baz kaiza
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 14,971
- 18,641
Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
Jakaya anakosea hapa na CCM in ataenda kupasuka
Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
kutokea chalinze ?Mbuyu wenye misukule mitata na wenye utata kuangusha ilikuwa Emma tu. Sasa iliyobaki kama huu wa BioGenerator ni ya shoka moja moja tu chali.
Kete zinasukumwa kwa ustadi mkubwa sana. Mwanaume mwenye kidoti usoni anaenda kuwa PM na mgombea wetu 2030.
DAB atawamaliza wengi wanaotaka kukaa kwenye hicho kiti, DAB alitaka kua Mbunge akishakua Mbunge awe Waziri baada ya kua Waziri anataka kua rais, na yupo tayari kumfyeka yoyote atakaetaka kumzuia kufika hapo, suluhisho ni kumuwahi kabla maana atawamaliza wengi ili yeye akae juu, subiri uoneKwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030
... Utakuta jitu limepewa moja ya ofisi zetu nyeti kabisa na kila bajeti linashika mgao lakini , badala ya kututumikia kwa bidii na maarifa, liko bize kuunda kamtandao ka kupenya Ikulu SASA HIVI 2026 HII!Hii dunia inachekesha sana
Watu wanapigania urais sio kwasababu ya maslahi ya wananchi bali kwa maslahi yao wenyewe.
Alafu eti uzalendo uzalendo?
Which where ?
... HATA BAADA YA OCT 29 2025 HAWA WATU BADO HAWAJAAMKA? 😅Kuna wale wanaosukuma kete ya Makonda huwa nacheka sana heti makonda heti hawe Rais 🤣
DUH!😅Shida jk atapambana kufa kupona mwanae akamate mpini hapo
Kama hilo ni kweli basi TUMEKWISHA!Mbuyu wenye misukule mitata na wenye utata kuangusha ilikuwa Emma tu. Sasa iliyobaki kama huu wa BioGenerator ni ya shoka moja moja tu chali.
Kete zinasukumwa kwa ustadi mkubwa sana. Mwanaume mwenye kidoti usoni anaenda kuwa PM na mgombea wetu 2030.
Huyu mtu wasipomuwahi atawamaliza wote shida jamaa hatoi mlio nowadays anaenda kimya kimya mamamae wewe cheka hivyo hivyo ikifika 2030 yupo utasikia kamati ya halmashauri kuu imempitisha, cheka tena halafu tunza hii postKuna wale wanaosukuma kete ya Makonda huwa nacheka sana heti makonda heti hawe Rais 🤣
Nani mwenye sauti kwasasa ya kumzuia jamaa akilitaka lake?Labda amweke kama makam halafu wafanye abracadabra wanazijua ili mwanae akalie kiti kama samia 2021
... huyo dogo akubali tu kuwa Kawawa wa kizazi kipya! 😅DAB atawamaliza wengi wanaotaka kukaa kwenye hicho kiti, DAB alitaka kua Mbunge akishakua Mbunge awe Waziri baada ya kua Waziri anataka kua rais, na yupo tayari kumfyeka yoyote atakaetaka kumzuia kufika hapo, suluhisho ni kumuwahi kabla maana atawamaliza wengi ili yeye akae juu, subiri uone
Kwahiyo unataka isianguke? We mpuuzi Nini? Acha wauane. Piga kimya.Kwa mara ya kwanza katika historia CCM itaelekea katika uchaguzi wa urais mwaka 2030 bila kuwa na mgombea yeyote maarufu, mwenye ushawawishi au anayeweza kubebwa au kujificha chini ya kanuni za utamaduni wa chama wa "muendelezo" wa Rais aliye madarakani.
Hii inaweza kuwa fursa kubwa sana ya mabadiliko ya siasa Tanzania kwa sababu watu watapasuana sana humo ndani na wanaweza hata kugawana mbao hasa tukizingatia hakuna tena wazee wazito wa busara na wenye kauli ndani ya chama kama ilivyokuwa Nyerere na Mkapa.
Kwani kuna tofauti gani kati ya Makonda na huyu wa sasa?Kuna wale wanaosukuma kete ya Makonda huwa nacheka sana heti makonda heti hawe Rais 🤣