Vita vya Kagera: Historia yangu - Sehemu ya kwanza

naomba sehemu ya pili mkuu , umejuza mambo mengi na umegusa panapotakiwa historia yako inasisimua na inafundisha pia
Mungu ibariki tanzania
 
Echolima,

Nimependa umeandika vizuri mno na unajitahidi kujibu kwa ufasaha na uungwana mwema.

Kuna pahala umemtaja Lt. Col. Mazola,je ndie yeye yule baadae alikua full Colonel na kuna wakti alipata matata makubwa kwa kuwekwa ndani na Nyerere bila ya sababu zozote za maana!?

Colonel Mazola alikua Uk maskini,ghafula ati Nyerere akaamuru arejee nchini mara moja na kufikia kizuizini moja kwa moja bila ya kufunguliwa mashtaka ya aina yoyote yale!?

Kuna wakti alipotoka ndani alichoka mno kimaisha,lakini akawa mcha Mungu mzuri mno,alikua habanduki misikitini. Kuna wakti alirejea kwao Morogoro na kugombea ubunge wa Morogoro mjini na kufanikiwa nafikiri. Nijulishe ukipata wasaa tafadhali ndugu yangu.

Je yule Colonel Kibira wa pale Regent,nae mlikua nae huko vita ya Uganda!? Ukishanipa hayo majibu kuna vitu nataka kuunganisha dots!....kuna masuala yalompata Col. Mazola nataka kuhakikisha kutoka na kwako pia!

Kwa mtazamo wako ndugu yangu,nini ulikua mchango wa Brigade ya Nyuki kutoka Zanzibar. Je wale Paratroopers kutoka kambi ya Mwanyanya Zanzibar walifanya vizuri mno nasikia,je hizi khabari ni kweli!?

Je ni nani aliekua msimamizi wa ujenzi wa daraja la muda la Kagera kwenye upande wa JWTZ na alikua na cheo gani wakti huo!?

Ile khabari ya Nyerere ulotaja ya kuchelewa mno kumpandisha cheo Muhidin Kimario,imenihuzunisha mno,khasa ukichukulia kama ulivyotujuza yakuwa yeye alichukuliwa baada ya mwingine kushindwa ile shughuli...na alifanza kazi nzito na nzuri mno! Lakini matokeo yake baada ya vita kwisha takriban wakubwa woote walipandishwa vyeo,ikiwemo na yule Lupogo ambae ndo aloshindwa ile kazi. Nyerere akamwacha Muhidin Kimario na butwaa kubwa!? Hii khabari kuna wakti ilikua ni mojawapo ya minong'ono ya vikao vingi vya mjini wakti huo!

Kwa kifupi Nyerere alikua mtu matata na mapungufu mengi takriban penye kila jambo!!

Vipi Brigadier Simba Wazir,nae mlikua nae huko vitani,vipi mchango wake!?

Tafadhali tunasubiria kwa hamu hiyo sehemu ya pili.

Niwie radhi kama kuna lolote nimenena na hukupendezwa nalo ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;Shariff Ritz,Boko Haram,Prof.Ngongo,JokaKuu
 
Mengi uliyoyauliza yako kwenye sehemuya pili au ya tatu natarajia wiki ijayo nitaanza kuitoa sehemu ya pili na baadaye ya tatu lakini kuhusu BRIGADE ya NYUKI nimeelezea sana kwenye sehemu ya PILI hivyo nisikumalizie UHONDO vuta tu subira maana nimeelezea pia changamoto zilizowapata askari pamoja na Maafisa wengi.

Nashukuru mno ndugu yangu.

Basi tasubiria hiyo sehemu ya pili kwa utuvu,maana nnakhis una mengi ya kubadilishana mawazo nasi wenzio.

Ahsanta.
 
Sijui itakua lini sehemu ya pili, sichezi mbali.!
 
Mhuuu!!!!!!
Nasikia harufu ya udini hapa.

ni mtazamo tu.!!!
 
