stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
Udhubutu wa kambona ulikuwa mkubwa.. Aliingia uwanjani bila jeshi alitegemea maarifa yake. Kambona hakupenda kodi ya kichwa iliyokuwepo miaka ile. Pengine naye aliitamani nchi ili ajimegee kama ilivyo kwa wengi miaka hii. RIP Osca Kambona.
Tundu ni mpambanaji msomi wa sheria aliyebobea. Kuweza kugombea huku akiwa na matobo ya risasi mwili mzima ni ujasiri mkubwa.
Tundu naamini atajipanga zaidi pengine miaka kadhaa ijayo atakalia kiti.
Wapinzani wapambanie tume huru, japo sijui hata watasemea wapi. Walipopewa jukwaa walideka kama akina junia kidogo nje, kumbe walisahau kuwa WAKATI NI UKUTA. Wote tupo uraiani sasa.
Itachukua muda pia kutengeneza palipobomoka.
Ngoja tuone, naamini Mungu atatunza afya zetu.
Nadhan Kambona huna story yake vizuri, anyway path ya wapinzani ni ile ile aliosema nyerere kwenye hilo gazeti, imagine mtu anashangili nchi kuwekewa vikwazo vya uchumi, ndo wapinzani wa tanzania hao! hahaha daaah
- Tundu lissu anatakiwa kuongezewa risasi zingine zile hazijatosha, na kama mnampenda mumuunge mkoni nyie wafuasi wenu, imagine mtu anakwambia alipigwa risasi 16 alafu hakufa, nan wa kudanganywa kwa level hii?