Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
HakikaNi wajibu wetu sisi Watanganyika kuunganisha nguvu zetu bila kujali vyama, dini na kanda kuikomboa Tanganyika yetu kutoka mikononi mwa mkoloni mweusi anayeuza rasilimali zetu kwa kasi kama moto wa nyika.
Mkuu nadhani hapa uhalisia ni vice versaWananchi wa kawaida wa Tanzania(Watanganyika na Wazanzibari) wanapenda muungano kwa kuwa unawapa fursa zaidi za kiuchumi.
Changamoto ni kwa wanasiasa ambao huweka maslahi yao binafsi mbele zaidi ya yale ya taifa.
Hata hivyo, wananchi wanatakiwa kujengewa uwezo wa kuwadhibiti wanasiasa kifikra na kivitendo kwa mustakabali mwema wa taifa.
Sahihi kabisa mkuu, asante.Uhamiaji, Polisi, JWTZ, TISS ni Jamhuri ya Muungano. Hakuna Hati ya kusafiria ya Zanzibar.
Watawala wa Zanzibar walikasirika sana Magufuli aliposema kitambulisho kitakiwacho mtu anapoomba Hati ya kusafiria ni NIDA tu na cha Mzanzibari hakitakiwi.
Usichofahamu ni kuwa hata Wazanzibari wenyewe hawataki muundo wa sasa wa serikali mbili wanataka serikali tatu ambazo zitawapa madaraka kamili ya Zanzibar yao, wanaokumbatia huu muungano upande wa Zanzibar ni kada ya viongozi wao ambao wananufaika wao binafsi na familia zao kwa mafao wanayopata.Napo Rais alikuwa Mzanzibari ndio maana chokochoko zilikuwepo.
Hoja Iko wazi hamtaki Rais awe Mzanzibari,Sasa Kwa nini muwalazimishe Wazanzibar kwenye Muungano ambao hamuwezi kutenda Haki?
Angalau sasa hapa kuna kichwa kinaweza kusikilizwa......Niliwahi kusikia kuwa JKN ilimbidi kuhangaikia kuungana na Zanzibar kama clause moja wapo kati ya nyingi tulizopewa na Richard Turnbull wakati wa kuhangaikia uhuru na wala haikuwa kwa mapenzi yake mwenyewe. Hivyo maslahi ya muungano hayapo kwa CCM tu, nadhani hata Uingereza inahusika.
Wao hawataki siku zote ila sio kwamba hawataki wasiongize Tzn kama nyie ambavyo hamtaki.Usichofahamu ni kuwa hata Wazanzibari wenyewe hawataki muundo wa sasa wa serikali mbili wanataka serikali tatu ambazo zitawapa madaraka kamili ya Zanzibar yao, wanaokumbatia huu muungano upande wa Zanzibar ni kada ya viongozi wao ambao wananufaika wao binafsi na familia zao kwa mafao wanayopata.
Hiyo habari ya Mzanzibari kuwa Rais ni yako wewe sisi tunaongelea muundo wa muungano.Wao hawataki siku zote ila sio kwamba hawataki wasiongize Tzn kama nyie ambavyo hamtaki.
..sio kwamba hatutaki Raisi wa muungano toka Zanzibar.
..tunachotaka ni serikali ya Tanganyika, na muungano wa serikali 3.
..baada ya hapo hakutakuwa na shida ikiwa Raisi wa muungano atatoka Zanzibar.
Muungano wa kijinga sn kwanza umejaa udinni tupu, hakuna mbunge au mwakilishi mkristo kutoka Zanzibar hata kwenye baraza la mapinduzi
Unaongeza tatizo palipo na tatizo mkuu. Ubinafsi wetu ni nini? Sipendi kutumia neno lako ila ukweli ni nyie ndio wabinafsi haswa, maana pamoja na mazonge yote ya huu muungano, angalau nyie mnafaidika na mambo kadhaa.watanganyika ni wabinafsi sana
MKuu hicho mbona ndio kilio cha Zanzibar kwa miaka mingi sana, na nyinyi ndio mumekuwa mikiwakebehi kuwa wanapenda kulialia
Kwa hiyo unakubalina na hoja kwmaba kumbe shida sio Muungano bali Mzanzibari hatakiwi kuwa Rais? Kuna haja ya Muungano mpaka hapo?
Muungano huu hauna future.Heshima sana wanajamvi,
Muungano baina ya Tanganyika na Zanzibar ambao uliasisiwa na watu wawili ambao sasa hawapo, tena bila ridhaa ya wananchi wa pande zote mbili sasa unapitia katika msuko suko mkubwa.