Echolima

Hii ni kazi nzuri sana kwetu sote. Hatupaswi kuisahau historia yetu.

Ili kufanikisha uandikwaji na uchapaji wa kitabu najitolea kuifanya kazi ya Professional Typesetting and Graphic Design.

Watunzi na wachapishaji wengi wa vitabu siku hizi wamekuwa hawazingatii muonekano bora zaidi wa vitabu vyao, hivyo huishia kupata mapato duni yanayowakatisha tamaa.

Tanzania inakabiliwa na changamoto nyingi katika kubaini, kutambua, kukuza na kuimarisha soko la wasomaji. Kwa kuwa mbinu za kukabiliana na changamoto hizi zote ninazijua, niko tayari kufanya kazi na wewe pia katika hili, kwa manufaa yetu na taifa pia. Tukifanya kazi nzuri ninaamini kwamba Serikali inaweza kutuunga mkono na kukifanya kitabu hiki kuwa sehemu ya vitabu ambavyo vinaweza kuchukuliwa kama mojawapo ya vitabu vya somo la historia kwa shule za sekondari.

Licha ya kuwa mwanaharakati mwanamapinduzi, mimi pia ni mjasiriamali kwenye sekta ya ubunifu.

Trust me. I know what I am saying. You are looking at the goose that is about to lay its famous golden eggs.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Echolima.asante kwa simulizi hii.murua. nilikuwa mdogo kipindi hicho lakini kishindo cha vita nilikisia...

Mkuu JokaKuu kuna kitabu nilikisoma kinaitwa "Kuanguka.kwa Fashisti Iddi amini" cha TPH nadhani. Chonde chonde mwenhe nacho au anayejua kinakopatikana ...kilisimulia vizuri sana.

RIP mashujaa waliotutoka.
 
Kaizer,

..nakitafuta sana hicho kitabu.

..kinaeleza habari za makamanda wengi kuliko kile kilichoandikwa na Waingereza.

..kwa mfano kuna makamanda kama Rowland Makunda, James Luhanga, Martin Mwakalindile, ambao hawatajwi tajwi sana.

cc: Echolima, gombesugu
 
Kabisa mkuu JokaKuu....tatizo nilikisoma miaka hiyo ya themanini, nadhani badi nikiwa na akili za utotoni, lakini lazima nikiri kuwa emotionally it was very touching ndio maana nakikumbuka hadi sasa.... sijui hizi SAPs ziliathiri pia utunzaji wetu wa kumbukumbu au namna gani, au pengine kimeondolewa kwenye mizunguko ili tusielewe historia, maana I can imagine kingetakiwa kiwepo kwenye maktaba nyingi za shule zetu za msingi na sekondari.

Cc Echolima, hima hima hebu andika hii historia mkuu
 
Last edited by a moderator:
Kaizer,

..nakitafuta sana hicho kitabu.

..kinaeleza habari za makamanda wengi kuliko kile kilichoandikwa na Waingereza.

..kwa mfano kuna makamanda kama Rowland Makunda, James Luhanga, Martin Mwakalindile, ambao hawatajwi tajwi sana.

cc: Echolima, gombesugu

JokaKuu,

Mzee Mwakalindile,si kuna wakti alikua pale Maputo nafikiri!?

Hiyo nchi yetu kuna vituko na majanga mengi mno yametokea,kuna mengine inalazim tuyastiri na kuwastiri baadhi ya jamaa na kunyamaza tu!?

Kwa mfano nasikia huyo Mkapa enzi ya utawala wake, pale alipoanza kuwaandama hao waliodhaniwa yakuwa ni Watanzania wenye asili ya Kinyarwanda/Watutsi...alimfanzia visa saana maskini Col. Rusimbi. Huyu mtu japo ni kweli ni mwenye asili ya kinyarwanda lakini hakuwa na wala hana mahusiano yoyote yale na huyo Kagame wala rwanda,ni Mtanzania safi kabisa. Nakumbuka alikua karibu mno na Moringe Sokoine...nafikri alikua ni kama ndo Godfather wake.

