Ndo hivyo jiandaeni kujitegemea!! Mmetuibia vya kutoshaKama Bara hawataki Rais kutoka Zanzibar ni Bora kugawana fito tuu Kwa sababu Haina maana ni upuuzi
Wasamehe bure wote waliomnanga Magufuli kwani wengi wao wameanza kuelewa uzalendo wake uliomjengea jeshi la maadui.sikiliza nikuambie nyie hamjitambui nyie na hao watanganyika ndio mlikuwa mnamnanga Mgufuli eti anafukuza wageni kuwekeza, mwenzenu alitaka serikali imiliki biashara kamaz zte mkasema eti ni kichaka cha kujipatia pesa .
Huo ndio uwekezaji mnaotaka mmepewa , pambaneni sasa.!
Watanganyika hatujielewa wazanzibar wana haki ya kupigania kwao , na sisi tupiganie kwetu ...Magufuli alipombana Manji wakaibuka na mihemko ya ushabiki wa mpira hasa watu wa Ynga eti kamfilisi Manji.Wasamehe bure wote waliomnanga Magufuli kwani wengi wao wameanza kuelewa uzalendo wake uliomjengea jeshi la maadui.
Ukweli unabaki kuwa sio CCM wala wapinzani wanaoweza kubadilisha huu upepo mbaya wa siasa za Tanzania.
Sisi wananchi tusio na wadhifa kwenye vyombo vya maamuzi, tunapaswa kuamka usingizini na kudai chetu kama wale vijana wa Kenya Gen Z wanavyofanya...Hiyo ndio njia sahihi, tuanze na Katiba mpya + Referendum!
Dr. Husein Mwinyi aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga.ni mzanzibar gani aliyegombea ubunge bara? hebu tupe ufafanuzi wa hili, na huyo aliyepo si aliwekwa na JPM na wala hakuchaguliwa wala kupendekezwa na wazenji, na pia baba yake ni mbara, sasa Mungu awape nini tena.
Kama hukuwepo wakati wa G55 kaa kimya na upumbavu wako.Tangu lini maslahi ya Tanganyika hajawa hayapo? Hayo maslahi mumeyaina saizi ambapo Rais ni Mzanzibari?
Miaka yote Rais akiwa mbara mbona hamjawahi lalamika badala yake Zanzibar ndio imekuwa ikilalamika?
Acha upumbavu,vunjeni Muungano kama mna jeuri Ili tuone nani ataumia
Muungano wa kijinga sn kwanza umejaa udinni tupu, hakuna mbunge au mwakilishi mkristo kutoka Zanzibar hata kwenye baraza la mapinduzi
Kwa sasa hayupo hivyo lazima turudishe nchi yetuUnamlaumu nan sasa? Nyerere ndio alilazimisha huo muugano.
Hatuutaki uvunjwe haraka snRais wa Zanzibar anapigiwa salute na JWTZ,Police,Magereza;Uhamiaji........... Gharama za uendeshaji hatoi hata ndururu.Huu muungano umekaa kimchongo mchongo.
Bila hata kumtusi mtu, hoja yako ni ya msingi sana. "Wazanzibari ni wachache bungeni kuliko watanganyika"...hao ndio wanaopitisha sheria mbovu anazotumia Rais mzanzibari kuuza nchi...Punguani mkubwa,Haki ipi wewe fukara wa nanyumbu umeikosa?
Rais ndio Huwa anatunga sheria za kufanya udalali? Au Serikali imejaa Watanganyika wangapi na Wazanzibar wangapi?
Huku ni kukosa akili
Napo Rais alikuwa Mzanzibari ndio maana chokochoko zilikuwepo.Kama hukuwepo wakati wa G55 kaa kimya na upumbavu wako.
Hakuna mahala Rais kauza Nchi maana hayuko kwenye Timu ya majadiliano Wala popote.Bila hata kumtusi mtu, hoja yako ni ya msingi sana. "Wazanzibari ni wachache bungeni kuliko watanganyika"...hao ndio wanaopitisha sheria mbovu anazotumia Rais mzanzibari kuuza nchi...
Tujilaumu Sisi wenyewe kwa ujinga wetu au tamaa zetu za mali na madaraka. Tuaamke tu tudai chetu bila kutegemea vyama.
Passport yake!Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti kila moja ina Rais wake, jeshi lake, bendera yake, wimbo wa Taifa lake, benki kuu yake , passport yake, je bado tu hamuelewi?
Nchi ya Zanzibar ina idadi ya watu 836,000 ina wabunge 80.Bila hata kumtusi mtu, hoja yako ni ya msingi sana. "Wazanzibari ni wachache bungeni kuliko watanganyika"...hao ndio wanaopitisha sheria mbovu anazotumia Rais mzanzibari kuuza nchi...
Tujilaumu Sisi wenyewe kwa ujinga wetu au tamaa zetu za mali na madaraka. Tuaamke tu tudai chetu bila kutegemea vyama.
Mna haki ya kutetea nchi yenu.Kwa sasa hayupo hivyo lazima turudishe nchi yetu