Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Those guys wanapiga kelele sana. Let them nuke each other waheshimiane.

Alafu sisi huku so called bara giza tutake advantage.
 
mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"
 
khoo khoo khoo anabwabwaja
 
we chawa kwani haya hayatokei kwa nato na USA. Unajimwambafai tu kujifanya mwema kumbe ni bibgwa wA roho mbaya.
 
ndio maana misaada yao inaidhinishwa bungeni sio km urusi mtu mmoja anaamua kila kitu sio kwa ushirikiano na vyombo vya dola

NB : Bunge linawakilisha wananchi wa kila kona ya nchi
vipi misaada bado inaendelea ? Kuna misaada pale ? Au ni biashara ndio mnaita msaada
 
mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"
Mkuu Kuna watu wamesoma lakini uwezo wao wa kuunganisha dots ni mdogo sana. Mitaala yetu ni ileile ya kikoloni inayomtukuza mzungu kuwa ana uwezo kuliko wengine. Mitaala hii ndiyo inaziweka nchi za Magharibi US, UK, German, Italy, etc siti za mbele. Mitaala hii tuliyorithi kwa mkoloni ndiyo inayosababisha tuwaite wachawi wanasayansi wetu, tuwafunge jela wahandisi wetu wanaotengeneza bunduki za magobore, mitambo ya mawasiliano, ndege, na magari ili tukanunue bunduki, simu, ndege, nk kutoka kwa wazungu.

Urusi na China wamepania kuzibadilisha fikra hizi za kudhani Magharibi ni kila kitu humu duniani. Marekani, Uingereza na Ufaransa wameivamia nchi nyingi sana na kupora mali zao. Kila kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe Kuna nchi ya Magharibi ipo hapo.
 
hakika mkuu
 
EU ni wajinga sana, wameshindwa kugundua mtego wa Marekani na Uingereza katika uchumi. UK kujitoa EU ni njama za US, baada ya Uingereza kujitoa EU wakabuni vita ya Ukraine ili kuiangusha EU, hasa Germany and France and Italy (giants of EU).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…