Col. Rusimbi,alihitaji msaada na alimwomba Mzee wangu aingilie kati na kusuluhisha/kumsaidia. Nafikiri alikhis labda ingekua rahisi kwa Mzee wangu kumsaidia,kwani wakifahamiana uzuri na marehemu kaka yake Chief George Batega Rusimbi na pia rafikiye wa karibu ni Maokola Majogo...ambae nafikiri ndo wakti huo ni Waziri wa ulinzi.

Cha kustaajabisha,yule machinga Mkapa aliendeleza tu maonevu yake kwa Col. Rusimbi kwa kutumia visingizio vinginevyo vya kipuuzi tu. Hata Mzee Majogo baadae, aliwahi kukiri yakuwa Col. Rusimbi alistaafishwa tu kinguvu kwa amri ya Mkuu wa majeshi lakini bila hata ya kufuata hata kanuni/sababu za msingi!?

Kuna wakti kabla ya kuachishwa/kustaafishwa alianza kufanyiwa manyanyaso na vitimbi kadhaa hata na makamanda waliokua chini ya cheo chake,ati kwa kuwa ni "Mnyarwanda"...mwishoni hata baadhi ya vikao nyeti ati alikua haruhusiwi hata kuhudhuria na wala kupewa access ya baadhi ya files!?

Sasa hivi nasikia hali yake ya maisha amechoka mno kwa visasi na fitna zisizo maana ndani ya nchi yetu!? Kwa hali hii tutafika kweli huko twendako!?

Ahsanta.

Cc;Echolima,Ritz,Boko Haram
 
Mhuuu!!!!!!
Nasikia harufu ya udini hapa.

ni mtazamo tu.!!!

Kwa kuwa mimi si mdini na wala maelekezo/masuali yangu sikuwa na madhumuni yayo...tafadhali nakusihi unijuze ni kipi kilichokufanza kupata khisia hizo!?

Au pale nilipotaja yakuwa kuna Colonel anaingia misikitini kuomba Mola!?...mbona hilo ni jambo la kawaida mno mpaka kesho tena kwa makamanda wengi tu tena wenye vyeo vya juu!?

Kwani hujui au hujawahi pia kusikia yakuwa pia kuna makamanda wa ngazi za juu wa Kikristo pia hawapungui huko makanisani,au nikutajie kwa majina na ranks zao!?

Kumbuka nchi yetu ni njema na ina uhuru wa kuabudu kile upendacho, almurad huleti bughudha na muhma kwa wengine/wenzio.

Kinijulisha basi nami tajirekebisha ili siku ingine nisirejee "kosa" langu hilo la kutoa impression ya kidini kwenye makala/maulizio na masuali yangu.

Ahsanta.
 
Mkuu gombesugu habari za siku nyingi,vipi mfungo ?.

Ningeomba kuchangia kujibu swali lako kuhusiana na Shujaa wetu Major General Muhidin Kimario.Ninachojua Major General Muhidin Kimario aligombea ubunge wa Moshi Mjini na akashinda baada ya kushinda Mwl Nyerere akamteua waziri wa mambo ya ndani na baadae waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa sikumbuki alianzia wazara ipi kati ya hizi mbili ila ninachokumbuka aliwahi kuziongoza hizi wizara.So Major General Kimario alichelewa kupanda cheo kwasababu aliacha kazi za kijeshi na kujiingiza katika siasa zaidi.Kwa maneno rahisi na mafupi Major General Muhidini Kimario alikuwa akipigiwa salute na CDF wa wakati huo General Musuguri alikuwa akipokea salute na CoS.........Baada ya kushindwa ubunge wa Moshi Mjini Major General Kimario alirejea jeshini na kutunukiwa cheo cha Major General.

Echolima,

Nimependa umeandika vizuri mno na unajitahidi kujibu kwa ufasaha na uungwana mwema.

