MICHAEL SON
JF-Expert Member
- Apr 17, 2020
- 458
- 536
Ukweli upo wazi,, AMEJIFICHA CHATO ANAOGOPA CORONA,,,,Gellangi,
Upuuzi mwingine bhana. Alafu kesho mtu kama wewe atakuja bishana na mtu kuwa oooh, urais ni taasisi.
Hivi waziri mkuu ambaye alikabidhiwa rasmi hii ishu tena laivu hatukuona? Akaunda timu yake ya kuongoza juu ya hii ishu. Au ishu ni jamaa aoneoane tu ktk tv.? Dah!
Ni timing za upinzani kuweka mtu MWENYE ushawishi,,ila wachukue tahadhari hasa zi kitoe usalama people gonna die this yearNinachokiona kwa sasa umaarufu wa Magufuli umeshuka vibaya sana na kwenye Uchaguzi mkuu kama wasipouchafua basi anguko kuu laja swali ni je watakubali kuachia hatamu?
Au itatubidi turumie njia nyingine ili tuwang'oe ccm waliong'ang'ania madaraka
Hawezi kuja anajua muziki wa corona na ilivyotapakaaMimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Raisi ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia tukapige kazi.
Baada ya kumuapisha MWIGULU nimeona hapo hapo wamepanda kwenye gari nakuondoka. Yani hata chai ya nyumbani kwa Rais hajaiona.
Hii nikuonesha jinsi Rais anavyochukulia serious kujilinda na corona yeye na familia yake. Alafu huku akichukizwa na Viongozi wa makanisa na Misikiti walioamua kufunga nyumba zao za ibada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwaiyo unataka aitweje? Mungu au Mtukufu?Wewe kula ugali ulale
Unanwita Rais njoo Dodoma utafikiri unaita bajaji !
Ikulu ya chato ipo GeitaNinachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Mimi binafsi huwezi niambia tupuuze corona wakati Rais ameichukulia serious kiasi kwamba kajifungia kwake ila anatanguliza raia na viongozi wa chini yake tukapige kazi.
Baada ya kumuapisha MWIGULU nimeona hapo hapo wamepanda kwenye gari nakuondoka hapo hapo. Yani hata chai ya nyumbani kwa Rais hajaiona.
Hii nikuonesha jinsi Rais anavyochukulia serious kujilinda na corona yeye na familia yake. Alafu huku akichukizwa na Viongozi wa makanisa na Misikiti walioamua kufunga nyumba zao za ibada. Kwani Mungu yupo kanisani tu? Yeye ameenda kanisani mara ya mwisho lini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watanzania tusiogope haya ni mafua kama mengine yatapita.

Maswali magumu mnatolea majibu mepesi sana. Nini maana ya nchi kuwa na makao makuu? Kwanini ikulu ilihamishwa dodoma ambako ndyo makao makuu ya nchi?Ninachojua makazi na ofisi ya Rais ni Ikulu na Ikulu haipo dar au dodoma pekee. Sioni Cha ajabu Rais kuwepo huko kwa kuwa napo Ikulu ipo.
Hata akiwepo dar, bado ataendelea kuwa Ikulu kama ilivyo huko Chato. Je, na hili inahitaji viongozi wenu wawaambie?
Kabisa.. sijui lengo lake nini?
Yeye amejificha huko kisha anasema siso tuchape kazi.
Hapana, hili halikubaliki kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Stupid
Rais hata akija anachangamana na watu??
Acha kuleta ujinga