toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Ahaha elimu mtaa ni ngumu sana…Huku mtaani elimu yake ni ngumu sana..nitaleta thread ya jamaa yangu kaacha kazi ana 1.3b ni uhakika hilo na hana hata mwaka na miezi miwili trend yake utalia amemaliza viwanja karibia vyote na cash hana...
Noma sana aisee, nomaaaaHuku mtaani elimu yake ni ngumu sana..nitaleta thread ya jamaa yangu kaacha kazi ana 1.3b ni uhakika hilo na hana hata mwaka na miezi miwili trend yake utalia amemaliza viwanja karibia vyote na cash hana...
Hiyo safi sana usituangushe hatutaki ujingaLeo namaliza mchezo na nitawaletea mrejesho na mwishoni nitaweka atachment zote...usjali
Bro hujaelewa hata nilichokiandika ukitumia akili utaelewa baadae ntafungua code...utaelewa kaka mm wa mjini sana sitapeliwi hata tone kwa namna yoyote...niamini...Huyu katapeliwa tayari, yaani ufanye kazi ila kabla ya malipo tena unatakiwa ulipie document?
Leo haiishi mkuu...
Ushauri wangu usiwasaidie watu kuwapenda nooo.wasaidie kuwacontrol kuwa katili tumia udhaifu wao wa kushindwa kuweka akiba na kutafuta hela kwa manufaa yako .kamwe usimsaidie mtu bila kujua ww utapata nn mm kuna bro alikuwa ananichukia kinondoni bar kiasi cha kuniharibia jina kila mahali .nkasema huyu hanijui.nifatilia nkagundua ana maisha magumu sana nlivizia siku kodi ya nyumba imemfika koon kapewa siku tatu asepe.nkampigia na kumuita nkamwambia kaka tupunguze haya magomvi ya utani baa wenzio wanalewa wanakusema kodi imekuishia badala wakusaidie nkamuuliza unadaiwa sh ngap akanambia laki na nusu .nkampa laki na nusu nkamwambia hii kalipe nkampa.nkampeleka hadi kwake njian nkampitisha duka la jumla nkampa 70 anunue stock ya msosi kwake .tukaenda akalipa akaacha na mazaga .jamaa kufika baa nkampiga konyag kubwa asee alinisimulia alivokuwa ananichukia machozi yakimlenga .Sasa hivi amegeuka chawa wangu hata nimwambie funguo hii kaniletee dafu kigamboni saa nane usiku ataenda .maana yake nilimsaidiaNi kweli ila jana kuna uzi nimeusoma kuna membere analalamika Mama yake na mdogo wake wanamuonea wivu maendeleo yake sana usearch huo uzi utauona...
Ila nimekuelewa tajiri.
Am workin' on it!
Thanks
Noma sana yan, nna uhakika hii ni dar aisee, dar ni noma sana mkuu watu wengi wanapata hela ila hazijai vijana wapo moto sana, how comes 1.3B mtu anaisambaratisha within a year, hatari sanaHuku mtaani elimu yake ni ngumu sana..nitaleta thread ya jamaa yangu kaacha kazi ana 1.3b ni uhakika hilo na hana hata mwaka na miezi miwili trend yake utalia amemaliza viwanja karibia vyote na cash hana...
😂😂😂😂Bro hujaelewa hata nilichokiandika ukitumia akili utaelewa baadae ntafungua code...utaelewa kaka mm wa mjini sana sitapeliwi hata tone kwa namna yoyote...niamini...
baada ya hiyo show itakayo mkuta haji kutapeliwa tena.mi naomba ajage tena humu kutupa mrejeshoHuyu katapeliwa tayari, yaani ufanye kazi ila kabla ya malipo tena unatakiwa ulipie document?
New yorkers wenyewe wanatapeliwa sembuse wee mdaslamBro hujaelewa hata nilichokiandika ukitumia akili utaelewa baadae ntafungua code...utaelewa kaka mm wa mjini sana sitapeliwi hata tone kwa namna yoyote...niamini...
Myebusi kwenye "One and Two"🤣🤣🤣Third world dwellers bana yani 2.5m madafu mnaonaa nyingi. Only 900 usd you're complaining like palestinians?
Thanks God am among 1%
Pole mkuu wakati mwingine hatujui mpaka yatukute...ila jifunzie hapo
Hv unajua wazazi huwa wana watoto wanaowapenda!....Ni mara chache sana mama kumuonea wivu mwanae na ikitokea hivyo basi ujue huyo mama yuko kwenye chama cha wachawi.
Unaonekana una roho nzuri sana.
Roho nzuri Sana na utajiri vina tabia ya kukwepana
Fanya Kwa kias
We jamaa una ushamba flani hiviUnataka niweke hadharani nikuoneshe Bank statements na financial status zangu humu za Swiss bank, Swiss Credit, HSBC na Deutsch bank? Ma offshore tax haven huko. Niziweke hadharani?
Nikuwekee humu hadharani mkataba nilioingia wa miaka 10 na price water coopers katika maswala ya kunishauri kulipa kodi na auditing? Niweke hapa stocks zangu lukuki Amazon, Microsoft na Tesla?
Tena ushamba wa kikuda kweli, umwamba wa kushindana na mtu mtandaoni hata humjuiWe jamaa una ushamba flani hivi
Sure hornet...I learnt this in a very hard way.. siku hizi sina hela ni neno lipo mwanzo wa ulimi..
Yaani SINA HELA .. SINA HELA .. SINA HELA
nimemaliza.