mossad007
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 1,165
- 852
hii ndo hasara ya kuchanganya bangi ugoro,kuberi,gundi,valium na unga wkt wewe bado taifa linakuhitaj pumbav poteaa
Hahaha duhhh mkuu umeua..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ndo hasara ya kuchanganya bangi ugoro,kuberi,gundi,valium na unga wkt wewe bado taifa linakuhitaj pumbav poteaa
Echolima,
Nimependa umeandika vizuri mno na unajitahidi kujibu kwa ufasaha na uungwana mwema.
Kuna pahala umemtaja Lt. Col. Mazola,je ndie yeye yule baadae alikua full Colonel na kuna wakti alipata matata makubwa kwa kuwekwa ndani na Nyerere bila ya sababu zozote za maana!?
Colonel Mazola alikua Uk maskini,ghafula ati Nyerere akaamuru arejee nchini mara moja na kufikia kizuizini moja kwa moja bila ya kufunguliwa mashtaka ya aina yoyote yale!?
Kuna wakti alipotoka ndani alichoka mno kimaisha,lakini akawa mcha Mungu mzuri mno,alikua habanduki misikitini. Kuna wakti alirejea kwao Morogoro na kugombea ubunge wa Morogoro mjini na kufanikiwa nafikiri. Nijulishe ukipata wasaa tafadhali ndugu yangu.
Je yule Colonel Kibira wa pale Regent,nae mlikua nae huko vita ya Uganda!? Ukishanipa hayo majibu kuna vitu nataka kuunganisha dots!....kuna masuala yalompata Col. Mazola nataka kuhakikisha kutoka na kwako pia!
Kwa mtazamo wako ndugu yangu,nini ulikua mchango wa Brigade ya Nyuki kutoka Zanzibar. Je wale Paratroopers kutoka kambi ya Mwanyanya Zanzibar walifanya vizuri mno nasikia,je hizi khabari ni kweli!?
Je ni nani aliekua msimamizi wa ujenzi wa daraja la muda la Kagera kwenye upande wa JWTZ na alikua na cheo gani wakti huo!?
Ile khabari ya Nyerere ulotaja ya kuchelewa mno kumpandisha cheo Muhidin Kimario,imenihuzunisha mno,khasa ukichukulia kama ulivyotujuza yakuwa yeye alichukuliwa baada ya mwingine kushindwa ile shughuli...na alifanza kazi nzito na nzuri mno! Lakini matokeo yake baada ya vita kwisha takriban wakubwa woote walipandishwa vyeo,ikiwemo na yule Lupogo ambae ndo aloshindwa ile kazi. Nyerere akamwacha Muhidin Kimario na butwaa kubwa!? Hii khabari kuna wakti ilikua ni mojawapo ya minong'ono ya vikao vingi vya mjini wakti huo!
Kwa kifupi Nyerere alikua mtu matata na mapungufu mengi takriban penye kila jambo!!
Vipi Brigadier Simba Wazir,nae mlikua nae huko vitani,vipi mchango wake!?
Tafadhali tunasubiria kwa hamu hiyo sehemu ya pili.
Niwie radhi kama kuna lolote nimenena na hukupendezwa nalo ndugu yangu.
Ahsanta.
Cc;Shariff Ritz,Boko Haram,Prof.Ngongo,JokaKuu
Mengi uliyoyauliza yako kwenye sehemuya pili au ya tatu natarajia wiki ijayo nitaanza kuitoa sehemu ya pili na baadaye ya tatu lakini kuhusu BRIGADE ya NYUKI nimeelezea sana kwenye sehemu ya PILI hivyo nisikumalizie UHONDO vuta tu subira maana nimeelezea pia changamoto zilizowapata askari pamoja na Maafisa wengi.
Echolima,
Nimependa umeandika vizuri mno na unajitahidi kujibu kwa ufasaha na uungwana mwema.
Kuna pahala umemtaja Lt. Col. Mazola,je ndie yeye yule baadae alikua full Colonel na kuna wakti alipata matata makubwa kwa kuwekwa ndani na Nyerere bila ya sababu zozote za maana!?
Colonel Mazola alikua Uk maskini,ghafula ati Nyerere akaamuru arejee nchini mara moja na kufikia kizuizini moja kwa moja bila ya kufunguliwa mashtaka ya aina yoyote yale!?
