Vita ya Ukraine - Urusi ina hadhi ya kuziangusha serikali za Ulaya na Marekani

Leta chanzo chako Cha taarifa. Kwanini ndani ya miezi 2 TU Marekani imetumia Dola 60 bil kwenye vita hii? Ukweli ni kwamba silaha za western zinatekwa na kuunguzwa.
 
Pumba tupu!
 
Vyanzo vp labda uviweke hapa????
 
Pumba tupu.
 
Et wameshindwa kuhudumia ndege ama hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu
 
Kweli mtu akiwa na njaaa anaanza kuropoka hovyo hovyo, yaani kuna wapuuzi wapo katoro geita eti nao wanajadili mambo ya ulaya na America [emoji28][emoji23][emoji1787] huko katoro mliko mmeshajenga vyoo kweli maana ndugu zangu kwa kuny* vichakani na kuchambia mavi ya n’gombe hamjambo
 
Ilaya na American kukiwa na maisha magumu, Warusi watakuwa na maisha magumu Mara mia kuliko huko ulikokutaja

But at least wao hawategemei mafuta,gesi,ngano nk kutoka nje hayo maisha magumu mara mia tutapambana nayo sisi huku.
 
Umeongea ukweli kabisa angekuwepo Angela Merkel asingekubali huu upuuzi wa maamuzi ya hisia ambayo yangeimuza ujeremani nchi anbayo ni heavily dependant wa nishati za Russia; chini yake US kuweka military base Ukraine in kitu ambacho kisingewezekana under her watch kwa sababu anaelewa athari zake kwa uchumi wa nchi yake na bara.

Hawa viongozi wengine wa EU ni US puppets bila ya Mrs Merkel na huu mziki unawaumiza kweli uzuri wao ni watu wa kujifunza. Mfano U.K. washatumia zaidi ya £20 billion katika miezi mitatu kama subsidisation ya kupambana na inflation ya energy sector alone sasa hivi hizo hela zimezua mjadala kumbuka hawa wana reserve zao za mafuta ya kutosha North Sea wakiamua kujitegemea inapobidi they don’t have to import, na wana storage za miezi sita dunia ikikosa mafuta kabisa ya kuwatosheleza bila ya kuagiza mafuta. Achilia mbali North Sea ambayo na yenyewe reserve inauwezo wa kuwahudumia kati ya miaka 35-40 peke yao wasipo export (hayatumiwi sana kwa sababu ni Brent crude, crude zinatofautiana ika ukisikia hilo neno jua ni mafuta ya U.K. ambayo ni very high quality, kama ilivyo kwa mafuta ya Uganda) sasa ukiona watu wanazungumzia Tanzania kununua mafuta ya Uganda elewa ni wazimu tu huo. Vinginevyo utauziwa litre tsh 5000 maana ni very high quality.

Upuuzi upo African Union as a continent we don’t know how to protect our interest sisi tukifika UN tunabariki kila sanctions hatuna agenda za pamoja na wala atujifunzi madhara ya maamuzi.

Sasa hivi kinachoendelea kwenye hizi sanction AU walitakiwa kuitisha crisis meeting na kuja na agenda ya pamoja to save the continent woes. Wawarudie hao mabeberu wao ndio volumes kubwa za trade za mafuta na nchi zilizo kwenye sanctions so kuacha kwao kununua ndio muhimu kuwaumiza kiuchumi na wana mitigating strategies tayari za kupambana na uhaba wa mafuta.

Sisi waafrica hatuna shida na siasa za Arab-Israel wala ideological wars za West and East na hatuna impact ivyo; so kwenye hizi sanctions watutoe tununue mafuta popote kwa bei rahisi vinginevyo wanatubebesha mzigo mkubwa kuliko uwezo wetu wa kiuchumi wao wana resources na mitigating strategies ambazo sisi hatuna.

Somo ni nini hapo AU ni chombo tu ambacho kipo lakini hakina agenda za pamoja; haya mambo uwezi kukuta EU ambao wana assess risk zao za pamoja kabla ya kuamua wakati protecting their interest is at foremost.
 
But at least wao hawategemei mafuta,gesi,ngano nk kutoka nje hayo maisha magumu mara mia tutapambana nayo sisi huku.
USA wana mafuta yao tena kama ulikuwa hujuia USA ndiyo nchi ya kwanza dunian kuzalisha mafuta na gesi kwa wingi, Saudi Arabia ni ya pili, na Urusi ni ya tatu. Tatizo ni kuwa USA ni heavily industrialized hivyo wanatumia sana mafuta kuliko taifa jinjgine lolote duniani, ndiyo maana wanalazimika kuagiza mafuta mengine nje japokuw wao wanazalisha mafuta kwa wingi sana.

Marekani wanalima chakula chao; hawategemei kuagiza chakula kutoka nje. Kati ya mambo waliyofanikiwa sana marekani ni kuwa hakuna ardhi ya marekani yenye uwezo wa kuzalisha mali ambayo haitumiki. Tatizo la uhamiaji haramu linaloisumbua Marekani miaka yote ni kwa sababu ya watu wanaotaka kuja kufanya kazi mashambani.

