Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #21
Hivyo vyama vingi vinafanyia wapi shughuli zake za kisiasaMbona kichwa cha uzi ni tofauti na maudhui? Hata hivyo huwezi kalinganisha matukio hayo kwa kuwa yako katika enzi tofauti "different political systems". Tukio la kwanza lilitokea ndani ya mfumo wa chama kimoja, jingine ndani ya mfumo wa vyama vingi. Haya ni mazingira tofauti kabisa.
Ukweli ni kwamba uchaguzi ulikuwa uchafuzi na uporaji. Ndani ya mazingira hayo na kwa yeyote mwenye akili sawa atahitimisha kuwa hakuna aliyeshindwa wala mshindi.Udhubutu wa kambona ulikuwa mkubwa.. Aliingia uwanjani bila jeshi alitegemea maarifa yake. Kambona hakupenda kodi ya kichwa iliyokuwepo miaka ile. Pengine naye aliitamani nchi ili ajimegee kama ilivyo kwa wengi miaka hii. RIP Osca Kambona.
Tundu ni mpambanaji msomi wa sheria aliyebobea. Kuweza kugombea huku akiwa na matobo ya risasi mwili mzima ni ujasiri mkubwa.
Tundu naamini atajipanga zaidi pengine miaka kadhaa ijayo atakalia kiti.
Wapinzani wapambanie tume huru, japo sijui hata watasemea wapi. Walipopewa jukwaa walideka kama akina junia kidogo nje, kumbe walisahau kuwa WAKATI NI UKUTA. Wote tupo uraiani sasa.
Itachukua muda pia kutengeneza palipobomoka.
Ngoja tuone, naamini Mungu atatunza afya zetu.
Hahahahahahahahahahahahahaa............Magazeti ya zamani kwa matusi hayo yangekuwa zama hizi za mfalme yangefungiwa yote...
Kifupi Lissu anajua anachokifanya , wewe mtu umenusulika kuuwawa lakini unarudi unagombea ? Hivi unafikiri Lissu alikuwa hajui kama hatotangazwa ? Hivi unafikiri Lissu hakujua kwamba anakesi kibao zinanaubiri ? Hivi unafikiri Lissu hakujua atapata misukosuko kutoka kwa waliomkosakosa kumuua . Hivi unafikiri Lissu hakujua ataondokaje akiwa salama ? Hivi unafikiri Lissu kwanini alijua Jiwe atapewa kura milioni kumi na mbili na akasema siku ile ya kufunga kampeni Kawe . Lissu anajua anachokifanya just wait and see what happens .View attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini… soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Yajayo ni matamu kuliko kawaidaKifupi Lissu anajua anachokifanya , wewe mtu umenusulika kuuwawa lakini unarudi unagombea ? Hivi unafikiri Lissu alikuwa hajui kama hatotangazwa ? Hivi unafikiri Lissu hakujua kwamba anakesi kibao zinanaubiri ? Hivi unafikiri Lissu hakujua atapata misukosuko kutoka kwa waliomkosakosa kumuua . Hivi unafikiri Lissu hakujua ataondokaje akiwa salama ? Hivi unafikiri Lissu kwanini alijua Jiwe atapewa kura milioni kumi na mbili na akasema siku ile ya kufunga kampeni Kawe . Lissu anajua anachokifanya just wait and see what happens .
Kambona alikuwa realistic,ndio ugomvi wake na Rashid Kawawa.Kilichofuata Mwalimu Nyerere akakumbatia majungu,Kambona akakosa mtetezi.Maasi ya Jeshi ya 1964 hayatambuliki kama jaribio la mapinduzi. Maasi hayo yalitokana na mwendelezo wa Afrikanization ambapo Wazawa hawakupenda vyeo vya juu jeshini kushikiliwa na Wazungu. Kambona alijitahidi kuzungumza na waasi wakati Mwalimu na Kawawa wakiwa mafichoni.
Jaribio la Mapinduzi ambalo Kambona alihusishwa ni la 1969 akituhumiwa kushirikiana na Bibi Titi na wengine. Tofauti baina ya Nyerere na Kambona ilitokana na namna ya kuendesha siasa ya ujamaa. Inasemekana Kambona alitaka Ujamaa uendeshwe kidogo kidogo kwa majaribio wakati Nyerere alitaka jumla jumla.