Kuna wakti alipotoka ndani alichoka mno kimaisha,lakini akawa mcha Mungu mzuri mno,alikua habanduki misikitini. Kuna wakti alirejea kwao Morogoro na kugombea ubunge wa Morogoro mjini na kufanikiwa nafikiri. Nijulishe ukipata wasaa tafadhali ndugu yangu.
Je yule Colonel Kibira wa pale Regent,nae mlikua nae huko vita ya Uganda!? Ukishanipa hayo majibu kuna vitu nataka kuunganisha dots!....kuna masuala yalompata Col. Mazola nataka kuhakikisha kutoka na kwako pia!
Kwa mtazamo wako ndugu yangu,nini ulikua mchango wa Brigade ya Nyuki kutoka Zanzibar. Je wale Paratroopers kutoka kambi ya Mwanyanya Zanzibar walifanya vizuri mno nasikia,je hizi khabari ni kweli!?
Je ni nani aliekua msimamizi wa ujenzi wa daraja la muda la Kagera kwenye upande wa JWTZ na alikua na cheo gani wakti huo!?
Ile khabari ya Nyerere ulotaja ya kuchelewa mno kumpandisha cheo Muhidin Kimario,imenihuzunisha mno,khasa ukichukulia kama ulivyotujuza yakuwa yeye alichukuliwa baada ya mwingine kushindwa ile shughuli...na alifanza kazi nzito na nzuri mno! Lakini matokeo yake baada ya vita kwisha takriban wakubwa woote walipandishwa vyeo,ikiwemo na yule Lupogo ambae ndo aloshindwa ile kazi. Nyerere akamwacha Muhidin Kimario na butwaa kubwa!? Hii khabari kuna wakti ilikua ni mojawapo ya minong'ono ya vikao vingi vya mjini wakti huo!
Kwa kifupi Nyerere alikua mtu matata na mapungufu mengi takriban penye kila jambo!!
Vipi Brigadier Simba Wazir,nae mlikua nae huko vitani,vipi mchango wake!?
Tafadhali tunasubiria kwa hamu hiyo sehemu ya pili.
Niwie radhi kama kuna lolote nimenena na hukupendezwa nalo ndugu yangu.
Ahsanta.
Cc;Shariff Ritz,Boko Haram,Prof.Ngongo,JokaKuu
Kaizer,Mkuu Echolima.asante kwa simulizi hii.murua. nilikuwa mdogo kipindi hicho lakini kishindo cha vita nilikisia...
Mkuu JokaKuu kuna kitabu nilikisoma kinaitwa "Kuanguka.kwa Fashisti Iddi amini" cha TPH nadhani. Chonde chonde mwenhe nacho au anayejua kinakopatikana ...kilisimulia vizuri sana.
RIP mashujaa waliotutoka.
Mhuuu!!!!!!
Nasikia harufu ya udini hapa.
ni mtazamo tu.!!!
Echolima,
Nimependa umeandika vizuri mno na unajitahidi kujibu kwa ufasaha na uungwana mwema.
Kuna pahala umemtaja Lt. Col. Mazola,je ndie yeye yule baadae alikua full Colonel na kuna wakti alipata matata makubwa kwa kuwekwa ndani na Nyerere bila ya sababu zozote za maana!?
Colonel Mazola alikua Uk maskini,ghafula ati Nyerere akaamuru arejee nchini mara moja na kufikia kizuizini moja kwa moja bila ya kufunguliwa mashtaka ya aina yoyote yale!?
Kuna wakti alipotoka ndani alichoka mno kimaisha,lakini akawa mcha Mungu mzuri mno,alikua habanduki misikitini. Kuna wakti alirejea kwao Morogoro na kugombea ubunge wa Morogoro mjini na kufanikiwa nafikiri. Nijulishe ukipata wasaa tafadhali ndugu yangu.
Je yule Colonel Kibira wa pale Regent,nae mlikua nae huko vita ya Uganda!? Ukishanipa hayo majibu kuna vitu nataka kuunganisha dots!....kuna masuala yalompata Col. Mazola nataka kuhakikisha kutoka na kwako pia!