Kuna pahala umemtaja Lt. Col. Mazola,je ndie yeye yule baadae alikua full Colonel na kuna wakti alipata matata makubwa kwa kuwekwa ndani na Nyerere bila ya sababu zozote za maana!?

Colonel Mazola alikua Uk maskini,ghafula ati Nyerere akaamuru arejee nchini mara moja na kufikia kizuizini moja kwa moja bila ya kufunguliwa mashtaka ya aina yoyote yale!?

Kuna wakti alipotoka ndani alichoka mno kimaisha,lakini akawa mcha Mungu mzuri mno,alikua habanduki misikitini. Kuna wakti alirejea kwao Morogoro na kugombea ubunge wa Morogoro mjini na kufanikiwa nafikiri. Nijulishe ukipata wasaa tafadhali ndugu yangu.

Je yule Colonel Kibira wa pale Regent,nae mlikua nae huko vita ya Uganda!? Ukishanipa hayo majibu kuna vitu nataka kuunganisha dots!....kuna masuala yalompata Col. Mazola nataka kuhakikisha kutoka na kwako pia!

Kwa mtazamo wako ndugu yangu,nini ulikua mchango wa Brigade ya Nyuki kutoka Zanzibar. Je wale Paratroopers kutoka kambi ya Mwanyanya Zanzibar walifanya vizuri mno nasikia,je hizi khabari ni kweli!?

Je ni nani aliekua msimamizi wa ujenzi wa daraja la muda la Kagera kwenye upande wa JWTZ na alikua na cheo gani wakti huo!?

Ile khabari ya Nyerere ulotaja ya kuchelewa mno kumpandisha cheo Muhidin Kimario,imenihuzunisha mno,khasa ukichukulia kama ulivyotujuza yakuwa yeye alichukuliwa baada ya mwingine kushindwa ile shughuli...na alifanza kazi nzito na nzuri mno! Lakini matokeo yake baada ya vita kwisha takriban wakubwa woote walipandishwa vyeo,ikiwemo na yule Lupogo ambae ndo aloshindwa ile kazi. Nyerere akamwacha Muhidin Kimario na butwaa kubwa!? Hii khabari kuna wakti ilikua ni mojawapo ya minong'ono ya vikao vingi vya mjini wakti huo!

Kwa kifupi Nyerere alikua mtu matata na mapungufu mengi takriban penye kila jambo!!

Vipi Brigadier Simba Wazir,nae mlikua nae huko vitani,vipi mchango wake!?

Tafadhali tunasubiria kwa hamu hiyo sehemu ya pili.

Niwie radhi kama kuna lolote nimenena na hukupendezwa nalo ndugu yangu.

Ahsanta.

Cc;Shariff Ritz,Boko Haram,Prof.Ngongo,JokaKuu
 
Ahsante sana kiongozi. Ninajua mpo wengi wenye uzoefu na wenye uwezo wa kukumbuka masuala mbali mbali muhimu yaliyojiri katika vita hivyo vya kagera. Naomba ufanye mchakato, mshirikiane kuandika kitabu kinachoelezea ukweli wa histori a hii muhimu katika uhai wa Tanzania.

Ila naomba na mwingine mwenye habari kama hii atuandikie tuendelee kupata pata yamkini hata uzalendo unaweza kurudi kwa waliopoteza.

- Naomba muanzie mapinduzi ya Uganda - habari ya Dr. Milioton Obote alivyopinduliwa na kukimbilia Tanzania na hivyo kuwa kichocheo kwa Id Amini kuivamia Tanzania kwa lengo ya kumshughulikia huyu mbaya wake 1972

- Lakini kiongozi ukipata lugha nzuri ya kutuhabarisha (angalau sisi tuliondani ya nchi) tungefaidika, ili tufahamu namna tulivyomchokoza Amini mwaka 1978, namna askari wetu waliokuwa Mtukula waliopolianziksha kabla vifaa havijaenda na jinsi Idd alivyotufurusha hadi tukavunja Daraja la kagera ili asizidi kuingia zaidi, na alipoona tumevunja daraja haewezi kupita, akaambua kuweka bendera yake hapo na kutanganza hiyo nidyo mpaka ya nchi tumetengeneza.

