Vita ya kugombea mali za aliyekuwa Mchungaji, Marehemu Getrude Rwakatare sasa imeshika kasi

Nadhan imeeleweka!!

 
Pesa za unga hazijawahi kuwa salama, zote zitafutika
 
Wazungu, mtoto anakuwa na maisha yake pasipo tegemea mali ya mzazi. Ikitokea mzazi amefariki, mtoto au watoto uwa hawana kielehele na mali ya mzazi wao. Wanachoangalia mzazi aliacha wasia gani? Wanafuata wasia, na si waafrica ambao wakati mwingine wosia uwekwa pembeni na kuanza mapambano na ugomvi wa mali. Wazungu wanaheshimu wosia wa marehemu. Hata marehemu akiwa kaandika mali yake apewe mbwa au paka, hakuna atakaye enda mahakamani kupinga. Wanasema ni uamuzi wa marehemu, kwakua mali ni yake.

Wazungu wao ugawa mali zao kwa mashirika ya misaada, makanisa hata kwa serikali. Na watoto upata potion yao na hakuna anae mdhurumu mwenzie. Hata kama marehemu hakuacha wosia watoto ugawa mali kwa haki sawa. Ona sasa hawa hivi awawezi kuendeleza kwa pamoja mali alizowaachia mama yao, mfano hayo mashule, kuna haja gani kuanza gawana na kubadili majina. Kuuza viwanja badala ya kuendeleza maono ya mama yao. Hizi tamaa ndo maana watoto siku hizi wanauwa wazazi wao kwa tamaa za mali.

Wahindi, na waarabu hata wao wanaheshimu sana mali ya marehemu, kama marehemu alikuwa na maono fulani, basi uyaendeleza maono yale. Hivyo kama marehemu alikuwa na biashara wataendeleza ile biashara kifamilia, itazidi kukuwa, mali itamilikiwa na kuendeshwa kama marehemu alivyofanya. Bado itabaki mikononi mwa familia. Ndiyo maana biashara ya wahindi inadumu kizazi hata kizazi.
Sisi weusi ni kuvuruga. Mzazi anakufa siku hiyo hiyo unaona watu wanaanza kujitenga na kujiami. Wanaanza kununiana. Mara vikao vya siri.

Kuna kuwa na makundi hata hawa watu ni ndugu tumbo moja, ubinafsi, chuki, majigambo yanaanza. Hapo ni vita na kukosana ndugu kwa ndugu. Jamani weusi wenzangu, tutafute maisha na kujitegemea binafsi. Hizi mali za wazazi ukiendekeza uleta mafarakano tu katika maisha. Pia tuzingatie kuandika wosia, japo bado hata huu wosia umekuwa unaleta mafarakano.

Eeeh, Mungu sisi ngozi nyeusi tunamatatizo gani? Tupe mwanga tuondokane na tamaa pia na ubinafsi.
 
Saccos kama hizi zote mwisho wake ni pale muanzilishi wake anapokufa. Hii ni pamoja na zile za akina Gwajima, Moses Nkolola, Mwakatobe, kakobe n.k

Dini za uongo na za kweli zitafahamika pale Kiongozi wake anapoaga dunia. Dini za ukweli zitaendelea kukua hata kama viongozi wakubwa wakifariki, zile za ukweli zitashamiri zaidi hata pale viongozi wake watapofariki.
 
Udiwani una faida kubwa sana. Maana mkurugenzi wa manispaa uliyopo anakuwa rafiki yako. Uwekezaji wako unakuwa hausumbuliwi sumbuliwi na watu wa serikalini. Na pia kwenye ma viwanja yakigaiwa wewe unapewa tu kwa urahisi
Udiwani ni level ya chini sana kwa huo uwekezaji na ni cheo cha usumbufu
 
Mkuu tatizo la waafrika kuwa na hu ujinga ni ile biashara ya undugu, yaani hata ukaandikiqhe kisheria bado ukifa mahakama inafuata ulichoandika but watoto wanapewa nafasi.

maana bila watu hakuna mali ni lazima wawepo ili zionekane na kutumikiwa.
 
Atauza mpka kanisa la mlina wa [emoji91][emoji91]
 
Udiwani ni level ya chini sana kwa huo uwekezaji na ni cheo cha usumbufu


Huyo Muta aliingia kwenye siasa kabla mama Yao hajafariki, kwa kifupi ndio kazi yake inamlaisishia janja janja zake

Dada yao Rose nilishangaa na yeye aliingia kuteketeza hela ya urithi kwenye siasa aligombea ubunge 2020 baada ya Mama Rwakatale kufariki akakosa
 
Tatizo ni umasikini ndio unaosumbua, sijui mzungu alipitia njia zipi mpaka akawa mstaarabu kama alivyo sasa,
 
sie black wapi tunakosea kwa kweli waarabu usingesikia hizo mambo hapo wakileta tamaa pesa ya laana itaisha yoe wangetulia hofu noana hao wana baba zao tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…