Vita vya Syria vina mchanganyiko sana, ila dikteta Assad ni uovu wenye afadhali (lesser evil) kuliko waasi Wanajihadi

Waarabu huwa wanashindwa kupiga mahesabu ya kina aisee.

Badala mkubali kukaa chini ya bendera moja ya utawala mujenge taifa mnaleta utofauti unaowagawanya na kuharibu nchi na kuipasua kipande kipande.

Hili la Syria na Libya halina tofauti sana.

Waarabu walikosea 1948. Walipoamua kuunda Taifa la Israel, waarabu wasingekataa kulitambua. Walifikiri wangeweza kulizamisha lisiendelee kuwepo.
Sababu ya kosa lile, na baadae PLO ya Arafat kukataa kuendelea na makubaliono ya Oslo bila kuachiwa Jerusalemu yote, leo hii sijui wataanzia wapi kubadilisha mambo mengi magumu yaliyotokea.
Israel ya Netanyahu itafeli nayo sababu wanataka waunde Israel based on the bible territories.
All in all, Jordan na Egypt wana peace treat na Israel. Saudia kwa siri wanasaidiwa na Israel ili Iran isiwazingue.
Kilichobaki wahamie Igunga, Nzega, Tabora, Ushirombo au kule Kayenze waendelee kujenga maisha
 
Ndege za Kivita za Marekani A10 'Warthog' zimeanza kuwasaidia Waasi karibia na Mji wa Deir Ez Zor.

Terrible mistake....kwanini wasiwaache Syria wakaamua wenyewe?
Iraq mbona imeharika na wamekimbia?
 
Au afanye Dialogue na Waasi awaambie waachane na Idiolojia za Kisuni wachukue Usecular...unaonaje?!
Wewe na wenzako si ndio mliokuwa mnawaita washia magaidi na Iran ndio sponsor WA magaidi ? ,kila siku nikawa na waambia magaidi ni Israel, Marekani na machoko wenzao hao .
Nikawa nawaambia hebu leteni jina la gaidi hata mmoja wa kishia au incident ya ugaidi iliyofanywa na mshia .
 
Wazayuni hawamtaki Assad ni tishio kwa Taifa la Israel naona wameamua aondoke.
Mossad ,CIA na MI6 ndio masterminds WA hizi manipulations za kuunda vikundi vya mercenaries kufanya dirty jobs zao halafu wanaviita magaidi ili kuficha ukweli kwamba wao ndio funders WA hivyo vikundi ili kuwafanyia kazi zao chafu .
Msipolielewa hili mapema mtasumbuka sana ,hata Snowden yule CIA defector alishawahi kuongelea hili nadhani kwenye moja ya interviews zake
 
Kiufupi Hezbollah ,IRGC na air support ya mrusi ndio ilikuwa factor ya Asad kushinda ile vita dhidi ya magaidi kama ISIS ,Al nusra na waaasi wengine tena wakiwa supported na mataifa makubwa yenye silaha kama Uturuki , Marekani nk
Kuna mauaji ya kimbari yalifanywa na hivyo vikundi vya kigaidi humo Syria ,maana walikuwa wanachinja sana raia kama kuku vile
Ground forces bila wanaume Hezbollah Asad wangemnywa supu hao magaidi nakwambia.
Ile vita ilikuwa ni moja ya vita ngumu na ndefu mno
Nashangaa mpumbavu leo hii anayediriki kuandika " Hezbollah magaidi , " ,au " Hezbollah wadhaifu "mtu huyu bila shaka ni mtu asiyeelewa anachoandika
Mtu akiandika hivi huwa natamani kumtemea mate usoni
 
Sasa hivi Syria umekuwa ni uwanja wa fujo Ndege za Marekani zinawasaidia Waasi na zinawashambula Wanamgambo wa Kishia wanaotoka Iraq pamoja na Majeshi ya Assad.

Ndege za Russia nazo zinawashambulia Waasi tena zinaruka chini chini.

Wananchi wa Syria wameanza kukimbilia ukimbizini wengine wameanza kukimbilia Lebanon.
 
Waasi wa Kisunni wamelivamia Gereza kuu la Aleppo na kuwafungulia Wanamgambo wa ISIS waliokuwa wamefungwa hapo.

Vita inazidi kuchukua mkondo wa Kigaidi.
Endeleeni kuwatetea hao vibaka na mabwana wao mnaowaabudu kama miungu yenu na kuwaita wapersia na Shiites magaidi .
Ngoja hao washenzi mercenaries wa US ,Israel ,Turkey ,Qatar ,Saudi nk watoke magerezani waingie mitaani ndio mtajua maana halisi ya magaidi ni ipi .
 
Mgogoro wote huu lengo kuu ni kukata LINE inayotumiwa na Ayatolah kupeleka Silaha Lebanon kwa Hezbola na Hamas.
 
Mgogoro wote huu lengo kuu ni kukata LINE inayotumiwa na Ayatolah kupeleka Silaha Lebanon kwa Hezbola na Hamas.
Hakuna anaweza kumchallenge Ayatollah pale Syria, hao Wanajifurahisha TU watasanda wote ni suala la muda TU waasi wataitema
 

Mwenyezi Mungu ametuepusha na balaa kubwa.
ISIS hawakupaswa kupewa nafasi. Fanatics yao iligubikwa na ujinga, uhalifu na laana tupu.
Hawawezi kwenda kurithi mabikra 72 wale
 
Waarabu hawakukataa kuitambua Israel bali walikataa reconciliation ya kwanza na ya pili na wakakubali ya tatu ambayo ndio hiyo Oslo accords japo ilikua too late.
Iran hana tabu na mtu ndio maana hata Qatar ameanza kumfungulia milango.
Ukibaraka wa Saudia ndio unamfanya ajitishe mwenyewe kuhusu Iran huku akiendekeza Ushia na usunni ilhali Iran imeshatoka huko.
 
Mkuu unabishana na huyo mwenye kichwa kisicho na ubongo!?
Usijikaushe nishati mwili bure.
 
Mufty uko wapi nikuletee sharubati ya tende!?
 
Huwezi kusikia Ulamaa yeyote akisema hadharani kwamba Al Nusra au Al-Shabaab wanapigana jihadi ya haki kwa sababu atawekwa kwenye us terror watch list na maisha yake yatakuwa magumu sana.
Kisheria hao sio wapigana jihad.
Shurti za jihad usiue wanawake na watoto na usiharibu miji.
Na jihad ina malengo yake sio kama hayo wanaopigana hao HTS.
Hao kisheria za kiislam wanafanya mauaji hiyo sio jihad.
 
Kheri hata wewe dini unaijua kuliko yule gaid FaizaFoxy gaidi wa kike asiye jua hata dini yake

Wewe mda siyo mrefu KRISTO YESU atakuwa mwokozi wako maana hauko mbali na kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…