DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeikumbuka Vita ya kagera ilivotulisha ugali wa yanga watanzania[emoji29]Usipo kuwa makini vita inakuvuta shimoni kwenye lindi la umasikini,
Ha ha ha.....wazee wa kutembelea Kiki[emoji2]Kuna nchi watatumia hii taarifa ili kuwakandamiza Raia wao, bora ungeisoma huko ulipoitoa na kukaa kimya aseee [emoji16]!.
nyie mliachiwa na wakolon miundo mbinu mkaiharibu yote , sasa hv wachina wakolon wapya wanajenga tena ili wawanyonye tena , hamstuki ila mpo bize kuwaponda wanaosonga mbeleHata kupigana asingethubutu,maana uchumi wake fake,ni WA kubustiwa na marekani na ulaya,ile ni military base yao mashariki ya kati
hahaaaaaaKuna nchi watatumia hii taarifa ili kuwakandamiza Raia wao, bora ungeisoma huko ulipoitoa na kukaa kimya aseee [emoji16]!.
kuna kiongoz wa israel aliwai sema israel ni taifa teule ?tuanzie hapoTaifa teule liliobarikiwa inawezekanaje likawa ktk matatizo makubwa ya kiuchumi? Inawezekana wakawa wamepata laana?
kwahiyo unategemea hamas angevamia na israel isingejibu ? mbona hata kuku anawazid reasoningHayo mabillioni ya USA ndio yanayofadhili hii Vita.
tafuta page za warusi waishio nje ya urusi sio walio ndan ya urusi , serikali za kisocialist na kicommunist hazisemag ukwelkwa hio IMF wanadanganya sata za Russia? kwa faida ya nani?
sasa musiilaumu Israel kwa uchumi kudrop , vita sio rafiki ila lazima hamas waisheNmeikumbuka Vita ya kagera ilivotulisha ugali wa yanga watanzania[emoji29]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kuna jamaa wa wapalestina alikua analalamika kwamba wamerudishwa nyuma zaidi ya miaka 100 baada ya mashambulizi ya Oct 7Ni marudio tu hayo. Hata WaTZ walikua wanakula chakula cha mifugo kipindi fulani wakati wa awamu ya mchonga na Wala hawakua katika vita.
Ulishawahi kisikia unga wa sembe wa YANGA?
Mkoloni gani alituachia miundombinu!?..mwingereza aliacha barabara za lami mbili tu,hata dar-moro hapakua na laminyie mliachiwa na wakolon miundo mbinu mkaiharibu yote , sasa hv wachina wakolon wapya wanajenga tena ili wawanyonye tena , hamstuki ila mpo bize kuwaponda wanaosonga mbele
reli ya dar to moshi sio muundo mbinu ? je tang 1980s mpk 2015 kwann ilikuwa haifany kaz ? ni meli ngap zimekufa ? kabla ya 2015 ni meli ipi mlinunua au fufua ? viwanda vingap vimekufa sasa hv ?Mkoloni gani alituachia miundombinu!?..mwingereza aliacha barabara za lami mbili tu,hata dar-moro hapakua na lami
Halafu hata mchango wa laki tu hawana masikiniNichukue fursa hii kuwapa pole wale wayahudi weusi wa Ifakara mpaka huko Tandahimba ndani ndani.
Hakuna kiwanda Cha mkoloni,mkoloni viwanda alijenga Kenya,reli ya dar-moshi alijenga kwa ajili ya kuleta kahawa bandarini dar,kahawa tinaileta bangarini kwa njia nyingine cheaper zaidireli ya dar to moshi sio muundo mbinu ? je tang 1980s mpk 2015 kwann ilikuwa haifany kaz ? ni meli ngap zimekufa ? kabla ya 2015 ni meli ipi mlinunua au fufua ? viwanda vingap vimekufa sasa hv ?
Hapana endelea nao mkuu.yes mkuu,vp kwani unataka nikupe connection ya mashoga?
ila ww ni mpumbav , hili kundi lenu ndo ccmu wanufaika nalo , Magu alirudisha usafiri wa reli mwaka 2019 nlipata bahati kupanda nauli ilianzia tsh 16500 , na bus ilikuwa inaanzia Tsh 25000 je huon umuhimu wa reli ? mzigo unachajiwa ela karibu nusu ya ela utachajiwa kwenye gar za mizigo je huoni umuhimu wa reli ? je unajuwa kwann wakolon walikuwa na miradi mingi na yote ilienda vzr tu ila sisi kizaz cha leo , serikali yako imeshindwa kuendesha hata mashamba ya mkonge hapo Tanga , je unajuwa kwann ? TUNAITA KUWAELIMISHA WATU KAMA NYINYI HAMJUI KWANN DUNIAN KOTE RELI NDO NJIA NAMBA MOJA YA UCHUKUZ .Hakuna kiwanda Cha mkoloni,mkoloni viwanda alijenga Kenya,reli ya dar-moshi alijenga kwa ajili ya kuleta kahawa bandarini dar,kahawa tinaileta bangarini kwa njia nyingine cheaper zaidi
Umeniita mpumbavu kumbe wewe ndiye mpumbavu,reli haijengwi kwa ajili ya kusafirisha watu,ni hasara, mkoloni alijenga reli kusafirisha malighafi,serikali ilipewa masharti ya kuachana na biashara iache mikononi mwa watu,mashamba ya mkonge wamepewa watu akiwemo mo dewji,hakuna kiwanda kilichojengwa na mkoloni Tanzania, mwingereza Tanzania hakupapenda Sana Kama Kenya,viwanda alijenga kenyaila ww ni mpumbav , hili kundi lenu ndo ccmu wanufaika nalo , Magu alirudisha usafiri wa reli mwaka 2019 nlipata bahati kupanda nauli ilianzia tsh 16500 , na bus ilikuwa inaanzia Tsh 25000 je huon umuhimu wa reli ? mzigo unachajiwa ela karibu nusu ya ela utachajiwa kwenye gar za mizigo je huoni umuhimu wa reli ? je unajuwa kwann wakolon walikuwa na miradi mingi na yote ilienda vzr tu ila sisi kizaz cha leo , serikali yako imeshindwa kuendesha hata mashamba ya mkonge hapo Tanga , je unajuwa kwann ? TUNAITA KUWAELIMISHA WATU KAMA NYINYI HAMJUI KWANN DUNIAN KOTE RELI NDO NJIA NAMBA MOJA YA UCHUKUZ .
CCMU SIO DINI