-Lakini pia ni vizuri ukaliweka vizuri jinsi mafao ya wapiganaji hao walivyosumbuliwa na jinisi vile hakuna kitu kinafanyika kwa kujali maisha ya hawa wapiganaji kitu ambayo kama serikali haijifunzi, inaweze kupata wakati mgumu sana wa kuhamasisha watu kupigana vita tena. Hasa hii kipingi mnsema sema habari ya PK, Mseveni na nani sijui. (No offence, hii ni ya kijifunza na kurekebisha tu ili wapiganaji yetu wasione kinyongo kwenda front tena).

-Ninajua pengine litaumiza watu lakini kuna mmoja kati ya makamanda hao ulowataja hapo juu, nilimsikia mwenyewe akisema (wakati wa uhai wake) anaishi kwa msaada wa watoto wake. Asingesomesha watoto maisha yake yangekuwa mabaya sEana. KIKUBWA ALICHONIAMBIA NI KWAMBA HATAKI MTOTO WAKE YEYOTE FANYE KAZI YA JESHI. (Hiaya siyo majuto? Kwa nini ajute wakati kaongoza vita na tumeshinda? Ni dhahir alikuwa na makubwa yaliyomvuja moyo baada ya vita).

- SASA HIVI KUNA TECHNOLOJI AKUBWA SANA IMEENDELEA. NAOMBA HIZI HABARI ZA HISTORIA YA VITA YA KAGERA, ITENGENEZWE SCRIPT SAFI, HALAFU ITAFUTWE WATU MAHIRI WACHEZE FILAMU. NAJUA UTAMU YA FILAMU HII INAELEWEKA VILE ITAKUWA.

Wazaaaaaaaaaaazi, Wazazi wetu eeeeeeeeeeeh! X2 Mashujaa walokufa, wamekufa kishujaa. Mashujaa tulorudi, tumerudi kishujaa. Lengo na nia yetu wazazi lilikuwa moja , KULINDA HADHI YETU EEEEEEEEEH.

RIP in peace, wapiganaji wote waliopoteza maisha kwa ajli ya Tanzania.
 
Mkuu gombesugu habari za siku nyingi,vipi mfungo ?.

Ningeomba kuchangia kujibu swali lako kuhusiana na Shujaa wetu Major General Muhidin Kimario.Ninachojua Major General Muhidin Kimario aligombea ubunge wa Moshi Mjini na akashinda baada ya kushinda Mwl Nyerere akamteua waziri wa mambo ya ndani na baadae waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa sikumbuki alianzia wazara ipi kati ya hizi mbili ila ninachokumbuka aliwahi kuziongoza hizi wizara.So Major General Kimario alichelewa kupanda cheo kwasababu aliacha kazi za kijeshi na kujiingiza katika siasa zaidi.Kwa maneno rahisi na mafupi Major General Muhidini Kimario alikuwa akipigiwa salute na CDF wa wakati huo General Musuguri alikuwa akipokea salute na CoS.........Baada ya kushindwa ubunge wa Moshi Mjini Major General Kimario alirejea jeshini na kutunukiwa cheo cha Major General.

Prof. Ngongo,

Salaam ndugu yangu,mfungo nao ndo unakaribia ukingoni. Unajua huku tuliko tunafunga kuanzia roughly kumi ya usiku mpaka nne ya usiku,si unajua sasa ni summer!?...Uislam si mchezo ndugu yangu!ahahaa!!

Nitafika Dar keshokutwa only for couple of weeks,kushereheka sikukuu na Wazee hapo kiduchu.

Nakubaliana na yoote hayo uliyosema,na pia nakumbuka hata Mzee Kimario fitna na mambo aliyofanya/yaliyomtokea pale CDA-Dodoma. Pia kuna vitu vingine siwezi kuviweka hapa mitandaoni.

