiwasi kuwa hadi leo, Tanzania haijamuenzi kisawasawa huyu jamaa. Kibaya zaidi, amekuja kuuawa na Polisi kwa sababu za kushangaza sana ambazo unaona kabisa kuwa Wanasiasa wameshiriki kwenye kifo chake na Wanasiasa hao, hawajawahi kufanya lolote kwenye kulitetea taifa hili. Naikiri ukiangalia kifo chake, unapata hali halisi ya jinsi ya Siasa za Tanzania zilivyo za ovyo.

Kuna haja kweli ya Katiba Mpya ya Tanzania na mgawanyo wa Madaraka ili mtu mmoja asiamue kifo cha wengine bila kupata mashtaka yoyote na kuhukumiwa kwa kosa la kumuondoa Mpinzani wake wa Kisiasa.
Hii stori imeelezea uhalisia wa vita kuliko stori za vita vya kagera nilizowahi kusoma.
Nimefadhaishwa sana na jinsi Polisi walivyomuua kihuni Gen Kombe mtu ambaye kwa stori hii alijitoa sana kupigania heshima ya nchi.
 
Echolima,

..itasaidia sana kama utatuwekea RAMANI ili tuweze kupata picha halisi ya jinsi vita vilivyokuwa vinaendelea.

..pia wakati unaelezea vita hii inabidi uanzie toka kwenye maandalizi mpaka kwenye mapigano kwenye uwanja wa mapambano.

..nakushauri usiwe na haraka. jaribu kutafuta documentary na vitabu vya vita ambavyo vimeandikwa na wenzetu halafu na wewe uweze kuiga ili na sisi tupate kitu kilichokamilika.

..nakushauri uwashawishi na wengine ambao walikwenda Msumbiji, Comoro, Seycheles, nao waandike historia yao.
 
kwenye sehemu ya kwanza ameeleza kila unachotaka..
 
Mkuu asante kwa kuamua kusimulia kwa uhalisia nini ulishuhudia uwanja wa mapambano. Imefika sehemu sasa historia kama hizi zianze kuwekwa kwenye maandishi ili watu wengi wazisome na kuelewa zaidi jinsi mambo yanavyokuwa.
 
Echolima,

..itasaidia sana kama utatuwekea RAMANI ili tuweze kupata picha halisi ya jinsi vita vilivyokuwa vinaendelea.

..pia wakati unaelezea vita hii inabidi uanzie toka kwenye maandalizi mpaka kwenye mapigano kwenye uwanja wa mapambano.

..nakushauri usiwe na haraka. jaribu kutafuta documentary na vitabu vya vita ambavyo vimeandikwa na wenzetu halafu na wewe uweze kuiga ili na sisi tupate kitu kilichokamilika.

..nakushauri uwashawishi na wengine ambao walikwenda Msumbiji, Comoro, Seycheles, nao waandike historia yao.

Hilo nalo neon...watu waanze kuweka haya mambo kwenye maandishi. Tutawasoma Navy Seals na SAS commandos mpaka lini? We have our heroes too
 
hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.

weka na picha, hii pia itawapa wananchi imani kubwa zaidi ya hapa kwa jeshi letu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Bado inaendelea sehemu ya Tatu ili niachie Kitabu ambacho kitaelezea kwa kirefu na kwa upana zaidi.
hiki kitabu kitakuwa kizuri sana, tafadhali, kama story hii ni ya kweli si ya kutunga, naomba ukitoe, nitakinunua kwa bei yeyote ile siku tu kitakapokuwa madukani. tafadhali malizia. hii itatuunganisha zaidi na zaidi watz kwa namna moja ama nyingine kwa kuona jinsi mlivyolipigania taifa letu kwa umoja bila kujali dini wala nini, kwani naona kuna majina ya wakristo na waislam mabrigedia etc.

weka na picha, hii pia itawapa wananchi imani kubwa zaidi ya hapa kwa jeshi letu. Mungu ibariki Tanzania.
 
Mkuu usihofu Sehemu ya tatu itatoka tu pamoja na kuwa mimi nina majukumu mengine mengi tu nitatafuta wakati sahihi Itoke.
Sawa Mkuu tutaisubiri tu hata na mm nimei_copy na ku-Paste katika Word ya Computer yangu
Hivi uyu Shigongo naona sio mtu Mbaya akishirikishwa anaweza kutoa nusu kwa jina lako halafu part ingine ikabaki ili wananchi wengi hasa wasiotumia Jamii Forums wakafaidika nayo.
Nae\semea hivyo kwani nilimkumbusha Mzee Kimario kuwa kumbe aliiongoza Battalion kuingia Kampala alifurahi sana na kuuliza atapataje hizo taarifa, maana kwenye Laptop macho tena, nikamjibu ni Echolima huyo
Nitampelekea hii part ya pili maana anadai hakuweza kujua na wa upande wa pili au wa tatu wanafanya nini ila kwa wanajeshi km ninyi mkiwahabarisha wenzenu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom