Unamlaumu nan sasa? Nyerere ndio alilazimisha huo muugano.
Mkuu sijui unaelewa maana ya jeshi? Hiko ni kikosi, sio jeshi rasmi. Hata TFS Wana hizo ranks, wana hivyo vikosi, Tanapa wanavyo pia
Kwamba unapinga nyerere hakulazimishwa kulazimisha muungano?You must be joking. Watanzania wenzangu tuwe tuna tabia ya kutafuta elimu na kujisomea. Hadithi za mitaani nyingi ni za kutunga.
Zanzibar imeungana na Tanganyika sababu ya matakwa ya wakubwa na mwitikio wa vita baridi. Haya mengine ya kumsikiliza sijui nani ambaye elimu yake kwanza ni questionable na facts hana, wala hajafanya research yoyote yanatufanya kuendelea kuwa wajinga
Kwamba unapinga nyerere hakulazimishwa kulazimisha muungano?
Na kama ni hivyo sasa kwanini bara ndio wanakataa kuvunja muungano wakati zenji wao wameonesha nia ya kuukataa na hata kuanzisha harakati za uamsho na walipoishia tumeona?
Ushahidi waa mazingira
Uwasilishaji na utetezi wa mada yako ni hafifu sana, pamoja na kwamba ni mada nzito hii.meanza kueleweka hadi ndani ya CCM. Ugomvi mkubwa wa Kinana, Makamba na wanaCCM wengi ni Tanganyika kutawaliwa na Rais kutokea nchi ya Zanzibar ambaye amekuwa dalali mkubwa wa kuuza rasilimali za Tanganyika.
Wazanzibari always wamedumu na msimamo wao kwenye suala la muungano katika mazingira yoyote, kwanini nyinyi huwa munalalamikia muungano Raisi anapokuwa Mzanzibari tu? mbona wakati wa JPM hamkuwa mkilalamika?
Nyinyi sio kama hamtaki muungano, bali hamtaki viongozi wa serikali watoke Zanzibar. Ni ubaguzi tu, munaojifichia kwenye mgongo wa matatizo ya Muungano.
Hasa hasa toka Zanzibar, ambako hao CCM wanajuwa, bila mwamvuli wa CCM toka Tanganyika, CCM huko visiwani hawana uwezo wa kubaki madarakani...tusipoteze focus ktk suala hili. Wanaolinda muungano huu wa serikali 2 ni genge la watawala wa Ccm. Na genge hilo lina watu toka Tanganyika na Zanzibar.
Hasa hasa toka Zanzibar, ambako hao CCM wanajuwa, bila mwamvuli wa CCM toka Tanganyika, CCM huko visiwani hawana uwezo wa kubaki madarakani.
Na hali hiyo ndiyo inayo fanya hata huku Tanganyika CCM ifanye kila inachoweza kufanya, ikiwa ni pamoja na kuiba kura/kulazimisha ushindi huku Tanganyika, kwa sababu bila CCM huo muungano kama ulivyo sasa hauwezekani.
Mkuu 'Joka', kwa mara nyingine nikuhimize/kukumbushe..., achana na hiyo fikra ya serikali 3. Serikali ni moja tu Tanzania.
Kwanza bara ni mdude gani? Wananchi wa Tanganyika useme ndio hawataki rais toka nchi ya Zanzibar hapo utaeleweka. Acha kutuita bara nchi ambayo hajawahi kuwepo dunia hii. Acheni dharau.Kama Bara hawataki Rais kutoka Zanzibar ni Bora kugawana fito tuu Kwa sababu Haina maana ni upuuzi
Wameelewa kuwa wanatawaliwa na mtu wa inchi nyingine.Zanzibar na Tanganyika ni nchi mbili tofauti kila moja ina Rais wake, jeshi lake, bendera yake, wimbo wa Taifa lake, benki kuu yake , passport yake, je bado tu hamuelewi?
Hili la serikali 1 umelirudia sana, huenda kuna hoja. Tujadili kidogoMkuu 'Joka', kwa mara nyingine nikuhimize/kukumbushe..., achana na hiyo fikra ya serikali 3. Serikali ni moja tu Tanzania.
Uvunjwe hatuutaki kabisaA
kWel alafu sisi watanganyika hatuna chakupoteza kwa zanzibar hata leo hii muungano huu uchwala ukivunjika wao labda wao
kasome vizuri historia ya mzee Mwinyi halafu uone kwa nini Hussein Mwinyi aligombea Mkuranga. Kule ni kwao kwa baba yake ambae alizaliwa pale.Dr. Husein Mwinyi aliwahi kuwa mbunge wa Mkuranga.
hayo ya Mwenyekiti Salim siyajui na inawezekana kabisa huyo ni wa bara amehamia tu Zanzibar.1. Makamu Mwenyekiti CDM Salim Mwalimu.
2. Dr Mwinyi Rais wa Zanzibar Mkuranga.
Hussein ni Mzanzibari au siyo Mzanzibari?kasome vizuri historia ya mzee Mwinyi halafu uone kwa nini Hussein Mwinyi aligombea Mkuranga. Kule ni kwao kwa baba yake ambae alizaliwa pale.
Hili nalo neno.Hili la serikali 1 umelirudia sana, huenda kuna hoja. Tujadili kidogo
1. Ikiwa sasa hivi Wazanzibar hawataki hata hizo 2 hiyo moja unawezaje kuwaeleza?
2. Serikali 1 ni kwa masilahi gani ya Tanganyika? Kwamba bila Zanzibar , Tanganyika ina kipi cha kupoteza!
JokaKuu
Huu mjadala nautaka sana, na ninajuwa wewe na mimi hatupo mbali mbali kuhusu hili swala la huu muungano wetu.Hili la serikali 1 umelirudia sana, huenda kuna hoja. Tujadili kidogo
1. Ikiwa sasa hivi Wazanzibar hawataki hata hizo 2 hiyo moja unawezaje kuwaeleza?
2. Serikali 1 ni kwa masilahi gani ya Tanganyika? Kwamba bila Zanzibar , Tanganyika ina kipi cha kupoteza!
JokaKuu