Nyerere na Kambona hawakuwa na vita yoyote!View attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini.
Soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Mwerevu vs mbumbumbuKambona na Nyerere wote walikuwa werevu, so mpambano ulikuwa wa hoja, ila huu mwingine mmoja mwerevu mwingine mtumia maguvu.
Jiwe sio saiz ya lissu, saiz ya jiwe ni kogogoMagufuli hana mapambano na Tundu Lissu, wapambane kwa lipi? Liaau siyo saizi ya JPM bali saizi ya TL ni akina Katambi
Kumbe magazeti ya musiba hayakuanza leoView attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini.
Soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Aaah wapi unamjua Nyerere wwe hakutaka kukosolewa sema alikuwa anywi damu za watu hata ukimkosoa.Nyimbo zote hizi za vijana wa Sasa hakuna hata moja ingeenda hewani.Uhuru wa habari ulikuwa mpana zaidi kipindi cha Nyerere kuliko leo. Tumerudi nyuma kwa karne nzima
Swala la Kambona lilijaa propaganda za kisoshalisti, hakukua na ukweli. Kambona hakuwa na uwezo wa kuipindua nchi kutokana na mfumo wa jeshi la KAR wakati huo. Ukweli ni kwamba wanajeshi watanganyika hawakuwataka wanajeshi wazungu wawaongoze, na haeakuwa na nia yoyote ya kuchukua madaraka zaidi ya wao kupewa madaraka jeshini, Oscar Kambona ndugu yake Rashidi Kawawa alichofanya ni kukutana na viongozi wa wanajeshi ili waeleze madai yao na ilipoeleweka na kutimizwa mambo yakaisha. Oscar Kambona wakati huo alikuwa ni waziri kijana mtanashati (smati) na alipendwa sana na watu wote waume kwa wake, kama alikuwa malaya yule aliyefukuzwa China na mwalimu akampa uenyekiti wa Umoja wa Wanawake! Kwa wasiomjua huyu alikuwa mwanaume wa kwanza huenda na wa mwisho kuwa mwenyekiti wa umoja wa wanawake angeitwaje kutokana na sababu iliyomrudisha! Enzi hizo Tanu ikijifanya wanamapinduzi walijaribu sana kutumia lugha zilizokuwa zikitumika China yaani maneno makavumakavu.View attachment 1629620
Jaribio la mapinduzi la mwaka 1964 lilihusishwa kwa sehemu kubwa na Oscar Kambona. Hapa wakituhumiwa Kambona na Lusinde kuvunja kitengo maalum cha intelijensia kilichoitwa SPECIAL BRANCH na kujaza UVCCM (wakati huo TYL) 1 ambao hawakuwa na mafunzo na ujuzi wowote hivyo kukwamisha upatikanaji wa intelijensia ya hasa kilichokuwa kinaendela jeshini.
Soma zaidi kwenye biography ya Nyerere, kitabu cha pili, Development as Rebellion
Kambona na Kawawa walikuwa ni wajomba.Kambona alikuwa realistic,ndio ugomvi wake na Rashid Kawawa.Kilichofuata Mwalimu Nyerere akakumbatia majungu,Kambona akakosa mtetezi.
Naamini ungekuwepo enzi ya Nyerere ungemuunga mkono Nyerere maana wewe ni mfuasi wa mamlakaUsimlinganishe Kambona na ujinga, ...
Maasi ya Jeshi ya 1964 hayatambuliki kama jaribio la mapinduzi. Maasi hayo yalitokana na mwendelezo wa Afrikanization ambapo Wazawa hawakupenda vyeo vya juu jeshini kushikiliwa na Wazungu. Kambona alijitahidi kuzungumza na waasi wakati Mwalimu na Kawawa wakiwa mafichoni.
Jaribio la Mapinduzi ambalo Kambona alihusishwa ni la 1969 akituhumiwa kushirikiana na Bibi Titi na wengine. Tofauti baina ya Nyerere na Kambona ilitokana na namna ya kuendesha siasa ya ujamaa. Inasemekana Kambona alitaka Ujamaa uendeshwe kidogo kidogo kwa majaribio wakati Nyerere alitaka jumla jumla.
Ni sawa na kumlinganisha Nyerere na Dikteta uchwaraUsimlinganishe Kambona na ujinga, ...