Madwari Madwari
JF-Expert Member
- Sep 16, 2014
- 1,825
- 3,085
Njoo na ushahidi wa Raisi ambaye alijijengea kwao na kutumia kodi za nchi kujijenga kwao. Alichoanzisha JPM kitaendelea tena na tena. Ni kama nchi zilizopata uhuru kwa kumwaga damu. Mpaka leo hizo nchi zina machafuko. Ukabila alioleta JPM umeendelea kuonyeshwa na Mama na Rais atakayekuja atafanya hivyo hivyo. Kikwete aliweka wakwere serikalini ? Mwinyi aliweka watu wake serikalini ? Mkapa aliweka wamakonde ? Nyenyere aliweka wazanaki ? Naongelea facts hakuna kitu kibaya kama inferiority complex. Hakuna upendeleo wa kikabila kabla ya 2015. Kuna.Too biased.
Kwamba hujui angalau kila mkoa aliotokea Rais wa nchi hii na mikoa mikuu ya nchi kuna Ikulu ndogo za Rais?
Watu walikuwa wanateuliewa kupitia mchujo. JPM ndio aliyeanzisha uchawa mpaka Prof mmoja wa sheria akamwita Mungu ,😂😂😂😂. Kuhusu hiyo CRDB kulifanyika feasibility study gani kujua kuwa Chato inahitaji tawi ? Kuhusu SGR makontena mengi yanayoingia bandarini yanaenda mpaka wa Tunduma au Mwanza ? Hizo trilioni zinazojengwa SGR zitarudije ?
Wachina walikuwa wajinga kujenga reli katika njia ngumu mpaka wakafa kutoka Dar mpaka Tunduma ? Mimi siongelei ushabiki naongelea facts. Angalia ajali ya Mtwara ni faida gani ya kwenda kule na magari yote yale. Lakini kumbuka hivi vitu vilianzia wapi ? Uongozi sio kitu kirahisi.