Mara ya mwanzo kumjua Mzee Kimario ilikua late 1970's,tulikwenda pale Moshi na Mzee wetu for a w'end break. Tulialikwa lunch na Mzee Mwinyikhamis Mushi wa KNCU,hapo pia tulimkuta/tulijumuika na Brigadier Kimario. Nafikiri yule Mzee Mushi pia alikua ni kama Godfather wake kwenye masuala fulani,japo sina hakika sana ni mtazamo tu!?

Tukiacha yoote hayo,point yangu au jambo jambo linalonitatiza ni yakuwa nakumbuka baada ya vita kwisha tu, ndo takriban wapiganaji wengi mno walitunukiwa medali/nishani na pia kupandishwa vyeo mara moja,kutokana na ushupavu wao vitani na mengineyo yaliyoonekana mema, ama kupendekezwa kwa Amir jeshi mkuu au yeye Amir jeshi mkuu mwenyewe kuamuru kwa matakwa/mapendekezo yake kikatiba.

Sasa kwanini hapa Kimario hakupandishwa cheo kwenye mkumbo mmoja na wenzie!?...hivi Mzee Kimario aligombea ubunge mwaka gani vile!?

Takupa mfano kiduchu;Colonel Kimbau,tangia 1975 alipoingia bungeni nafikiri kama Major kutoka kikosi cha ujenzi mpaka anastaafu takriban miaka 30 iliyofuata hakuwahi tena kurejea jeshini hata siku moja. Lakini vyeo vyoote vya kijeshi alipandishwa akiwa huko huko kwenye siasa/bungeni!?

Kwa kifupi ndugu yangu Ngongo,hapa sipingi yoote uliyonena na kuelekeza,lakini najaribu kuona kama ni kweli yakuwa Kimario alishindwa kupandishwa cheo kama wenzie woote ati kwa sababu tu alikwenda kugombania ubunge kama ulivyonielekeza!?

Ama kwa hakika,mie mambo/utaalamu wa kijeshi niko mtupu kabisa...nafikiri tumsubiri hapa mtaalamu wetu Echolima aje kutuelimisha zaidi.

Siku njema,na nimefurahi kukusikia maana ni kitambo hatujazungumza.

Ahsanta.
 
Kwa kuwa mimi si mdini na wala maelekezo/masuali yangu sikuwa na madhumuni yayo...tafadhali nakusihi unijuze ni kipi kilichokufanza kupata khisia hizo!?

Au pale nilipotaja yakuwa kuna Colonel anaingia misikitini kuomba Mola!?...mbona hilo ni jambo la kawaida mno mpaka kesho tena kwa makamanda wengi tu tena wenye vyeo vya juu!?

Kwani hujui au hujawahi pia kusikia yakuwa pia kuna makamanda wa ngazi za juu wa Kikristo pia hawapungui huko makanisani,au nikutajie kwa majina na ranks zao!?

Kumbuka nchi yetu ni njema na ina uhuru wa kuabudu kile upendacho, almurad huleti bughudha na muhma kwa wengine/wenzio.

Kinijulisha basi nami tajirekebisha ili siku ingine nisirejee "kosa" langu hilo la kutoa impression ya kidini kwenye makala/maulizio na masuali yangu.

Ahsanta.

Mkuu nisamehe kwa kukuelewa tofauti.!!
 
mh....tunakushukuru sana...moyo mliokuwa nao kipindi hicho tukiupata sisi leo hii...mama yangu kagame masaa 8 ni mengi
 
Mengi uliyoyauliza yako kwenye sehemuya pili au ya tatu natarajia wiki ijayo nitaanza kuitoa sehemu ya pili na baadaye ya tatu lakini kuhusu BRIGADE ya NYUKI nimeelezea sana kwenye sehemu ya PILI hivyo nisikumalizie UHONDO vuta tu subira maana nimeelezea pia changamoto zilizowapata askari pamoja na Maafisa wengi.
Oya mkuu historia ya pili lini? siku zinakata
 
Back
Top Bottom