Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Those guys wanapiga kelele sana. Let them nuke each other waheshimiane.

Alafu sisi huku so called bara giza tutake advantage.
 
Yaan unawaza Russia kuziangusha nchi za ulaya ila huwazi Ukraine kumwangusha Putin upo serious mseeee? Yaan leo hii Ukraine wanashambulia mpaka ndani ya Russia tofauti na mwanzo hulioni hilo?
Huoni kuwa saiz warusi wana hasira na Putin mpaka wanasubiri waingie barabarani wamtoe kwa nguvu sababu maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kushinda haupo?
jana hujaona battalion nzima imepigika na Ukraine na most of them died?

In short acha story za kwenye kahawa tafuta vyanzo mbalimbali vya habari hutaleta tena humu hizi story za vijiweni
mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"
 
Kweli mtu akiwa na njaaa anaanza kuropoka hovyo hovyo, yaani kuna wapuuzi wapo katoro geita eti nao wanajadili mambo ya ulaya na America [emoji28][emoji23][emoji1787] huko katoro mliko mmeshajenga vyoo kweli maana ndugu zangu kwa kuny* vichakani na kuchambia mavi ya n’gombe hamjambo
khoo khoo khoo anabwabwaja
 
Akili yako imethiliwa na fikra za Ujamaa, yaani fikra za kuamini kuwa kujikomba ni Fursa. Ni mwendawazimu tu anayeweza kuunga mkono Uwendawazimu wa Putin kutumia Jeshi na siraha zinto nzito kuuwa Wananchi wa nchi nyingine kwa kuwachoma na Moto kwenye majumba yao. Hivi ninyi chawa Akili zenu zinafananaje?
we chawa kwani haya hayatokei kwa nato na USA. Unajimwambafai tu kujifanya mwema kumbe ni bibgwa wA roho mbaya.
 
ndio maana misaada yao inaidhinishwa bungeni sio km urusi mtu mmoja anaamua kila kitu sio kwa ushirikiano na vyombo vya dola

NB : Bunge linawakilisha wananchi wa kila kona ya nchi
vipi misaada bado inaendelea ? Kuna misaada pale ? Au ni biashara ndio mnaita msaada
 
mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"
Mkuu Kuna watu wamesoma lakini uwezo wao wa kuunganisha dots ni mdogo sana. Mitaala yetu ni ileile ya kikoloni inayomtukuza mzungu kuwa ana uwezo kuliko wengine. Mitaala hii ndiyo inaziweka nchi za Magharibi US, UK, German, Italy, etc siti za mbele. Mitaala hii tuliyorithi kwa mkoloni ndiyo inayosababisha tuwaite wachawi wanasayansi wetu, tuwafunge jela wahandisi wetu wanaotengeneza bunduki za magobore, mitambo ya mawasiliano, ndege, na magari ili tukanunue bunduki, simu, ndege, nk kutoka kwa wazungu.

Urusi na China wamepania kuzibadilisha fikra hizi za kudhani Magharibi ni kila kitu humu duniani. Marekani, Uingereza na Ufaransa wameivamia nchi nyingi sana na kupora mali zao. Kila kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe Kuna nchi ya Magharibi ipo hapo.
 
hakika mkuu
 
EU ni wajinga sana, wameshindwa kugundua mtego wa Marekani na Uingereza katika uchumi. UK kujitoa EU ni njama za US, baada ya Uingereza kujitoa EU wakabuni vita ya Ukraine ili kuiangusha EU, hasa Germany and France and Italy (giants of EU).
 
Back
Top Bottom