Bei kupanda marekani ni kutokana na usafirishaji wa bidhaa kutoka sehemu moja ndani ya nchi kuzipeleka sehemu nyingine kwa vile madereva wa maroli ya mizigo wamepungua sana baada ya covid.
 
Ukisikia kumbwela,chai au muda wa kupoteza muda ndo hii hapa, acha porojo bwana mdogo.
 
Waafrica atuelewi haya tukifika UN haya mataifa yameshajipanga kwa hatua wanazochukua katika maazimio ya UN.

Mziki unabaki kwetu kwa maamuzi yao.

Ni wakati wa nchi za kiafrica kwenda kwa pamoja kutaka kuruhusiwa kununua mafuta ya Iran na Russia au popote kupunguza athari za madhara ya kiuchumi.

Hawa mabeberu wanatuingiza kwenye madhara ambayo wao washajipanga kupunguza madhara yake, sisi tuna support upuuzi wako ilhali hatuna resources za kutosha za kupunguza madhara.

Na chi moja moja awawezi pambana na haya mambo inatakiwa kuwa msimamo wa African Union.

Yaani wewe kabisa usikilize hadithi za marekani mwenye reserve za miaka miwili bila ya kuagiza wala kutumia mafuta yake na bado anavisima vya kujizalishia mafuta kwa miaka mingi.

Something is wrong with the African Union kununua mafuta ya Iran, Venezuela na Russia is our right kwa hali zetu za uchumi; hawa majamaa wanatubebesha mzigo mzito kwa siasa ambazo azituhusu na wala sisi kununua huko hakuna impact vile kama wao wakitoka.

Something is wrong kwenye policies za African Union.
 
Akili yako imethiliwa na fikra za Ujamaa, yaani fikra za kuamini kuwa kujikomba ni Fursa. Ni mwendawazimu tu anayeweza kuunga mkono Uwendawazimu wa Putin kutumia Jeshi na siraha zinto nzito kuuwa Wananchi wa nchi nyingine kwa kuwachoma na Moto kwenye majumba yao. Hivi ninyi chawa Akili zenu zinafananaje?
 
Kwa ivyo siasa zao sisi zinatuhusu nini kukubali wananchi wa Tanzania waumie, wakitaka ata kulipuana bara zima la ulaya na wachina hayo sio matatizo yetu wachague na mbinu za kuuwana kama kunyongana, kuchomana moto, kukamatana kutundikana kwenye posts na kupigana risasi hayo sio matatizo yetu.

Wao wafanye yao katika power struggle sisi waafrica atufungamani na upande wowote ila lazima tuelewane maamuzi yao isiwe sababu ya kuumiza uchumi wetu.

Wafanye yao sisi watuache tupate nishati kwa bei nafuu kutokana na uwezo wetu; kwanini bara la Africa liumie kwa siasa na struggle za kupigania world dominance ambazo hazituhusu.

Ni ujinga ku support western dominant ideologies ambazo azijali changamoto zetu; wapigane ata nuclear wakiamua lakini waafrica tusilazimishwe kuumia katika dispute zao ambazo hazituhusu.

Watuache tukanunue mafuta yalipo rahisi awataki basi walipie subsiding costs za serikali zetu hawa jamaa wanatuvurugia maendeleo yetu kwa siasa ambazo hazituhusu halafu wanatulazimisha kwa gharama zetu.

Wachina, wazungu, waarabu, warusi na wengineo yao hayatuhusu ni muda wetu na sisi wa kusema African interest fist katika hiyo mizozo yao sio kuingizwa kwenye kila upuuzi ambao autuhusu and paying the heavy price of their decision.
 
Sio kweli, wamarekani wanaagiza baadhi ya vyakula na bidhaa. Wamarekani wanaagiza pamba na nguo, wanaagiza ndizi na baadhi ya tropical fruits. Wacha kutochomesha mahindi. Nenda kwenye maduka yote ya Marekani utakuta bidhaa nyingi sana kutoka Uchina, Banana republic na kwingineko kwingi.
 
Msikie waziri wa ulinzi wa Marekani hataki vita hii kabisa, Rais Biden amekalia kuti kavu, wewe unasema porojo za kwenye supu ya pweza.


West si Urusi , Urusi hawana uhuru wa maoni , ukikosoa kifo kinakuita
 
toa ushahidi kuwa wazungu wengi wanaipenda ukraine
ndio maana misaada yao inaidhinishwa bungeni sio km urusi mtu mmoja anaamua kila kitu sio kwa ushirikiano na vyombo vya dola

NB : Bunge linawakilisha wananchi wa kila kona ya nchi
 
Yaani ukiitizama picha kubwa ya mabeberu ni kuitawala tena dunia kama makoloni Yao tena, ila Urusi, Uchina na Sasa India ndio kinakuwa kikwazo Chao. Lengo ni kuifuta Russia, lakini lengo lao ni vigumu sana kulifikia Putin akiwepo madarakani.
 
Biden na Scholz hawatapata awamu zao za 2 kila mmoja. Hilo liko wazi.
Boris anaweza kutokana na asili ya siasa za Uingereza. Zimekaa sana kivyama kama huku Stanza.
kwa umri wa Biden hata bila vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…