samia dah miaka yake tisa kapitia magumuKwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya mabadiliko ya siasa Tanzania kwa sababu watu watapasuana sana humo ndani na wanaweza hata kugawana mbao hasa tukizingatia hakuna tena wazee wazito wa busara na wenye kauli ndani ya chama kama ilivyokuwa Nyerere na Mkapa.
Hicho kiti kimeshushwa sana uzito na hadhi wala haitoshangaza ata akiwa huyo bashiteKuna wale wanaosukuma kete ya Makonda huwa nacheka sana heti makonda heti hawe Rais 🤣
He’s too smart na sio chawa , hana makundi na ni visionaryKwa nini ?
Labda amweke kama makam halafu wafanye abracadabra wanazijua ili mwanae akalie kiti kama samia 2021Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
Na hapo ndipo patakuwa patamu zaidi kwa sababu itavuruga hesabu za kupokezana za Wagalatia na Kobaz na pia Rizimoko hana ushwawishi wowote wa maana ndani ya chama kama alivyokuwa baba yake.Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
Wakimuweka mwanaume mwenye kidoti itakuwa mtikisiko mkubwa sana kwa faction ya Wagalatia ndani ya chama hasa walio watiifu kwa kanisa.Mbuyu wenye misukule mitata na wenye utata kuangusha ilikuwa Emma tu. Sasa iliyobaki kama huu wa BioGenerator ni ya shoka moja moja tu chali.
Kete zinasukumwa kwa ustadi mkubwa sana. Mwanaume mwenye kidoti usoni anaenda kuwa PM na mgombea wetu 2030.
Je ikiwa tofauti?Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
Ndivyo itakavyokua.Labda amweke kama makam halafu wafanye abracadabra wanazijua ili mwanae akalie kiti kama samia 2021
inawezekana tu mbona mama sasa hivi kaota mbawa anatupeleka anavyotaka na tupo kimyaKuna wale wanaosukuma kete ya Makonda huwa nacheka sana heti makonda heti hawe Rais 🤣