Vita ya Hamas na Wazayuni ni zaidi ya tunayoiona na kuisikia

Hakuna vita ya mayahufi na Waarabu sasa hivi. Kuna vita ya haki na batil.

Tazama Wayahudi wanawashambulia mazayuni, tena majenerali wa jeshi la mazayuni:


View: https://youtu.be/whhWjTyLxDY?si=Y5YG4t6WekdbOPR0
 
Dadangu mpendwa hakuna Myahudi Muislamu wala Mkiristo wala mbudha Wala mpagani
Hakuna nshaki nimesema hao uliowataja ni Waislam. Labda hunisomi vizuri.

Hao uliowataja wengi wao anaojaaliwa juiina nuru ya haki wanabaduluka na kuwa Waislam.

Kwa ushahidi kabisa, ukipenda nakuwekea.
. Hii vita sasa hivi ni ya haki na ubatili.
 
Weka ushahidi.

Naku-"challenge" hutoweza kuthibitisha huo ujinga wako uliojazwa nao.
 
Kila gaidi duniani lazima achangamane na imani ya ki Islam kwanini?
 
Kila gaidi duniani lazima achangamane na imani ya ki Islam kwanini?
Sio kila Gaidi lakini asilimia kubwa ya Waisilimu wameahidiwa kupata Wanawake wa bure na Mito ya Pombe wanapopigana na kufia kwenye Vita ya "Jihadi" kupigana na wale wasioamini Dini ya Kiislamu.
 
Kila gaidi duniani lazima achangamane na imani ya ki Islam kwanini?
Huo ni ujinga uliojazwa nao. Ni ngumu sana kwa binadam kuutowa ujinga wa kusomea kichwani mwako.

Ni wa kukuombea dua tu, kiza cha ujinga wa kusomea kikuondoke uingiwe na nuru ya elimu ya haki.
 
Nionyeshe Wapalestina kwenye Quruani?!Acha Sarakasi.
Qur'an Surah inaongwelea Masjid Al Aqsa Al Qudsi chapter 17.1

The Al Aqsa is mentioned several times in the Quran. For instance, verse 17:1 in the chapter Al Isra reads:“Glory be to Him who carried His servant by night from Al Masjid Al Haram to Al Masjid Al Aqsa; the environs of which We have blessed, that We might show him some of Our signs.

Kuna lingine
 
Msikiti wa Al Aqsa umejengwa baada ya Mahamed kufa miongo mingi 🤣🤣🤣uongo wenu unakaribia kufika mwisho.
👇
History of Masjid Al-Aqsa

Regardless, the rough estimate of when the mosque was built is between 685 C.E. to 715 C.E., the period of both caliph's reigns. Around 714 C.E., Jerusalem experienced earthquakes that destroyed the eastern portion of the mosque, but it was rebuilt.

Msikiti umejengwa kwenye eneo la Hekalu la Wayahudi na sasa unaenda kubomolewa😂
 
Sio kila Gaidi lakini asilimia kubwa ya Waisilimu wameahidiwa kupata Wanawake wa bure na Mito ya Pombe wanapopigana na kufia kwenye Vita ya "Jihadi" kupigana na wale wasioamini Dini ya Kiislamu.
Kumbe na wao pia wanapigania hanasa za dunia zilizokatazwa kwenye vitabu vya dini
 
We unao ongelea huo unaitwa Masjid Al Aqsa mnaonyeshwa kwenye TV huo ni Al Masjid Al Quba Israel ndio anapotesha watu Masjid Al Aqsa una covet hio area yote kuna Masajid au misikiti miwili.Huo wa Quba na alio jenga Omar uko pembeni kwanyuma misikiti yote ipo ndani ya Al Aqsa.


View: https://youtu.be/ZWqdSiuJhFA?si=q2WKqYOZzuFFBX8T
 
Sasa mumeamua kudanganya kabisa 😆😆😆
Umewahi kuni quote nilikuwa bado sijamaliza Masijidi Al Aqsa ina covers area yote ya Misikiti hio miwili imejengwa ndani ya msikiti wa Al Aqsa Huo zmsikiti wa Quba na Msikiti wa Omar.
 
Mkuu,hapo kwenye Palestina ungeandika "Mapalestina".
1-Wazayuni=Mazayuni.
2-Wapalestina=Mapalestina.
Mlinganyo sahili.
Qur’an imeshamaliza kila kitu, hivyo wewe endelea kubaki na neno wazayuni/Wanaswara, badala ya MAZAYUNI NA MANASWARA
 
Sasa mumeamua kudanganya kabisa 😆😆😆
Umewekewa na video ya ushahidi bado unaona unadanganywa tu?

Waliokusomesha ujinga wamefanya kazi nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…