Return Of Undertaker
JF-Expert Member
- Jun 12, 2012
- 4,572
- 26,885
Watu mna akili ya ziada, du.....!Nchi hii ukiifuatilia kwa umakini utagundua Corona iliingia kipindi kile anakagua daraja la Ubungo akapitia moro, then Dodoma kwenye mawe then to Chato.
Kiashiria cha kutokuwepo kwa corona nchini ni mwenyekiti wa chama kuwa katika ofisi mbili ile ya Dodoma au Dar.
Asipokuwa katika ofisi hizo endelea kujua kuwa hali ni mbaya nawe kama una uwezo jichimbie ndani mpka bwana mkubwa akitoka chato nawe utoke.
Raisi si MUNGU kuwa lazima yeye ndo akulinde. Jilinde kama unaona hayupo sawa na njia zake za kukulinda. Katika kujilinda usivunje sheria.
Sana tu. Chukua hatua. Mfano kama ni lazima uwe unatoka unaweza kujitenga na familia yako, ukawapeleka sehemu tofauti kabisa, ukahakikisha wanapata chakula, ww ukaendelea kupambana huku ukichukua tahadhari.Samahani mkuu, umetafakari kabla ya kuandika