Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
eti anasema hilo ni jambo binafsi. akili nzito hiiKwa hiyo broo wewe huami kuwa raisi amejificha chato kwa sababu anaogopa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hiyo wewe unadhani anafanya nini chato? Hatari ya Dar na Dom sio sawa na ChatoSasa wewe unataka afanye nini raisi
Mbona akili ndogo kijana unatumia
Kwani kukaa chato ndio kukikmbia corona? Are u sure chato corona haipo au haiwezi kufika...
Inawezekana amejificha.Kwa hiyo broo wewe huami kuwa raisi amejificha chato kwa sababu anaogopa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hathamini au hadhamini, kama watu wake wana makosa yasiyo na dhamana kwanini awadhamini?
🤣🤣🤣 hivi hii kitu ya Madagascar imeishia wapi?
Imeishia tumboni mwa wajuba[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi hii kitu ya Madagascar imeishia wapi?
Walioruhusiwa kusema/kutoa taarifa ni watatu tu.Mpaka leo wanalalamika corona inatisha hawajaleta taarifa za kufiwa
Yaani jamii forum imejaza waongo wa kisiasa
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote...
Kama ndivyo kulikuwa na sababu gani kupoteza fedha kukarabati Magogoni au Chamwino?Ingelikuwa hicho ukisemacho ni kweli tulitakiwa Nyerere aongoze akiwa Butiama,Mwinyi tokea Zanzibar,Mkapa huko Masai/Lushoto na Kikwete huko Msoga.Why shifting goal posts during play?Mnajibu tu ilimradi bila kutafakari.Ikulu ndogo ipo chato nyie chapeni kazi au sio
Kama ndivyo kulikuwa na sababu gani kupoteza fedha kukarabati Magogoni au Chamwino?Ingelikuwa hicho ukisemacho ni kweli tulitakiwa Nyerere aongoze akiwa Butiama,Mwinyi tokea Zanzibar,Mkapa huko Masai/Lushoto na Kikwete huko Msoga.Why shifting goal posts during play?Mnajibu tu ilimradi bila kutafakari.
Hata hivyo Sisi wadadisi tumeshuhudia akirejea chomboni huku akinyatia na kuwala vichwa baadhi ya Manahodha wasaidizi ili kuficha aibu.
Nilikuwa sifahamu kuwa Maabara ya afya ya kjamii kumbe ilikuwa ile ya NIMRI iliyojengwa 1968.Mlitegemea isitoe majibu tata ya COVID 19?Technology ya 1968 inapima DNA PCR?Kumbe Mabibo kulikuwa hakuna Maabara ya Taifa?Shindwa kabisa kwa kutuchezea akili huku mkiamini kuwa hatuana uelewa,changa LA macho hili!!!
Hata kama ungeitaka, Tanzania ina uwezo huo? Hakuna lockdown simply because nchi ni maskini not otherwise.
Hakuna kulock chochote hapa kama nchi wala mji ila wanaotaka kujilock down wenyewe ruksa kufunga mageti yaoLabda atakuwa nahodha hewa,aliwahi kusema nchi hii kila kitu ni hewa,so usishangae nae akawa hewa