Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa na mpendwa wako
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama motisha wa kufanya vizuri zaidi
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kama ishara njema kwa jambo zuri ulilofanya
Zawadi ni kitu kizuri sana hasa pale unapopewa kwa nia ya kudumisha, undugu urafiki na ushirika wa kazi ama Kazini
Kinyume chake zawadi ni kitu kibaya mno pale kinapotolewa kama msaada wenye agenda ya siri ama nia ovu nyuma yake.. Kuna baadhi ya zawadi badala ya kufanyika baraka hufanyika balaa na kusababisha kila aina ya matatizo
Vyovyote iwavyo kuhusu zawadi.. Tambua zawadi ni deni
Ni deni la utu
Ni deni la wakati
Ni deni la nyakati
Ni deni la kitu/vitu
Ni deni la madhabahu...!
Gozbeth kapewa zawadi la mtumba akalipokea kwa furaha kubwa na kwa shukrani sana.. Lakini ilipofika usiku zawadi ikawa deni.. Na shida ilianzia hapo
Kwa mujibu wa 'mtumishi' aliyekuwa anamhudumia alisema jamaa alipewa ile Benz kwakuwa alienda na Harrier ya mkopo..
Logik hapo kwa kutumia common sense rahisi kabisa ni kumlipia mkopo au ni kumpa gari lingine huku lile akiendelea kudaiwa?
Kuna baadhi ya vitu watu hupewa kama zawadi lakini vimenenewa .. Na usiku ndotoni huletewa ujumbe wenye masharti ya kuweza kudumu na hiyo zawadi.. Maranyingi hayo masharti ni ya aibu na ya kudhalilisha utu..
kafara la moto
Pamoja na wengi kudhani kwamba kule kulichoma lile gari kulikuwa ni kick ama kuchanyikiwa.. Lakini ukweli ni kwamba kuna kitu dogo alichokutana nacho kuihusu zawadi ambacho kiliamsha mashetani ya mizimu yote! Wala asisingizie Mungu
Gozbeth kaingia kwenye mfumo wa nabii mwenye kashfa na tuhuma nyingi.. Lakini kabla hajapelekwa kibla kuna nguvu ikamgutua..
Sasa ni vita ya madhabahu kupitia falme za giza.. Je nani ataibuka kidedea ? Gozbeth au nabii?
Ogopa sana kafara la moto..!!!