Ahmad Abdurahman
JF-Expert Member
- Mar 5, 2016
- 3,251
- 6,299
Those guys wanapiga kelele sana. Let them nuke each other waheshimiane.
Alafu sisi huku so called bara giza tutake advantage.
Alafu sisi huku so called bara giza tutake advantage.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtego waliomtegea Putin umemnasa Boris Johnson chini ya kitovuVikwazo walivyomwekea Russia vimegeuka silaha ya maangamizi dhidi ya walioviweka. 😆😆
George Galloway alisema Putin ni smart mara 10 zaidi ya Biden na hao vibaraka wake wengine.
mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"Yaan unawaza Russia kuziangusha nchi za ulaya ila huwazi Ukraine kumwangusha Putin upo serious mseeee? Yaan leo hii Ukraine wanashambulia mpaka ndani ya Russia tofauti na mwanzo hulioni hilo?
Huoni kuwa saiz warusi wana hasira na Putin mpaka wanasubiri waingie barabarani wamtoe kwa nguvu sababu maisha yamekuwa magumu na uwezekano wa kushinda haupo?
jana hujaona battalion nzima imepigika na Ukraine na most of them died?
In short acha story za kwenye kahawa tafuta vyanzo mbalimbali vya habari hutaleta tena humu hizi story za vijiweni
mkuu bado unahitaji CV yake au wewe ndio unapaswa kuiletaHebu tuwekee na CV yako hapa ili tujue tunajadili na mtu wa aina gani!
njooni mmpime tena afya mtujulishe hali ya utapia mlo wa mtoa madaTena Na UNYAFUZI WA KIMA CHA JUU
kwa sasa hali vip huko ? TuambieMtanzania akujua tu kusoma, kuandika na kuhesabu, anajiona amekuwa nabii, na mtambuzi wa kila kitu.
Mtu anabwabwaja toka mwanzo mpaka mwisho, bila ya ushahidi wowote!!
au siyoPumba tupu!
mzee wa pumba tupu hali vip huko ?Pumba tupu.
khoo khoo khoo anabwabwajaKweli mtu akiwa na njaaa anaanza kuropoka hovyo hovyo, yaani kuna wapuuzi wapo katoro geita eti nao wanajadili mambo ya ulaya na America [emoji28][emoji23][emoji1787] huko katoro mliko mmeshajenga vyoo kweli maana ndugu zangu kwa kuny* vichakani na kuchambia mavi ya n’gombe hamjambo
we chawa kwani haya hayatokei kwa nato na USA. Unajimwambafai tu kujifanya mwema kumbe ni bibgwa wA roho mbaya.Akili yako imethiliwa na fikra za Ujamaa, yaani fikra za kuamini kuwa kujikomba ni Fursa. Ni mwendawazimu tu anayeweza kuunga mkono Uwendawazimu wa Putin kutumia Jeshi na siraha zinto nzito kuuwa Wananchi wa nchi nyingine kwa kuwachoma na Moto kwenye majumba yao. Hivi ninyi chawa Akili zenu zinafananaje?
vipi misaada bado inaendelea ? Kuna misaada pale ? Au ni biashara ndio mnaita msaadandio maana misaada yao inaidhinishwa bungeni sio km urusi mtu mmoja anaamua kila kitu sio kwa ushirikiano na vyombo vya dola
NB : Bunge linawakilisha wananchi wa kila kona ya nchi
haha bojo tayari kishahappen bado wenginePoint, hii vita inaenda kuwangusha Biden, Boris na chancellor wa ujerumani ktk box la kura, hili anguko lipo wazi
Mkuu Kuna watu wamesoma lakini uwezo wao wa kuunganisha dots ni mdogo sana. Mitaala yetu ni ileile ya kikoloni inayomtukuza mzungu kuwa ana uwezo kuliko wengine. Mitaala hii ndiyo inaziweka nchi za Magharibi US, UK, German, Italy, etc siti za mbele. Mitaala hii tuliyorithi kwa mkoloni ndiyo inayosababisha tuwaite wachawi wanasayansi wetu, tuwafunge jela wahandisi wetu wanaotengeneza bunduki za magobore, mitambo ya mawasiliano, ndege, na magari ili tukanunue bunduki, simu, ndege, nk kutoka kwa wazungu.mkuu vipi kwa sasa Hali ikoje ? Jipige pige kifua mara tatu halafu sema "kuanzia leo naacha ujuaji"
hakika mkuuMkuu Kuna watu wamesoma lakini uwezo wao wa kuunganisha dots ni mdogo sana. Mitaala yetu ni ileile ya kikoloni inayomtukuza mzungu kuwa ana uwezo kuliko wengine. Mitaala hii ndiyo inaziweka nchi za Magharibi US, UK, German, Italy, etc siti za mbele. Mitaala hii tuliyorithi kwa mkoloni ndiyo inayosababisha tuwaite wachawi wanasayansi wetu, tuwafunge jela wahandisi wetu wanaotengeneza bunduki za magobore, mitambo ya mawasiliano, ndege, na magari ili tukanunue bunduki, simu, ndege, nk kutoka kwa wazungu.
Urusi na China wamepania kuzibadilisha fikra hizi za kudhani Magharibi ni kila kitu humu duniani. Marekani, Uingereza na Ufaransa wameivamia nchi nyingi sana na kupora mali zao. Kila kwenye mapigano ya wenyewe kwa wenyewe Kuna nchi ya Magharibi ipo hapo.