Kwa mtazamo wako ndugu yangu,nini ulikua mchango wa Brigade ya Nyuki kutoka Zanzibar. Je wale Paratroopers kutoka kambi ya Mwanyanya Zanzibar walifanya vizuri mno nasikia,je hizi khabari ni kweli!?
Je ni nani aliekua msimamizi wa ujenzi wa daraja la muda la Kagera kwenye upande wa JWTZ na alikua na cheo gani wakti huo!?
Ile khabari ya Nyerere ulotaja ya kuchelewa mno kumpandisha cheo Muhidin Kimario,imenihuzunisha mno,khasa ukichukulia kama ulivyotujuza yakuwa yeye alichukuliwa baada ya mwingine kushindwa ile shughuli...na alifanza kazi nzito na nzuri mno! Lakini matokeo yake baada ya vita kwisha takriban wakubwa woote walipandishwa vyeo,ikiwemo na yule Lupogo ambae ndo aloshindwa ile kazi. Nyerere akamwacha Muhidin Kimario na butwaa kubwa!? Hii khabari kuna wakti ilikua ni mojawapo ya minong'ono ya vikao vingi vya mjini wakti huo!
Kwa kifupi Nyerere alikua mtu matata na mapungufu mengi takriban penye kila jambo!!
Vipi Brigadier Simba Wazir,nae mlikua nae huko vitani,vipi mchango wake!?
Tafadhali tunasubiria kwa hamu hiyo sehemu ya pili.
Niwie radhi kama kuna lolote nimenena na hukupendezwa nalo ndugu yangu.
Ahsanta.
Cc;Shariff Ritz,Boko Haram,Prof.Ngongo,JokaKuu
Mkuu gombesugu habari za siku nyingi,vipi mfungo ?.
Ningeomba kuchangia kujibu swali lako kuhusiana na Shujaa wetu Major General Muhidin Kimario.Ninachojua Major General Muhidin Kimario aligombea ubunge wa Moshi Mjini na akashinda baada ya kushinda Mwl Nyerere akamteua waziri wa mambo ya ndani na baadae waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga taifa sikumbuki alianzia wazara ipi kati ya hizi mbili ila ninachokumbuka aliwahi kuziongoza hizi wizara.So Major General Kimario alichelewa kupanda cheo kwasababu aliacha kazi za kijeshi na kujiingiza katika siasa zaidi.Kwa maneno rahisi na mafupi Major General Muhidini Kimario alikuwa akipigiwa salute na CDF wa wakati huo General Musuguri alikuwa akipokea salute na CoS.........Baada ya kushindwa ubunge wa Moshi Mjini Major General Kimario alirejea jeshini na kutunukiwa cheo cha Major General.
Kwa kuwa mimi si mdini na wala maelekezo/masuali yangu sikuwa na madhumuni yayo...tafadhali nakusihi unijuze ni kipi kilichokufanza kupata khisia hizo!?
Au pale nilipotaja yakuwa kuna Colonel anaingia misikitini kuomba Mola!?...mbona hilo ni jambo la kawaida mno mpaka kesho tena kwa makamanda wengi tu tena wenye vyeo vya juu!?
Kwani hujui au hujawahi pia kusikia yakuwa pia kuna makamanda wa ngazi za juu wa Kikristo pia hawapungui huko makanisani,au nikutajie kwa majina na ranks zao!?
Kumbuka nchi yetu ni njema na ina uhuru wa kuabudu kile upendacho, almurad huleti bughudha na muhma kwa wengine/wenzio.
Kinijulisha basi nami tajirekebisha ili siku ingine nisirejee "kosa" langu hilo la kutoa impression ya kidini kwenye makala/maulizio na masuali yangu.
Ahsanta.
Oya mkuu historia ya pili lini? siku zinakataMengi uliyoyauliza yako kwenye sehemuya pili au ya tatu natarajia wiki ijayo nitaanza kuitoa sehemu ya pili na baadaye ya tatu lakini kuhusu BRIGADE ya NYUKI nimeelezea sana kwenye sehemu ya PILI hivyo nisikumalizie UHONDO vuta tu subira maana nimeelezea pia changamoto zilizowapata askari pamoja na Maafisa wengi.