Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Kwani hao kina Katambi ni vibaraka wa nani?Magufuli hana mapambano na Tundu Lissu, wapambane kwa lipi? Liaau siyo saizi ya JPM bali saizi ya TL ni akina Katambi
Bora kuua kuliko kumuweka mtu detention maisha yake yote,hii ni zaidi ya mauaji ya familia nzima...R.ip Jumbe &Temeke SangaKambona alikuwa ndani ya chama kilekile cha Nyerere wakati Lissu ni mpinzani
Nyerere alikuwa dikteta mwenye akili na utu, panoja na udikteta wake hakuwa radhi kuua mtu kwa sababu za kisiasa, kikubwa ambacho angekifanya ni kumuweka mtu detention au kumfungia kijijini kwake lakini siyo kuagiza wasiojulikana waue!
Si vizuri kumlinganisha Nyerere na watu wasiojielewa.
Na si vizuri kumlinganisha Lissu na Kambona, ni watu wawili tofauti.
View attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini… soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Nyerere ndio sio wa kulingwanishwa na blood suckerUsimlinganishe Kambona na ujinga, ...
Nyerere ndio sio wa kulingwanishwa na blood suckerUsimlinganishe Kambona na ujinga, ...
Hujafiwa na mzazi wewe ndio maana unayatukuza na kuyasifu maovu ya mumiani mnywa damuBora kuua kuliko kumuweka mtu detention maisha yake yote,hii ni zaidi ya mauaji ya familia nzima...R.ip Jumbe &Temeke Sanga
Uhuru wa habari ulikuwa mpana zaidi kipindi cha Nyerere kuliko leo. Tumerudi nyuma kwa karne nzimaMagazeti ya zamani kwa matusi hayo yangekuwa zama hizi za mfalme yangefungiwa yote...
Wote hao ni madikteta tupuView attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini… soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Naunga mkono hoja mkuuMbona kichwa cha uzi ni tofauti na maudhui? Hata hivyo huwezi kalinganisha matukio hayo kwa kuwa yako katika enzi tofauti "different political systems". Tukio la kwanza lilitokea ndani ya mfumo wa chama kimoja, jingine ndani ya mfumo wa vyama vingi. Haya ni mazingira tofauti kabisa.
KabisaHujafiwa na mzazi wewe ndio maana unayatukuza na kuyasifu maovu ya mumiani mnywa damu